Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

Safari hii Salva utatoa press release nyingi, maana huu ni mchezo wa spinner anawaspin maspinner:🙂

-Hivi kweli Ikulu itachukua faili la Kagoda, Salva akubali hadharani?
-Kikwete atazungumzia Dowans katika mkutano ulio off camera, Salva akiri ukweli huo?
Mbona Salva unajiumbua ndugu yangu?

The formula is clear on this: Kurugenzi ikikanusha, tunajua huo unaokanushwa ndio ukweli.
 
Halisi:

Move yeyote ya kuunga mkono ununuzi wa Dowans is politically incorrect and illogical, kwa kuzingatia madudu ya Richmond. Mwanasiasa yeyote atakayekubaliana au kuunga mkono wazo la kununua Dowans, ama moja kwa moja au kinyemela, atakuwa anajikaanga kisiasa hata kama anaamini anachokifanya ndio sahihi! Kwa hili, kwa kuwa Zitto ni mwanasiasa, it's politically incorrect, and indeed stupid, for him to support any move to buy Dowans, directly or indirectly. Unfortunately, the repurcations of this political insanity go beyond Zitto; it is costing the whole opposition, and especially CHADEMA. Ngoja niwasikilize leo jioni may be anaweza kutushawishi.

Having said all that we should note that worldwide, almost all astute politicians are naturally controversial. It is thus not very surprising, given his political acuity, to see Zitto behaving as controversially as we have seen!

Mimi nimeshakwambia ZITO na SLAA wameshajimaliza na CHADEMA yenyewe iko hoi bin Taabani. Nakwambia sisi wengine hapa nyuso zetu sijui tutazificha wapi.

Unajua mimi ilifikia hatua ya kusema come 2010 ZITO anaweza kuwa "OBAMA" wa TZ. Sijui ulikuwa mzimu ule??? Hapa roho inaniuma na najiraumu kupita kiasi.

Heshimaaliyokuwa amejijengea huyu kijana ilikuwa babkubwa ndugu yangu, kumbe kama akina MZINDAKAYA TU. Alikuwa anatafuta HONGO.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu,
DAR ES SALAAM. 03 Machi, 2009

(e) ... dhana ya tenda na Sheria ya Manunuzi isiruhusiwe kuwa kikwazo katika miradi mikubwa mikubwa ya miundombinu ya nishati, hasa ile ambako wawekezaji wanajitokeza wenyewe kuwekeza katika maeneo ambako taifa linahitaji uwekezaji mkubwa na wa haraka na ambako nchi inaonekana ilichelewa kuwekeza.
By Njonanje Samwel
Guardian
2009-03-04

He also told the officials that the Public procurement act should not be a roadblock to big energy infrastructure projects particularly those in which investors are involved and where the nation is in need.
Uwe unaunga au huungi mkono msimamo huu mpya wa Rais kuhusu ufuataji sheria ya manunuzi, walichoripoti Guardian hapo juu kwamba Rais amekisema sio kilichomo kwenye taarifa ya Ikulu.

Mara nyingi tunaumiza vichwa kutatua vitendawili vya nini kinaendelea ndani ya serikali kwa sababu magazeti hayaripoti mambo kwa usahihi. Hatuna waandishi. Waziri Ngereja, kwa mfano, alilisharipotiwa mpaka kupigwa picha akisema kwamba serikali imeghaili kununua mitambo ya Dowans baada ya wao, Wizara, kuona busara ya mapendekezo ya Tume ya Kudumu ya madini ya Bunge ikipinga jambo hilo. Ghafla bin vuu sakata limeibuka upya, sasa hakuna anaejua je, ni kweli serikali ilitangaza imeghaili au tulipotoshwa. Mwandishi mmoja jana kamuhoji Ngereja kwenye redio za mtandao wa inteneti kwa dakika 30 na ushee bila ya jambo hilo kujibiwa wala kuulizwa. Moja ya laana inayokwamisha mambo nchini ni kukosa waandishi, hivyo hatujui kinachoendelea. Huwezi kuendelea kama hujui kinachoendelea.
 
