Tunaenda na jf style
invisible unaweza kuiweka top kama kiambatanishi.....
View attachment 41088
View attachment 41086
View attachment 41083
Mkuu SlidingRoof, kama list ya waliopata viwanja, basi Dr. Dau alikuwa na wajibu wa kutetea watu wake. Ingawaje nimeona majina ya wazawa wa mafia, lakini wengi wao hapo ni wale wateule. Mie enimetoka Mafia miaka 4 iliyopita, lakini pamoja na hayo nimeona majina mengi tu ya wafanyakazi wa halmashauri na mmoja wapo akiwa kutoka idara ya ardhi. Kuna baadhi ya majina siyafahamu; lakini kwa miaka minne amestbayo sipo hapo, sina shaka kwamba mengi ya majina hayo huenda ni ya wafanyakazi wa halmashauri walikokuja hapo after 2007! Hivi kweli, tuseme timu ya JF ikiongozwa na Invissible ndiyo iwe inagawa viwanja; halafu waliopata wawe Mwanakijiji, Maxcenello, Faisal Foxy, AshaDii, Crashwise, MTM na wengineo; halafu babangu wa pale Tandika akisema kwamba JF walipendeleana atakuwa amekosea?! Hapa hakuna cha sheria wala nini; hata kama sheria zilifuatwa, bado kulikuwa na conflict of interests.