hivi kwanini watendaji wasiaminiwe? mpaka Bunge ndio liamue? to me bunge is just a bunch of political ****** who wants to be re-elected. Can you guys imagine when other countries have long done away with power rations, and these countries are a way poor than us?Maswala ya utendaji tunaleta siasa, sasa spika amekuwa na uwezo kuliko rais? JK you are too soft.
Mkuu Ogah,
Hiyo ndio taarifa ya kutumia kununua mtambo wa dola 30m? Kumbe ndio maana Richmond walituzidi speed.
Kamati ya bunge walisema kuna mitambo ni bei rahisi, si watoe data kamili? Pia waeleze hiyo ya DOWANS ni pesa ngapi?
Longo longo za sisi watanzania zimezidi. Watu wanaingia hasara kwa kukosa umeme, sisi bado ni yale yale habari za nusu nusu.
Itafika mpaka budget bado hakuna kitu zaidi ya mabishano ya siasa.
Hongera Mwanakijiji na hongera waziri Ngeleja.
Mwanakijiji kauliza maswali yote kwa makini na yamekidhi haja.
Kwa waziri nimepata yaziada manne:-
1. Ununuzi wa mashine/vifaa vilivyotumika si jambo geni na katoa mifano kadhaa ikiwemo ya hivi karibuni tu ATC.
2. Serikali haiwezi kutangaza tenda kwani muuzaji ndiye anayetaka kuuza. Tanzania ikikataa itawauzia watu wengine. Sasa hapa ni nani mwenye shida?
3. Michakato ya kununua mitambo mingine imo in process. Hapa jamaa wengi wanafikiria kuwa ukinunuliwa mtambo wa Dowans ndio mwisho kumbe mambo siyo hivyo.
4. Issue ya Dowans ilikuwa siyo iliyojadiliwa na Kamati ya Mwakyembe. Wao walijadili Richmond. Kwa hiyo kununua kwa Dowans hakuusiani na maamuzi ya kamati hiyo.
Sasa basi hiyo ya kutojua Dowans ni kampuni ya wapi, waziri kasema imo kwenye records. Hiyo si issue kwa sasa mradi mitambo ipo hapa nchini. Kung'ang'ania hilo ni kutafuta tu vijikosa vidogo vidogo.
Interview hii kwa kweli imetusaidia sana. Endeleza mtindo huu kwa issues nyingine sensitive kama hii.
Hivi hebu niulize. Kama mtu umeshikwa na ugonjwa wa homa katakata akaenda pharmacy kununua dawa na akagundua kuwa pharmacy hiyo ni ya fisadi, wakati huo ni usiku wa manane hakuna pharmacy nyingine, na yeye yuko taaban kwa homa, jee atanunua dawa hapo au atangoja mpaka kesho yake na a risk kifo usiku huo? Jamani nisaidieni..

Au mimi ndiye mbumbumbu?
Jamani hebu niwaulizeni:
Ni wapi Zitto amekosea? Mbona tunaharakisha kumhukumu kuwa ni fisadi, ni rafiki ya Rostum, ameshapokea hongo etc.etc? Nimesoma threads zake zote hakuna mahali Zitto amesema kuwa Tanesco LAZIMA wanunue mitambo ya Dowans. Au mimi ndiye mbumbumbu?

Inawezekana ukawa aisee...lol
Ni vizuri kama ungezitaja hizo bei za mitambo kabisa, kwa kuwa inaonekana unazijua ndo maana ukasema kuna mitambo inayopatikana kwa bei ambayo ni robo ya hii ya Dowans. Tuwekee hapa Dowans wanauzaje na hiyo ya mtoni inauzwaje, na yote iwe na Technical specification zinazolingana au ya mtoni iwe bora zaidi. Utuwekee uwezo wa mitambo hiyo in terms of Megawatts au KVA etc. Binafsi mi ningefurahi kama ungeweka data zote.
General Electrical generator za megawatt 100 ni kati ya dola za kimarekani 30 to 40 million dollar.
Turbine air system ni kati ya 29 to 38 million usd
zipo kampuni kama cutler hammer, Dresser-rand nk zinatengeza power generators zote za usa kwa bei poa na zinatoa services na installation services na warrant.Vile vile zipo kampuni nyingi sana ambapo kama ni kufanya shopping utapata kwa bei nafuu mno sisi tupo kwenye energy secta haya tunayajua vizuri tanzania tuwache kuumiza masikini.
Na hizi bei ni bei ambazo sio za mapatano kwamba unaclose deal.
Kina zito na wengine wanaofanya ununuzi waache uvivu halafu mwanangu zito ni lazima ajibu hoja za spika bila hivyo anakwenda kubeba msalaba.
Mitambo tayari ipo ni $39million for 100MW mipya pamoja na warranty ya miaka 7 from the world biggest company of manufacturing Turbine and Jet engine ni kwenda kuchukua na kuwasha, hakuna kununua second hand kwa $60million.