Hii ni taarifa ya salva:
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

GAZETI la Mwananchi la leo, Jumatano, Machi 4, 2009 limeandika habari zenye kichwa cha habari: "Kikwete ajitosa sakata la umeme" kikifuatiwa na habari iliyoonyesha kuwa Mhe. Rais amejiingiza katika suala la ununuzi wa mitambo ya umeme ya Dowans.

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais inapenda kuwaarifu wananchi kuwa gazeti la Mwananchi limesema uongo kwa kupindisha ukweli na kupotosha habari iliyotolewa. Huu ni upotoshaji wa makusudi ambao shabaha yake inajulikana kwa gazeti la Mwananchi peke yake. Ni uchochezi tu wa kumwingiza Mhe. Rais katika suala ambalo hahusiki nalo kabisa. Suala la Dowans halikujadiliwa kabisa katika kikao cha jana.

Hiki ni kichekesho cha hali ya juu. Swala ambalo lilimfanya aliyekuwa Waziri Mkuu na mmoja wa mawaziri kujiuzulu. Swala ambalo limeiingiza serikali kwenye hasara karibu ya bilioni 200 kwa kuingia mkataba na kampuni ya mafisadi ambayo haina utaalamu wowote wa kuzalisha umeme lakini pamoja na hayo yote Rais wa nchi hahusiki!!!! Kazi kweli kweli!!!
 
Halisi:

Move yeyote ya kuunga mkono ununuzi wa Dowans is politically incorrect and illogical, kwa kuzingatia madudu ya Richmond. Mwanasiasa yeyote atakayekubaliana au kuunga mkono wazo la kununua Dowans, ama moja kwa moja au kinyemela, atakuwa anajikaanga kisiasa hata kama anaamini anachokifanya ndio sahihi! Kwa hili, kwa kuwa Zitto ni mwanasiasa, it's politically incorrect, and indeed stupid, for him to support any move to buy Dowans, directly or indirectly. Unfortunately, the repurcations of this political insanity go beyond Zitto; it is costing the whole opposition, and especially CHADEMA. Ngoja niwasikilize leo jioni may be anaweza kutushawishi.

Having said all that we should note that worldwide, almost all astute politicians are naturally controversial. It is thus not very surprising, given his political acuity, to see Zitto behaving as controversially as we have seen!

Siku hizi wewe sio CHADEMA tena?
 
Hizi analysis za kuandika kwenye vyumba vya habari.... tunapotosha taifa wakuu...

Wewe kama una analysis tofauti iweke hapa. Hakuna kupotosha Taifa kokote. Kama una data ambazo zitaonyesha kwamba kilichoandikwa hapa ni uwongo ziweke hapa. Badala ya kutaka kutetea ufisadi.
 
Hiki ni kichekesho cha hali ya juu. Swala ambalo lilimfanya aliyekuwa Waziri Mkuu na mmoja wa mawaziri kujiuzulu. Swala ambalo limeiingiza serikali kwenye hasara karibu ya bilioni 200 kwa kuingia mkataba na kampuni ya mafisadi ambayo haina utaalamu wowote wa kuzalisha umeme lakini pamoja na hayo yote Rais wa nchi hahusiki!!!! Kazi kweli kweli!!!
========

Well said Babu
Security wise, ni mbaya sana kwa Mkuu wa nchi kusema hausiki na hajui kiktu kikubwa namna hii. Ni udhaifu wa hali ya juu sana. Anajua, anahusika na anaguswa - nafasi na uhai wake.

Nilisema jana kuwa muungwana huyu ana mkono wake na ndiye anataka kuiuzia TANESCO huu mzigo. Amejifunza kwa BWM aliyejiuzia Kiwira, sasa na yeye anaona ramli ya 2010 haiendi vizuri, ni bora na yeye bingo hili lisipite hivi hivi.

