TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,917
- 11,317
he sounds like a person on drugs and in serious relationship catastropheGo get an I.Q check, u might be that genie Our 'raped country' never had!
he sounds like a person on drugs and in serious relationship catastropheGo get an I.Q check, u might be that genie Our 'raped country' never had!
Mkuu jana nilikupinga sana, samahani.... nimeuliza the same question, KUUNGUA SONGAS NA KUWASHWA DOWANS KUNATUAMBIA NINI??Hii inamaanisha kuna nini ndani yake, jana niliripoti mtambo namba 3 pale Songas ulishika moto, na leo Dowans wako hewani.............tafakari na tuzame zaidi ili kujua kulikoni ndani yake? hivi ni hujuma, usaliti, uroho au nini jamani..............nashindwa kupata jibu
hivi songas, IPTL nk wana nafuu gani ukilinganisha na DOWANS? IPTL wanazalisha 30 MW na mafuta yananunuliwa na TANESCO mbona inasemekana wanatugharimu kuliko DOWANS wanaozalisha mpaka 120 MW? hata Songas inasemekana wapo so expensive
Brig Gen al Adawi na Januari Makamba wanajua kinachoendelea Plus Mkulu kumwao na Edo.Ninavyojuwa kesi iko mahakamani. Dowans waliishitaki TANESCO kwa kuvunja mkataba, sasa "what are they painting there? Kumesainiwa mkataba mwengine? Wamewasha kwa ruhusa ya nani? Tanzania jamani, jamani Tanzania. Kila uchao usanii mpya, madudu mapya. Ama kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu (sio mpirani tu), na jamvi la wageni. Tanzania Njema, atakaye aje.
Umekosea kidogo tu. - Sawasawa na nchi inayojiendesha bila Rais kila raia anajifanyia anachopenda kufanyaYaani hili swala la umeme sasa limekuwa kama daktari aliyekosa maadili anabaka mgonjwa. Tutafanyaje sasa
Hii mitambo ya SONGAS kinachoiua ni nini haswa mpaka tunakula matapishi yetu, ama kweli maskini hawezi kumwadabisha bosi wake ataishia kupiga makelele na makali ya umaskini yanapoongezeka humgeukia bosi wake. Nini kinatufanya TZ tuwe kama gunia la kupangusia miguu wakati wa kuingia na kutoka chooni jamani?
Tuendelee kushika UKUTA!Yaani hili swala la umeme sasa limekuwa kama daktari aliyekosa maadili anabaka mgonjwa. Tutafanyaje sasa
Ziba pua !nchi inanuka hiii
he sounds like a person on drugs and in serious relationship catastrophe