DOWANS vs TANESCO - Why TANESCO Lost?

Yaani, inasikitisha kama utetezi wetu wa Tanesco ndio ulikuwa hivyo. Hata ningekuwa mimi ningewakatalia hoja zao.
 
Du mimi limekuwa gumu maana sina background ya sheria ngoja nisubiri magwiji kwanza nami nipate pa kuanzia kuokota moja. Nimesave kwenye hard drive

HAPPY NEW YEAR FELLOWS
 
Happy new year too ,Naona nitasherehekea mwaka mpya nkilisoma duh ahsante umetufumbua macho
 
The document is incomplete and accordingly no way one can make an informed analysis on this issue. The document lacks even the facts of the case which were very important to the Tribunal in reaching their decision. Any attempt to make a good legal analysis has to begin with getting the facts of the situation straight.

In some cases, this may seem at first quite difficult, but in this case, the facts are necessary to make the correct analysis. If we wish to analyse how much of our forests have been cut down now, and how much left for future generations, we need first to establish some facts about the rate at which forests regenerate.

So, Invincible get your act together (just joking) and add in the document the facts of the case as understood by the Tribunal. We also need to see the arguments raised by both parties. These normally comes immediately after the facts of the case.
 
Naona kama vile TANESCO walikuwa wanajikosha tu waonekane na katika kufanya hivyo wakakuta wanajishtaki wenyewe kwa uzembe wao - lack of due diligence.

Jambo la kujiuliza ni kuwa huo uzembe ulikuwa wa makusudi ? Je TANESCO kuna wanasheria ? Angalieni wanavyopewa somo. Hata hivyo hii si ajabu kwa Tanzania - mikataba mibovu si ndiyo jadi ya serikali ya kifisadi ya CCM ?
 
Nimetoka kusherehekea mwaka mpya nikasema nichungulie JF (maana wengine sie ni addict!!!) Invisible umetupa kitu cha mwaka mpya wacha nikaoge niondoe hii stimu ya kilaji nikae chini niisome vizuri hii document.

Asante mkuu na Heri ya mwaka mpya wanaJF wote!!!! I will be back
 
Invisible ndo naipata saa hii saa 6.19 ya tarehe 1/1/2011. Niko macho. I have a very good gift for 2011. Ubarikiwe sana.
Mkuu, hapa nimewasha tukutuku kwenda kutafuta vocha ili niisome fasta this night....niliishiwa mafuta kwenye modem bana
 
Mweshimiwa Amsterdam kwa kipindi cha winter iko nyuma ya Tanzania masaa mawili, na wakati wa summer iko nyuma saa moja. Kwa kifupi tu Netherlands iko magharibi zaidi ya Tanzania na huko Asia ndio wanatangulia kuona mwaka kwani wako mwashariki zaidi ya Tanzania.nafikiri imeeleweka kiongozi
 
Asante mkuu ngoja niisome kabla ya comment.

I wish all JF members a happy New Year.
 
OP uko vague sana kwenye swali lako na nini haswa unachotaka kutufahamisha hapa

Nimesoma lakini inaonekana kuwa doc iko incomplete. Sidhani kama kuna mtu anaweza akaja na proper legal arguments on this kwa document iliyokuwa posted na kama akija na hoja then atakuwa ana mislead wasomaji wa JF. If anything itakuwa ni ngumu hata mtu kuwa na bias (either way) kwa kuwa kilichopo hakijakamilika na kwa kuelewa types za watu wa humu ni kuwa out of 100 or so watakao download maybe ni watu 6 tu ndio watakao kuwa wameisoma the whole thing na kati ya hao maybe ni watu 4 au 3 ndio watakao kuja na proper legal arguments ambazo hazina bias na walio baki wote itakuwa yale yale ambayo tumezowea humu nayo ni:

a) CCM ni mbaya

b) JK hafai

c) DR SLAA is the right person

d) ROSTAM ashitakiwe

USHAURI:

Weka nondo nzima then watu (hatakama wachache ) waingie kazini kuja na arguments or counter arguments on this document
Jitu hata halijamaliza kusoma linakuja na conclusion eti document icomplete, unataka nondo nzima kwani wewe hakimu unataka kuhukumu, msianze kukimbia vivuli vyenu tulia mnyolewe mwaka huu mtatajana mmoja baada ya mwingine.
 
Wanasheria tufungueni macho!

Baada ya kuisoma Document hiyo nina haya machache..

1. TANESCO sijui kwanini hawakufanya Due diligence katika kujihakikishia kwamba; yes, Richmond au Dowans walikuwa hawawezi kazi na walikuwa wanategemea kampuni nyingine ya Singapore kwa ajili ya uzalishai umeme?

