Nilichoona kwenye hii document ukiacha legal jargons ni kwamba
1. Tanzania ilikubaliana na ICC for three former cases ambazo zimeamua in favour of Tanzania Kwa hiyo lazima mkubaliane na fourth one? and then wakasisitiza "NO Appeal"
2. Nafikiri waliokubali tupeleke case ICC ndio waliotuuza kama nchi
3. In this case wale wote walio support Dowans inunuliwe/itaifishwe wanaingia katika vitabu vya historia kama Wazalendo
4. Bila kumumunya maneno Zitto/Idrisa/Lipumba ni wazalendo na wanahitaji kupongezwa
5. Bila kumumunya maneno Sitta/Mwakyembe/Kilango ni wanasiasa uchwara na si Wazalendo.
Hizi comments ni za mtu mwenye ubongo unaofanya kazi? Na cha kusikitisha ni kwamba hii listi ya watu wenye mawazo ya kifisadi kama huyu ni ndefu ... Wareboya, Kasheshe, Zitto, Uwiano maalumu....... Hawa wote wanamsifia Zitto. Kwa ushauri feki aliotoa wa kununua zile genereta. Wanataka kutuaminisha mwizi akikupora mali suluhisho lake ni kumbembeleza na kwenda kuinunua ili asikuibie tena. Hawa ni mashetani wakubwa na wako kwenye kampeni maalum ya kuwarubuni Watanzania. Ehe Mungu waangushie laana kwani neema yao ni maangamizi ya mamilioni ya Watanzania wasio na hatia. Wameweka mbele matumbo yao na wanakula na kujisaidia hapohapo. Hawajali chochote ila matumbo yao. Nina uhakika iko siku watapambana na laana ya Mungu aliye hai! watch out!!!Kumbe AG alivyosema hii case imefungwa na lazima tulipe alikuwa anajua ukweli wa hukumu hii.
Hapa tumefungwa magoli na hatuna wa kumuuzia kesi hii.
Tungelinunua mtambo kwa bilioni 50, tungelikuwa tumeokoa mambo mengi sana.
Hizi comments ni za mtu mwenye ubongo unaofanya kazi? Na cha kusikitisha ni kwamba hii listi ya watu wenye mawazo ya kifisadi kama huyu ni ndefu ... Wareboya, Kasheshe, Zitto, Uwiano maalumu....... Hawa wote wanamsifia Zitto. Kwa ushauri feki aliotoa wa kununua zile genereta. Wanataka kutuaminisha mwizi akikupora mali suluhisho lake ni kumbembeleza na kwenda kuinunua ili asikuibie tena. Hawa ni mashetani wakubwa na wako kwenye kampeni maalum ya kuwarubuni Watanzania. Ehe Mungu waangushie laana kwani neema yao ni maangamizi ya mamilioni ya Watanzania wasio na hatia. Wameweka mbele matumbo yao na wanakula na kujisaidia hapohapo. Hawajali chochote ila matumbo yao. Nina uhakika iko siku watapambana na laana ya Mungu aliye hai! watch out!!!
Wee ngoja... unacheza na vilio vya maskini sio! Ile siku yaja!Hii laana ikufikie wewe usiyekubali kuwa na tofauti ya opinion ambaye unadhani kila analofanya mwenzio ni kosa isipokuwa unalofanya wewe.
Wee ngoja... unacheza na vilio vya maskini sio! Ile siku yaja!
Siku zote ku-negotiate na mwizi ni ujinga wa hali ya juu! Watuuzie kanyaboya halafu eti tuwabembeleze? Mawe! Huyo Zitto wako akili zake ni sifuri kama za kwako na Kikwete wenu anayewapa kinga! Mtaalanika ndugu yangu!!!Najua uchungu ulionao hauzidi wa Watanzania wote. Ipi bora, shari kamili au nusu shari? Zitto aliona heri ya nusu shari, mkamuona mjinga, msaliti....haya shari kamili hiyo tuibebe wote. Hakuna kutupiana lawama.
Siku zote ku-negotiate na mwizi ni ujinga wa hali ya juu! Watuuzie kanyaboya halafu eti tuwabembeleze? Mawe! Huyo Zitto wako akili zake ni sifuri kama za kwako na Kikwete wenu anayewapa kinga! Mtaalanika ndugu yangu!!!
