Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Kwa wale waliopitia Chuku kikuu cha Dar es Salaam, wakati Dr. M. Bilal akiwa katibu Mkuu wizara ya sayansi na technologia nina uhakika kuwa wanakumbuka kuwa huyu Bwana kwanza ni mwongea hovyo na hafai hafai kabisa.
Huyu jamaa nasikia kila siku alikuwa anasimama pale katikati ya barabara na kutoa majibu ambayo hata mtoto mdogo angemzomea tu.
Huyu jamaa alikuwa anazungumza tuuuu anazungumza tuu mpaka apandishwe kwenye sturi katikati ya barabara ndipo watu wapate mikopo yao.
Kwa experience hiyo na ubishi wake pamoja na kwamba jambo analolizungumzia siyo sahii nafikiri ndio maana hata wana CCM pamoja na kuwa huwa sipendelei kuwazungumzia ndio maana huwa wanamkandamiaza.
Kitila nafikiri unauzoefu na yule Ex VC (Mathayo Luhanga) aliyekuwa UDSM nasikia hata SIDA-SWEDen na mashirika mbalimbali, huwa wanamtumia katika maswala ya research. Kama anaweza kupewa kufanya transformation ya COSTECH hata mwaka mmoja anaweza kuifanya kwa ufanisi mkubwa sana.
Huyu jamaa wa NASA nimekuwa nikimsikia muda mrefu sana.. hivi ni nani huyu? Maana hata kabla sijaja huku kijijini alikuwa ni mmoja wa watu ati akirudi Bongo anaheshimiwa na watu wa ubalozi wa US pale.. n.k .. who is this guy, analo jina?
Hebu nitajie mtu mmoja kati ya viongozi wetu anayefaa...from both CCM na Opposition
Mimi nadhani hizi zote ni Legends and myths, hakuna cha Mbongo kwenye nafasi za juu kwenye taasisi hizo. Maana legend moja iliwahi kusema ati kuna Mtanzania ambaye ni Brigadier katika jeshi la Marekani na ni mchagga na amekuwa huku kwa muda mrefu sana..
Game Theory,
Naona nimeanza hii Chrismas break hapa JF vibaya. Umeshambulia post yangu haraka haraka sana.
Kwanza kama umesoma vizuri maandiko yangu, sikusema kuwa jamaa huyu siyo mtaalam wa Nuclear Physics, ila nilisema kuwa siyo kati ya world class Nuclear Physicists anayeweza kuchimba na kuibua jambo jipya la kisayansi. Ana Ph.D ya Nuclear Phyisics kama walivyo wengine wengi tu.
Ni kweli kabisa kuwa kuandika paper siyo kipimo cha uwezo wa mtu kitaalamu; kwa hiyo endapo mtu ana majukumu ambayo hayamhitaji kuandika papers za kitaalam ni dhahiri kuwa hataandika lolote. Ndiyo maana hao watu wawili uliowataja hapo juu hawakupublish lolote. Lakini huyu jamaa alifundisha pale UDSM huku akijua kuwa mojawapo ya majukumu yake ni ku-publish na alishindwa kufikiria na kupublish mawazo yake ya kisayansi ipasavyo kulingana na standard zilizokuwapo wakati huo. Kwa vyovyote vile hakuwa anaweza kufikiria kisayansi outside his box. Ndiyo maana naamini kabisa kuwa jamaa huyu hawezi kuongoza taasisi ya kisayansi kama COSTECH.
Kuhusu yeye kuwa consultant wa NSA kwanza sijui una maana gani unaposema NSA. Kama una maana ya "Nuclear Systems Associates;" basi ni lazima ufahamu kuwa hii ni kampuni ya watu binafsi na kati ya consultant wanaowatumia ni watu wenye Bachelor's degree tu. Hiyo inaonyesha kuwa kuwafanyia kazi siyo lazima uwe world class material.
NSA nyingine ni "Nuclear Safety Associates", ambayo nayo ni kampuni ya watu binafsi sawa kabisa na NSA ya hapo juu.
Inawezekana una maana ya ANS (American Nuclear Society). Hii ni society ambayo mtu yeyote mwenye interest na Nucrelar science anaweza kuwa member kuanzia na wanafunzi klwa hiyo siyo kipimo cha kumfanya mwanachama wake awe ni world class scientist.
