mkuu mkandara na wengine, zitto amenishangaza mno na kwa kweli sababu sisi wote ni watoto wa mjini, hakuna njia bali kuconclude blackmail/corruption imetumika.
Halafu cha kushangaza mh. Zitto anasema yeye anasimamia ukweli na hayumbi kwenye utekelezaji na hata akibaki mwenyewe sawa. Hivi huyu mtu anaendesha shirika lake binafsi au ni dhamana hiyo wananchi tulimpa kwa kura? Yaani kuwa chairman tu wa kamati amekuwa arrogant hivi, eti kamati yangu blah blah!!! Hivi ni nini hiki??? Nkiki jamani??? Zitto anadhani msimamo wa mwanasiasa ni wa kwake binafsi au ni wa wananchi?? Unadhani obama anapenda gaza wapigwe mabomu au ni reality kuwa bila kusupport israel huwezi kuwa rais??
Sasa zitto na misimamo yako binafsi ungetusaidia kama ungejiuzulu huo uchairman wa hiyo kamati uliyopata sababu ni mpinzani wa serikali na wananchi tulikuweka juu, then ukeep misimamo yako binafsi, sio unatumia position uliyopata sababu ya wananchi kukuweka juu, halafu unawaambia wananchi wewe unajali uamuzi binafsi. kumbuka wabunge wengi wanaharibu lakini sisi hatujali sababu tunajua hao wabunge ni hovyo, but u and dr.slaa, huwezi jua disappointment na majonzi uliyotuletea sababu tuliwategemea mno, and then kwenye hili bado unatunyanyasa na kutupiga vijembe wakati tunajaribu kwa udi na uvumba kukusaidia wewe binafsi na position yako kwa wananchi wa tanzania. Sisi hapa tunajua hili litakumnaliza kabisa in the next few weeks na tunajaribu kukuomba kwa faida yako mwenyewe lakini mwenzetu sijui vipi.
jamani nimeweka manyanga chini na ni afadhali tutawaliwe na ccm milele maana
at least wao wametuonyesha hawatujali wala hawana haja ya mawazo yetu, kuliko hawa wapinzani waliotumia mgongo wa support kubwa ya wananchi especially sisi wasomi kuja juu, halafu hawajafika popote wameanza kuonyesha huu wazimu.
Hivi huyu zitto angekuwa na power ya utendaji kwa mfano tungepush serikali ya mseto na yeye ndio pm, si tungekoma.
Mimi nimeishiwa nguvu na kwa kweli tanzania tumekwisha.
Hichi kitu straight forward ambacho kila mtu mpaka wabunge wa ccm wanajua ni bomu, leo huyu tunayemwamini anatutukana na kungangania mambo ya ajabu.
Tufanye assumption kwamba sisi wananchi ndio tunamakosa na kweli dowans ni nzuri, je zitto haoni kuwa whether tuko wrong au right, bado tanesco haitapata hasara yeyote kubwa kwa kununua mitambo mipya kwa sababu even best case scenario dowans watafikia tu level ya mitambo mipya lakini hawawezi kuipita, lakini kama tuko right then dowans wataleta hasara. Sasa premise hii tu inaonyesha kungangania dowans kuna downside kubwa kuliko upside, na bado zitto anangangana, ama kweli tanzania hovyoooooooo including mimi mwenyewe.!!!!!!