Haiwezekani Dr. Idris Rashid, mtumuhiwa wa kesi kubwa, anasema wazi wazi kununua hii mitambo bila kuwa ridhaa ya Rais. HAIWEZEKENI. Mnaopinga suala hili kuanzia Spika Sitta, mjue mnapingana na Rais wenu.
 
Uwe unaunga au huungi mkono msimamo huu mpya wa Rais kuhusu ufuataji sheria ya manunuzi, walichoripoti Guardian hapo juu kwamba Rais amekisema sio kilichomo kwenye taarifa ya Ikulu.

Mara nyingi tunaumiza vichwa kutatua vitendawili vya nini kinaendelea ndani ya serikali kwa sababu magazeti hayaripoti mambo kwa usahihi. Hatuna waandishi. Waziri Ngereja, kwa mfano, alilisharipotiwa mpaka kupigwa picha akisema kwamba serikali imeghaili kununua mitambo ya Dowans baada ya wao, Wizara, kuona busara ya mapendekezo ya Tume ya Kudumu ya madini ya Bunge ikipinga jambo hilo. Ghafla bin vuu sakata limeibuka upya, sasa hakuna anaejua je, ni kweli serikali ilitangaza imeghaili au tulipotoshwa. Mwandishi mmoja jana kamuhoji Ngereja kwenye redio za mtandao wa inteneti kwa dakika 30 na ushee bila ya jambo hilo kujibiwa wala kuulizwa. Moja ya laana inayokwamisha mambo nchini ni kukosa waandishi, hivyo hatujui kinachoendelea. Huwezi kuendelea kama hujui kinachoendelea.

This borders stupidity! "hakuna mwandishi" halafu unasema "mwandishi mmoja"!

wewe uliye mwandishi mahiri mwenye kubobea kukosoa waandishi wasiokuwepo (which is oxymoronic kwamba unasema "mwandishi mmoja" halafu kwenye kauli hiyo hiyo unasema "kukosa waandishi"!) piga simu uulize maswali ambayo wengine wameshindwa ili utuoneshe mfano. Kuliko kila mara kuimba "hakuna waandishi, hakuna waandishi" basi ingia wewe na uanze kufanya kazi hiyo wengine tufuate mfano wako au angalau jaribu mara moja kumhoji huyo mtu (in this case ngereja) ili uulize maswali ambayo mwandishi asiyekuwepo alishindwa kuyauliza.
 
Mkuu Kuhani,heshima mbele.Nashukuru kuwa umeing'amua kasoro iliyopo katika kuripoti taarifa hiyo kama ilivyoripotiwa na The Guardian.Lakini ungeni/tusaidia zaidi kama ungeandika kuwa ilitakiwa iwe vipi ukizingatia kuwa mwandishi alikuwa anatumia maneno yake katika kufikisha ujumbe na si kwamba alikuwa ananukuu kile kilichomo katika ile taarifa.
Hakika hapa ndo ninapomkumbuka PUNDIT kwani yeye baada ya kusema kuwa kuna makosa/mapungufu,alikuwa akienda hatua zaidi kwa kuyaonyesha na pia kuandika vile ambavyo ilistahili.Hili la kumuambia mtu kuwa umekosea bila kuonyesha namna sahihi na bora zaidi inakuwa haiwasaidii sana hawa waandishi&wahariri.
 
Eeeewaaaaa...yaani umesema ukweli mtupu!

