Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
i am getting my popcorn ready....
Kokolo, nakumbuka tulilizungumza hili na ulileta insight nzuri sana wakati tunazungumzia mambo ya UPS. Hadi hivi sasa nadhani tunachotakiwa kufanya ni kujenga hoja kuwa kupata mitambo mipya kutoka kwa watengenezaji ni bora na ina mantiki ya kifedha kuliko kununua toka kwa Dowans.
hii inaitwa hekima.
Mh. Zitto.
Nimefurahishwa sana na msimamo wako na hoja zako za kisomi. Katika mjadala huu mawazo ya wengi ni Taneso wasinunue mitambo ya Dowans lakini ukiangalia hoja zinazotolewa hakuna hata moja yenye nguvu. Wachache akina sisi tunaunga mkono hoja hii kwa sababu za msingi kabisa.
Sasa hawa jamaa wasikuingize katika mambo ya kitoto kama vile issue za Hammer, kugombea ubunge na ufisadi. Hoja hizi zinaonyesha wazi kuwa wamefilisika na hoja za msingi na wanakimbilia kuleta issues za kukutibua. Lakini nafurahi kuwa umewatambua kutokana na umakini wako katika kuwajibu. Sababu ya yote hayo ni roho ya korosho.
Nakuhakikishia kuwa endapo ununuzi huu hautokamilishwa na ikabidi uwepo mgao wa nguvu huko baadae, ni hao hao wanaotoa hoja za kupinga ndio watakaokuwa msitari wa mbele kupiga kelele na kulalamika. Mark my words. Wewe waandike tu majina yao pembeni na utaamini ninayo yasema.
Nakushauri achana nao. Sisi tumekuelewa na natumai serikali itakuelewa zaidi.
Zitto umekwepa swali langu mara kadhaa. Ninakuuliza tena. Tukiweka pembeni siasa za kamati and all that, wewe kama informed representative utasimamia upande gani katika mjadala huu? Utaunga mkonoi ununuzi au lah? au bado hauna taarifa zinazokuwezesha kuwa na uamuzi?
Usipojibu this time sitakuuliza tena.
wewe nawe ndiyo umeandika nini sasa?kwani lazima uonekane umechangia?
wewe nawe ndiyo umeandika nini sasa?kwani lazima uonekane umechangia?
Snapshots:
- Asema siyo lazima kununua mitambo ya Dowans, ni ulazima wa hali ya mahitaji iliyopo
- Asema Dowans ndiyo wametangaza tenda ya kuuza mitambo yao hivyo sheria ya PPRA inaingia kwa namna tofauti
- Arudia suala la kununua mitambo iliyotumika, asema siyo 'geni'
- Atolea mfano hali ya kiuchumi Marekani na jinsi serikali ya huko ilivyoingilia hali ya uchumi wake..
Ebana Zitto eeh? Hivi bongo hatuna wahandisi wanaoweza kuunga hiyo mitambo ya kuzalisha umeme hadi tuende majuu kuinunua?
Hakuna kampuni ya kutengeneza mitambo ya kuzalisha umeme. Tunao mafundi wa kukarabati. Hata wataalamu wa kuchunguza kama inafanya kazi au sio wanatoka nje. Bado kauchumi ketu sio kazuri kiasi cha watalaamu wetu kuanzisha consultancy firms na kushindana kwa kazi hizi na wageni. Hata sheria ya manunuzi inatoa upendeleo kwa makampuni ya ndani. Tutafika tu, tuamue kaka
Watu wengine bwana................. yaani humu jamvini watu hawana uhuru mpaka wawe na mawazo kama yako?
Sidhani kama umelielewa swali langu.....basi tu tuendelee na mjadala
Hapana Mama. Kamati inataka tuwe pragmatic.
Is being pragmatic means kununua zigo lililiopatikana kifisadi? Kwa hiyo kamati yenu inakubaliana na ufisadi? Kisheria inakuwaje?
Wahandisi wapo lakini hakuna kampuni ya kuunda.
Is being pragmatic means kununua zigo lililiopatikana kifisadi? Kwa hiyo kamati yenu inakubaliana na ufisadi? Kisheria inakuwaje?