Baada ya kusoma hii document...especially sehemu ya uamuzi nimefikia conclusion kuwa RA ni mtu mwenye akili sana. I am starting to admire him. The guy is very smart.
Anajua vizuri kutumia ujinga wetu kutengeneza mapesa kirahisi tu....................
Zitto hatukufukuzi tena Chamani, tunadeclare wewe ni mzalendo na si msaliti. Tulikukosea utusamehe.
Tunashukuru kwa uwepo wako na tunakuombea maisha marefu uzidi kututumikia kwa uaminifu.
It is Shelukindo, Sitta na Kundi lao lililotufikisha hapa!
Tungeisikiliza TANESCO wakati ule na akina Zitto tungekuwa tunapata umeme sasa hivi... sasa umeme hakuna na pia tunatakiwa kulipa... sio kila kitu siasa wajameni.
Najua uchungu ulionao hauzidi wa Watanzania wote. Ipi bora, shari kamili au nusu shari? Zitto aliona heri ya nusu shari, mkamuona mjinga, msaliti....haya shari kamili hiyo tuibebe wote. Hakuna kutupiana lawama.
Kwa nini wamelazimika kutoa mifano ya kesi ambazo Tanzania imepata kushinda katika mahakama hiyo, katika kujenga hoja kuwa NI LAZIMA SERIKALI IILIPE DOWANS sasa? Is there any one with an idea, why
Are you suggesting ICC nayo imechakachuliwa na wahuni wa Dowans??!
Hapana huo ulikuwa mtego wa kwanza!
Unafikiri Dowans ya RA tungeinunua kwa Shs ngapi?
Yangekuwa maumivu zaidi ya tunayolia sasa.
Ushauri haukuwa wa kizalendo
Ni heri Shari kamili ili kila mzizi wa fitina UJULIKANE........otherwise akina RA (virus) et al watajificha tukiwa na nusu shari............
....................
3. In this case wale wote walio support Dowans inunuliwe/itaifishwe wanaingia katika vitabu vya historia kama Wazalendo
4. Bila kumumunya maneno Zitto/Idrisa/Lipumba ni wazalendo na wanahitaji kupongezwa
...................
Wakuu, mkumbuke government negotiating team ndio walioipitisha Richmond iliyoleta dowans na si TANESCO , wataalam wa tANESCO waliikataa na ndio maana waliowajibishwa ni viongozi waandamizi wa serikalimkuu... same as you..... PPRA walikuwa neglected na government through responsible ministry...... kwani waliamini TANESCO through its tender board wange implement PPRA procurement act properly.... lakini nahisi pale TANESCO hapakuwa na watu makini kwenye procurement Department ili waishauri tender board accordingly....
Wakuu, mkumbuke government negotiating team ndio walioipitisha Richmond iliyoleta dowans na si TANESCO , wataalam wa tANESCO waliikataa na ndio maana waliowajibishwa ni viongozi waandamizi wa serikali
Wakuu, mkumbuke government negotiating team ndio walioipitisha Richmond iliyoleta dowans na si TANESCO , wataalam wa tANESCO waliikataa na ndio maana waliowajibishwa ni viongozi waandamizi wa serikali
Hizi comments ni za mtu mwenye ubongo unaofanya kazi? Na cha kusikitisha ni kwamba hii listi ya watu wenye mawazo ya kifisadi kama huyu ni ndefu ... Wareboya, Kasheshe, Zitto, Uwiano maalumu....... Hawa wote wanamsifia Zitto. Kwa ushauri feki aliotoa wa kununua zile genereta. Wanataka kutuaminisha mwizi akikupora mali suluhisho lake ni kumbembeleza na kwenda kuinunua ili asikuibie tena. Hawa ni mashetani wakubwa na wako kwenye kampeni maalum ya kuwarubuni Watanzania. Ehe Mungu waangushie laana kwani neema yao ni maangamizi ya mamilioni ya Watanzania wasio na hatia. Wameweka mbele matumbo yao na wanakula na kujisaidia hapohapo. Hawajali chochote ila matumbo yao. Nina uhakika iko siku watapambana na laana ya Mungu aliye hai! watch out!!!
Asante Mkuu.Mnakumbuka 2007/2008 niliambatanisha docs zinazoonyesha namna tunavyoibiwa sana mpaka FMES na GT wakaomba tuache kwa muda kwakuwa ilikuwa inaongeza machungu? Ready for it? Really?
Naja punde...!