Labda msaidie umpe namba ya waziri anaweza kumpigia kama alivyopiga simu kule Texas Heart Institute
 
Mkuu Kuhani,heshima mbele.Nashukuru kuwa umeing'amua kasoro iliyopo katika kuripoti taarifa hiyo kama ilivyoripotiwa na The Guardian.Lakini ungeni/tusaidia zaidi kama ungeandika kuwa ilitakiwa iwe vipi ukizingatia kuwa mwandishi alikuwa anatumia maneno yake katika kufikisha ujumbe na si kwamba alikuwa ananukuu kile kilichomo katika ile taarifa.
Hakika hapa ndo ninapomkumbuka PUNDIT kwani yeye baada ya kusema kuwa kuna makosa/mapungufu,alikuwa akienda hatua zaidi kwa kuyaonyesha na pia kuandika vile ambavyo ilistahili.Hili la kumuambia mtu kuwa umekosea bila kuonyesha namna sahihi na bora zaidi inakuwa haiwasaidii sana hawa waandishi&wahariri.

Love or hate Pundit lakini kusema ukweli jamaa alikuwa anajitahidi sana akosoapo kutoa utatuzi wa kosa kama kaona kosa (hata kama yuko on the wrong side). Sasa huyu mtu ajiitaye Kuhani...hehehehehehe...what can I say? Heheheheheheee.....
 
Off the topic plz...Mzee ur tone sounds like 'mzee wa miafrika...' or ur acquintance!!
 
Jamani someni hapa muone jinsi Spika alivyomgeuka Zitto. Hii iko kwenye gazeti la serikali, Habari Leo la kesho asubuhi.
============
SPIKA SAMWELI SITTA NA DOWANS

Spika wa Bunge, Samuel Sitta, ameitahadharisha Serikali juu ya athari zinazoweza kujitokeza iwapo itapuuza ushauri wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini na kuamua kuendelea na mchakato wa kununua mitambo ya umeme ya kampuni ya Dowans.

Ameunga mkono ushauri uliotolewa na kamati hiyo unaoitaka Serikali isinunue mitambo hiyo ya Dowans, kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kufufua sakata la Richmond na badala yake itumie nguvu ilizonazo kuhakikisha inamaliza tatizo la umeme kwa kununua mitambo mipya.

Aidha, Spika amesema Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma, imekiuka kanuni za Bunge kwa kutoa maoni yake juu ya ununuzi wa mitambo ya Dowans hadharani, hali ambayo imejenga taswira kwamba Bunge lina ushauri unaokinzana kuhusu suala hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake Dar es Salaam juu ya mwongozo wake na ushauri anaoutoa kwa Serikali juu ya suala hilo, Spika Sitta, aliitaka Serikali kutosahau kwamba Dowans ni kampuni iliyopatikana kwa kurithishwa mradi na kampuni ya Richmond katika mazingira yenye utata, ambayo hadi leo ni kitendawili.

"Uhalali wa utaratibu wa Richmond kumkabidhi mradi Dowans ulitiliwa shaka na kamati teule ya Bunge. Dowans na Richmond ni mtu na binamu yake na si vigumu kukubali kuwa bado wao ni wabia hadi sasa," alisema Sitta.

Alisema ikiwa ni kweli Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), lina dola za Marekani milioni 69 sawa na Sh bilioni 90, ingetazamiwa shirika hilo litumie fedha hizo kununulia mitambo mipya badala ya kununua mitambo ya Dowans iliyochakaa.

Sitta alisema pamoja na hayo, Tanesco wanatakiwa wakumbuke kuwa Dowans wamewashitaki kwenye Baraza la Kimataifa la Usuluhishi Paris, Ufaransa na kwamba gharama za mitambo na za kuikodi haziwezi kuepukwa kuwa ni sehemu ya shauri hilo Paris.

"Ni kwa mantiki ipi kesi baina yao iendelee na papo hapo mdaiwa (Tanesco) anunue mitambo kutoka kwa mdai (Dowans)? Ikumbukwe kuwa Tanesco walipoikodi mitambo ya Dowans, Tanzania ilikuwa inalipa Sh milioni 152 kwa siku sawa na dola za Marekani milioni 42 kwa mwaka," alisema.

Spika alisema mkasa wa Richmond haupaswi kufufuliwa upya kupitia Dowans, Serikali haina budi kuelekeza nguvu zake katika kutafuta njia mbadala za kulipatia Taifa umeme wa dharura, badala ya kung'ang'ania mitambo ya Dowans ambayo imejaa utata.