2. Iweje wakakubali au walikubali Richmond ajivue mzigo na kukabidhiwa Dowans? Hapa ndio mchezo ulichezwa na bao kufungwa..

3. Sijui kamati ya akina Mwakyembe na PhD zao hawakuyaona haya? Au huko shuleni walikuwa wanafundisha wanafunzi kukariri?

4. Katiba yetu inafaa ifanyiwe marekebisho katika kipengere hicho cha 19 (1) na 19(2) ILI Effect ya Fraud au misrepresantion iwe kwamba contract inakuwa Void na sio Voidable kama ilivyo English Law KWAMBA kama ni contract ni void, no void from the start (ab nitio) na kama ni voidable basi hii itategemea na seriuosness of the breach of warrant kama ni too serious basi contract is voidable...

5. MWISHO Wanasheria wa TANESCO yafaa wafukuzwe kazi kwa uzembe kwa kusinzia na kutofanya yale waliyotakiwa kufanya ili ku-defend interest za kampuni yetu na pia kwamba TANESCO ni lazima position yake ijulikane kama ni independent organisation with full autonomy to decide its own affairs na kwamba serikali sio controling mind ya TANESCO..

Iliyopo sasa kwa TANESCO ni kusema hatuwezi kulipa na kampuni inakuwa mfilisi na kuanza upya .. Full stop..
 
OP uko vague sana kwenye swali lako na nini haswa unachotaka kutufahamisha hapa

Nimesoma lakini inaonekana kuwa doc iko incomplete. Sidhani kama kuna mtu anaweza akaja na proper legal arguments on this kwa document iliyokuwa posted na kama akija na hoja then atakuwa ana mislead wasomaji wa JF. If anything itakuwa ni ngumu hata mtu kuwa na bias (either way) kwa kuwa kilichopo hakijakamilika na kwa kuelewa types za watu wa humu ni kuwa out of 100 or so watakao download maybe ni watu 6 tu ndio watakao kuwa wameisoma the whole thing na kati ya hao maybe ni watu 4 au 3 ndio watakao kuja na proper legal arguments ambazo hazina bias na walio baki wote itakuwa yale yale ambayo tumezowea humu nayo ni:

a) CCM ni mbaya

b) JK hafai

c) DR SLAA is the right person

d) ROSTAM ashitakiwe

USHAURI:

Weka nondo nzima then watu (hatakama wachache ) waingie kazini kuja na arguments or counter arguments on this document
wew umeishia katikati...soma yote kwanza banaaa
 
Iliyopo sasa kwa TANESCO ni kusema hatuwezi kulipa na kampuni inakuwa mfilisi na kuanza upya .. Full stop..
kivipi wakati washakubali kulipa??!hii unaongelea ni ushauri wa hapo baadaye tukifanyiwa ufisadi tena.kwa sasa tumeliwa.
 
Hii document ya TANESCO naona kama haijakamilika. Ningeshauri iletwe iliyokamilika ili wanasheria watupe mwangaza tujue pa kuanzia.
 
OP uko vague sana kwenye swali lako na nini haswa unachotaka kutufahamisha hapa

Nimesoma lakini inaonekana kuwa doc iko incomplete. Sidhani kama kuna mtu anaweza akaja na proper legal arguments on this kwa document iliyokuwa posted na kama akija na hoja then atakuwa ana mislead wasomaji wa JF. If anything itakuwa ni ngumu hata mtu kuwa na bias (either way) kwa kuwa kilichopo hakijakamilika na kwa kuelewa types za watu wa humu ni kuwa out of 100 or so watakao download maybe ni watu 6 tu ndio watakao kuwa wameisoma the whole thing na kati ya hao maybe ni watu 4 au 3 ndio watakao kuja na proper legal arguments ambazo hazina bias na walio baki wote itakuwa yale yale ambayo tumezowea humu nayo ni:

a) CCM ni mbaya

b) JK hafai

c) DR SLAA is the right person

d) ROSTAM ashitakiwe

USHAURI:

Weka nondo nzima then watu (hatakama wachache ) waingie kazini kuja na arguments or counter arguments on this document

Kaoge ulale,ila kama unataka kubaki hapa na kuongea point na magreater thinker then go ahead kamalizie ile Document sio kuropoka tu bila mpango...Unavyoongea utadhani umesoma yote na kuielewa mbona unaanza kujitetea mapema sana...Mwaka huu tupo na nyinyi.........
 
Pamoja na kwamba sijui sheria ila naona TANESCO na serikali ni wahuni tu. wanatengeneza loop holes kwenye mikataba ile wale vizuri.
 
Mkuu
tunashukuru kwa salamu za mwaka mpya 2011.
Uwe ni mwaka wa mapambano ili kurudisha hadhi ya nchi yetu tuipendayo ya Tanzania
 
Back
Top Bottom