Ingawa ni kweli kuwa Mzee Bilal ni mmoja wa watanzania wachache waliosomea Nuclear Physics, lakini tusiwe tunapiga ngoma sana kudai kuwa ni mtaalamu mkubwa sana katika field hiyo wanayetambulika duniani duniani kote.
Kurekebisha record yako moja, tambua kuwa A.Q Khan aliiba michoro yote ya nuclear reactors, accelerators na centrifuges kutoka Uholanzi na kuja kuzireproduce huko Pakistan; hakufanya jambo jipya la kumfanya awe world class scientist. Kitaalam, yeye ni Metallurgical Engineer, na wala siyo Nuclear Physicist. Kinachofanya ajulikane sana ni kwa vile alianza kusambaza michoro hiyo kwa nchi mbalimbali na hiyo kutishia usambazaji wa silaha na Nuclear.
National Security Agency ya Marekani haihitaji scientists; inahitaji ma-spy tu. Hata babu yangu ananaweza kuwa agent wao kama anajua siri za kispy wanazotaka.NSA nilimaanisha NATIONAL SECURITY AGENCY
samahani sikueleza hilo katika post yangu ya awali
Inawezekana nimekuwa Fuzzy hapa. Niliposema World Class scientist nina maana ya mwanasayansi ambaye anajulikana na kuheshimiwa kitaalam duniani kiasi cha kuaminiwa kutoa ushauri wa kitaalamu. Ina maana kuwa asilimia kubwa ya wataalamu katika field yake wanamtambua. Tunao Watanzania wachache wa namna hiyo kama akina Professor Mwandosya, Professor Lipumba, na wengineo lakini Dr. Bilal siyo mmja wao.Pili hiyo unaposema WORLD CLASS sijakuelewa unamana gani kwani kama ni kilingustic sidhani kama tunaweza kulinyambua kwa mapana lakini inshort ni watu ambao wamekuwa exposed by the media au otherwise kama vile interest groups and so on.
Sasa hebu fafanua unamaana gani na nani ana decide who should be WORLD CLASS and who shouldnt?
Vile vile kuhusu AQ KHAN kuiba michoro ni sawa kabisa lakini hiyo haiondoi ukweli bado alikuwa ni mtaalam mzuri wa fani yake kwani kusingekuwa na faida ya kuiba bila ya kuwa na utaalam wa kufanyia kazi hivyo vilivyoibiwa.
nashangaa kwa mtu aliyesafiri kama wewe unaona hilo haliwezekani na haswa kwa nchi kama USA
Suala la kuwa na briegadier silijui lakini i can confirm kuna watanzania 2 wako MOD hapa uk na najua watanzania 3 ambao wako State.Position ambayo mtu ambaye hajazalia wUSA hawezi kuishika ni URAIS tu zinginezo ziko Open mzee
Thats not a myth my brother thats the truth
PRITI PATEL alizaliwa UGANDA na ni mbunge wa CONSERVATIVE (uk)
NationalKWELI? SAYS WHO?Security Agency ya Marekani haihitaji scientists; inahitaji ma-spy tu.
Hapa ndio nachoka, sijui mimi kusafiri kunahusiana vipi na mimi kujua kila kitu. Na sijui kama nimesema "hilo" haliwezekani na hata kama ningesema hilo linahusiana vipi na kusafiri kwangu?
You confirming it doesn't make it true. Sasa tuyachukulie maneno yako at face value because ume "confirm"? Itakuwa hatari. Hata mimi nafahamu Watanzania kadhaa ambao wanamsaidia Rais Bush pale White House, na yupo yule anayefanya kazi Jeopardy na kina Alex Trebek. Halafu usimsahau yule Mtanzania anayefanya kazi pale NASA Houston.
according to...
irrelevant!
So you did not know this?National
KWELI? SAYS WHO?
Kazi yao ni kupanga sera ya usalama ya taifa kulingana na taarifa za kijasusi wanazokuwa nazo; hawana mpango wowote na mambo ya kisayansi mpaka yamewekwa katika national security perspective.