Alisema suala la uchakavu wa mitambo ya Dowans si la mzaha, kwani mitambo hiyo ni ya mwaka 2006. "Kwani mtu ukienda dukani kununua gari jipya na anayenunua gari chakavu wako sawa? Jamani tafsiri ya mitambo ya 2006 na ya sasa ikoje? Mambo mengine nawaachia mtayatafakari wenyewe," alisema.

Alisema pamoja na hayo Serikali ina haki ya kupuuza ushauri wa Bunge, ila iko siku wakati Bunge hilo likitathmini utendaji wa Serikali, ikibainika hitilafu itabidi sababu za kukaidi ushauri huo zifahamike.

Akizungumzia mvutano uliopo baina ya Kamati za Bunge za Nishati na Madini na Hesabu za Mashirika ya Umma, alisema Bunge ni chombo ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia na kutoa ushauri kwa Serikali kwa kuzingatia kanuni za Bunge ambazo zimetungwa na chombo hicho.

Alisema kwa mujibu wa kanuni hizo, kamati za Bunge zenye madaraka ya kushughulikia taarifa za utendaji unaofanywa na wizara za serikali na vyombo vilivyo chini ya wizara hizo, ni kamati ya kudumu ya kisekta, pamoja na kwamba kamati nyingine za Hesabu hazizuiwi kutafakari mambo yanayogusa sekta husika, lakini si kwa kusema hadharani.

Alisema kwa mujibu wa kanuni hizo, kamati husika ya hesabu inapokuwa na maoni kuhusu suala la sekta linalosimamiwa na kamati nyingine, haina budi ipitishe ushauri na maoni yake kwenye kamati ya kisekta.

Alisema mvutano unaoendelea kwa sasa hauna sababu yoyote na wala hakuna haja ya yeye Spika kuzikutanisha kamati hizo mbili ili kurejea upya maoni na uamuzi juu ya suala hilo, kwa kuwa ushauri kwa Serikali kutonunua mitambo hiyo ulikwishatolewa kwa Wizara na Kamati ya Bunge tangu Desemba mwaka jana. "Huo ndio ushauri rasmi na sahihi wa Bunge ninaoutambua."

Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja alikaririwa na baadhi ya vyombo vya habari juzi, akishikilia msimamo wa serikali kununua mitambo hiyo ya Dowans kutokana na hali halisi ya nishati nchini na kwamba uamuzi huo ndio sahihi kwa wakati huu na hauhusiani na ufisadi wowote.

Alisema suala la kununua mitambo mipya litachukua zaidi ya miaka miwili wakati kwa sasa mahitaji ya umeme ni makubwa kuliko kiwango halisi kinachozalishwa na Tanesco, hali ambayo inahitaji kufanyika kwa juhudi za dharura kunusuru hali ya umeme nchini.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe, hakupatikana leo kuzungumzia suala la kamati yake kutoa ushauri wao juu ya suala hilo hadharani. Kwa muda mrefu baadhi ya wanasiasa na kamati hizo, wamekuwa wakilumbana kuhusu uamuzi wa Tanesco kutaka kununua hiyo mitambo wakidai kwamba Sheria ya Manunuzi inakataza kununua vitu vilivyotumika.
 
Hizi ni cheche za chuki binafsi, hebu niulize hawa Dowans wamekukosa nini? na hiyo mitambo imekukosa nini? au ulinyimwa mgao?

Dowans hawajamkosea kitu kwa sababu hata hawajulikani its a GHOST:
Mitambo vile vile haijamkosea kitu coz haina nafsi:
Kwani walikuwa wanagawa nini?
 
Inatia moyo sana kuona asilimia kubwa ya wana JF wamesimama kidete katika kusimamia maslahi ya Taifa kwa kuonyesha hasara kubwa ambazo haziambatani na faida hata kidogo katika suala la ununuzi wa mitambo ya Dowans. Inatia aibu sana kuona wale watu ambao tuliamini kuwa ni wakombozi wa kweli wa nchi yetu wakighafilishwa na chembe chembe za sukari ya Ufisadi na kuishia kuunga mkono Mafisadi kwenye hili suala.

Kama Rostam anataka kuendelea kuitumia mitambo yake kuzalishia umeme basi aende akaifunge nyumbani kwake na kwa wapambe wake wote pale Bongo.
 
Wakati si tulikuwa tuna subiri ajali ya Umeme wenzetu walikuwa wanajenga.
Sasa tukichukulia kipindi cha IPTL mpaka sasa Stigler Gorge si ingekuwa tayari
Halafu anakuja Mbunge tena Tena Graduate anakimbilia Umeme wa Kibatari, badala ya taa ya Umeme

Monday, 2 September, 2002, 15:59 GMT 16:59 UK
Sudan plans Nile dam

The new dam will stop flooding and improve irrigation

Sudan is preparing to short-list companies to build a $1.73bn dam on the Nile in the country's north to provide more electricity and cut flooding.
The Hamdab Dam in Merowe, about 400 km (250 miles) north of Khartoum, will triple electricity generation in Sudan, Mutaz Musa Abdalla Salim, finance director for the dam project told Reuters

Khartoum suffers black-outs daily

He said the government would next month short-list four firms from 69 to submit final bids to build the $650m dam wall.

Seven companies are competing to build the electricity turbines and generators at a cost of $700m.

The dam is expected to be finished in about six years' time.

The economy of Sudan, Africa's largest country by landmass and one of its poorest, has stalled during a 19-year-old civil war, with oil revenues providing one of the few sources of income.

Power hungry

The combined electricity generation from thermal and hydroelectric sources is up to 500 megawatts (MW), while daily demand is estimated at about 1000 MW.

The Rosairis dam, also on the Nile, generates about 280 MW, but this often drops to half due to poor water flows in late winter and early summer when the waters are at their lowest.

Most market traders have generators

Flooding often clogs the dams turbines with silt and river flotsam.

"Merowe, with 10 turbines compared to Roseires seven turbines, will increase power production in the factories and create more job opportunities," he said.

The new dam will have a capacity of 1,250 MW.

Power black-outs are a common occurrence in Sudan, crippling businesses which cannot afford their own generators and pushing up operational costs for those that can.

Nearly all shops in the capital Khartoum's central market have their own generators.

Environmental cost

Resettlement and environmental costs are expected to total a further $375m, Mr Salim said, adding it would improve navigation and fishing opportunities on the Nile.

"The Merowe Dam will hold back water and the areas downstream will no longer experience floods," he added.

About 50,000 people will be resettled.

Mr Salim said it would take four to five years relocated about 600 families, most of whom had agreed to a compensation package.

Huu Mradi umefunguliwa jana 03/03/09
Opening a hydro-electric dam in northern Sudan on Tuesday, President Bashir poured scorn on the possible indictment.

He said the warrant would "not be worth the ink it is written on" and danced for thousands of cheering supporters who burned an effigy of the ICC chief prosecutor.
 
Msimamo wake tete umekuwa gharama kubwa sana kwa chama na taifa! Inasikitisha na kutisha.

Duh!
Kaka Eric Ongara. Nakushukuru sana kwa kuonyeha msimamo wako katika suala ya uki-geugeu wa Zitto. Nimefurahi msimao huu maana unatoka kwa Mwana CHADEMA hai, kijana na makini. Oni langu ni moja tu; Wana CHADEMA na Uongozi wa juu msomeni Zitto na nyendo zake za sasa. Mwenzenu (Zitto) na wanasiasa wengine wamemaliza msimu na sasa waangalia wasajili (Makamba, Msekwa, Rostam) katka chama chenye dau kubwa (CCM).
 
Back
Top Bottom