DOWANS wawasha Mitambo yao

hivi songas, IPTL nk wana nafuu gani ukilinganisha na DOWANS? IPTL wanazalisha 30 MW na mafuta yananunuliwa na TANESCO mbona inasemekana wanatugharimu kuliko DOWANS wanaozalisha mpaka 120 MW? hata Songas inasemekana wapo so expensive
 
Hii inamaanisha kuna nini ndani yake, jana niliripoti mtambo namba 3 pale Songas ulishika moto, na leo Dowans wako hewani.............tafakari na tuzame zaidi ili kujua kulikoni ndani yake? hivi ni hujuma, usaliti, uroho au nini jamani..............nashindwa kupata jibu
 
Hii inamaanisha kuna nini ndani yake, jana niliripoti mtambo namba 3 pale Songas ulishika moto, na leo Dowans wako hewani.............tafakari na tuzame zaidi ili kujua kulikoni ndani yake? hivi ni hujuma, usaliti, uroho au nini jamani..............nashindwa kupata jibu
Mkuu jana nilikupinga sana, samahani.... nimeuliza the same question, KUUNGUA SONGAS NA KUWASHWA DOWANS KUNATUAMBIA NINI??

INAKUAJE MTU MWENYE KESI NA SISI AND ALL SORTS OF TROUBLES AKUBALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA SISI?? HOW COME MITAMBO ILIUZWA KWA KAMPUNI YA KIGENI IBAKI UBUNGO? ILIKUA INALINDWA KWA GHARAMA YA NANI?
 
hivi songas, IPTL nk wana nafuu gani ukilinganisha na DOWANS? IPTL wanazalisha 30 MW na mafuta yananunuliwa na TANESCO mbona inasemekana wanatugharimu kuliko DOWANS wanaozalisha mpaka 120 MW? hata Songas inasemekana wapo so expensive

Mkuu upo sahihi kabisa. Ila tatizo nchi hii lipo palepale......MIKATABA!

Marekebisho kidogo kwenye red;
-Uwezo wa IPTL ni 100MW, wanaweza wakawa wanazalisha 30MW lakini wana uwezo wa 100MW.

-Max. Capacity ya Dowans ndio 120MW lakini hawawezi kufika huko kutokana na uchakavu wa mitambo na mambo mengine ya kiufundi. Wakienda Full load walau wanaweza kufika 100MW.

-Kuhusu gharama, IPTL wanaongoza kwa kuwa ghali, Songas wanafuatia.(kuna thread nitairusha kesho au baadae leo kama nitapata nafasi, jitahidi uisome unaweza ukapata mwangaza kidogo)
 
Ninavyojuwa kesi iko mahakamani. Dowans waliishitaki TANESCO kwa kuvunja mkataba, sasa "what are they painting there? Kumesainiwa mkataba mwengine? Wamewasha kwa ruhusa ya nani? Tanzania jamani, jamani Tanzania. Kila uchao usanii mpya, madudu mapya. Ama kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu (sio mpirani tu), na jamvi la wageni. Tanzania Njema, atakaye aje.
Brig Gen al Adawi na Januari Makamba wanajua kinachoendelea Plus Mkulu kumwao na Edo.
 
Hii mitambo ya SONGAS kinachoiua ni nini haswa mpaka tunakula matapishi yetu, ama kweli maskini hawezi kumwadabisha bosi wake ataishia kupiga makelele na makali ya umaskini yanapoongezeka humgeukia bosi wake. Nini kinatufanya TZ tuwe kama gunia la kupangusia miguu wakati wa kuingia na kutoka chooni jamani?

'Maskini hana kiapo' mkuu...
 
ila hili taifa limelaaniwa..lah
yaani kila siku shida ni umeme tu, discussion kubwa ni umeme duh sijui hata kama tutafika huko mbele
wenzetu wanajadili mambo makubwa tu, kama viwanda etc sisi hata umeme wa majumbani ni anasa..
kweli sijui kama nitarudi tz...
 
Nafikiri kuna jamaa wanacheza mdundiko pale magogoni. Wanafanya kipima joto wakati nchi karibu italipuka.
 
siamini kama kweli ndani ya macho yangu. lakini hapa huu ni kweli na miujiza ya kutufumba tusione mbali na tukubaliane ama kweli wanatisha kwa ufisadi!!!!!!!!!!!!!!!!!11:rain:
 
wat a coincidence!!!!!mmiliki wa Dowans anatua nchini na kuzungumza na waandishi wa habari,siku hiyohiyo mtambo wa Songas unaungua hivyo wanaamua kuwasha wa Dowans.Fool me once shame on you,fool me twice shame on me.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom