Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

Kijana unajiona una akili sana kuliko sisi wote jamvini hapa kwa sababu tu wewe mbunge, unataka sisi wote tuwe wabunge? Itawezekana?.
Kama uliwaambia wenzio mafisadi basi wewe ndio FISADI na JAMBAZI mkubwa wa mali ya watanzania.

Tena rushwa yako kama ya polisi dogo sana, "HUMMER", Unakubali kupoteza utu wako kwa sababu ya gari.??????? kama siyo Ulimbukeni ni nini?

haha haha haha
 
Hon. Slaa naomba msaada wa swali langu dogo. Au mwanasheria yeyote unaweza kujibu pia kwani naona Hon. Zitto analipiga chenga. Kama limeshajibiwa, natanguliza shukrani.

Swali ni kwamba, "Je Tanesco/Serikali wanaweza kununua hiyo mitambo wakati kuna kesi tayari dhidi ya serikali?"
 
Zitto,
Mkuu wangu tafadhali sikia ya watu, mimi nadhani wewe ndiye usiyejua kinachoendelea kwa sababu tu umetazama umuhimu wa mitambo hii kutokana na maelezo ya Tanesco...Wananchi wanashangaa statemnent yako ya kwanza uliposema serikali (Tanesco) wanunue mitambo ya Dowans bila hata wewe kufahamu gharama kamili inayotakiwa kutumika ktk manunuzi.. Nikirudi nyuma tu ukurasa mmoja umesema mitambo hiyo bei yake ni kati ya millioni 50 hadi 60, ukidhihirisha kwamba hujui bei yake na pengine maelezo mengine muhimu kuhusiana na mitambo hiyo acha mbali kabisa tatizo la Tanesco..
Tatizo la Tanesco linaweza kukabiliwa na njia nyingi sana ikiwa ni pamoja na kuagiza mitambo mipya kabisa kama hiyo toka GE na tukapewa guarantee na warrant licha ya uwezekano wa ku lease.. tena kama sikosei wanakuja funga wenyewe (hili sijalifanyia utafiti kama mashirika mengineyo)..
Kikubwa tunachotaka kukwambia ni kwamba swala hili sio la Kiuchumi tena ila ni SIASA ambazo zinaweza kabisa kuharibu jina lako... kifupi jitoe na kamati hiyo inapofikia swala la Dowans.. hakitaharibika kitu mbona Republican wamejitoa ktk swala la stimulus pamoja na kwamba wanaelewa kwamba upo uwezekano mkubwa kwa uchumi wa nchi yao kukua..Ni kwa sababu ya SIASA.. hivyo ni muhimu sana kutambua ishara hizi..
Yawezekana kabisa kweli unayafanya haya kwa kujali maslahi ya Taifa, lakini usichofahamu ni kwamba hayo maslahi ya Taifa ni chambo cha kuwanasa watu kama nyie...Kumbuka tu kwamba mwaka 2007 kabla mitambo hii haijafungwa na kuanza kazi Tanesco waliweza kuzalisha Umeme tosha kabisa baada ya mvua kurudi..
Mwaka huu kuna mvua za kutosha kabisa iweje swala la kiza liwe sababu kubwa wakati Mtera bado inawe kuzalisha kiwango pungufu cha Dowans..Kimebadilika kitu gani toka siku ile tulipoweza kuzalisha umeme baada ya mvua kurudi na leo hii kiasi kwamba tutishiwe kutokuwa na umeme April kama mitambo hii haijanunuliwa!
 
Zitto,
umechaguliwa 05, ghafla 07 unaendesha hummer??!!

Rushwa TZ ni kubwa kuliko tunavyoifikiria. Acha kabisa ndugu. Yaani bora usifahamu kulioko kufahamu. unaweza jitundika mkubwa.
 
Zitto,
inakuwaje mbunge wa jimbo masikini na lilolo nyuma kimaendelea ukaendekeza ufahari na anasa kuendesha HUMMER? umelifanyia nini jimbo langu tangu uchaguliwe? tafadhali kajibu hoja inayohusu maendeleo ya Kigoma.

Ndio maana nililiuzilia mbali kwani niliona halinifai kulingana na style ya maisha yangu. Raila made me have it and once i had it i said NO way.

Kigoma is very different now from December 2005. My constituncy is the only one with a new road being built. Barabara ya Mwandiga Manyovu inajengwa kwa lami na kuunganisha Mwandiga na Bujumbura. Toka Uhuru Kigoma imekuwa na km 6 za lami.

My constituents sell coffee straight to US. Last year, following the project i had from Canada, we produced the best coffee in Tanzania and my farmers had the best price (2200 kwa kilo).

We have schools in all wards and i am now building dormitories for girl students.

Trough EU water facility, 5 villages got clean and safe water. All stalled projects on health facilities have been completed.

The list is long - i have done my work. Tembelea Kigoma ukaone na uzungumze na watu wa Kigoma.

Ubunge kwangu sio dili, ni utumishi. Na kwa kipindi nilichokaa nimefanya mambo makubwa kijimbo, kimkoa na kitaifa. Ndio maana ninaacha nikafanye mengine kwa ajili ya nchi.

I am going to teach ili kujenga Taifa la watu wenye uwezo wa kuchambua mambo. Wengine waingie nao kuendeleza kijiti
 
Rushwa TZ ni kubwa kuliko tunavyoifikiria. Acha kabisa ndugu. Yaani bora usifahamu kulioko kufahamu. unaweza jitundika mkubwa.

Tatizo mnadhani kila Mbunge anaishi kwa Ubunge. I work. I do consultancies and i report all my incomes to ethics commission. Go and check, unalipa sh 1200 tu.

Currently i am doing a 200,000 euros project with EU in Zanzibar.

Ubunge kwangu ni utumishi na ndio maana ninafanya kazi yangu kwa uaminifu mkubwa na bila woga na kuchukua maamuzi ninayoamini. Sina god father apart from my party which i feel proud to be a member of and lead it.
 
Zitto kama TAANESCO walikuja kwenu kutaka kibali cha kununua hiyo mitambo ya Dowans na kama kweli wewe hujachukua rushwa ya fisadi Rostam basi kuwa makini. Rashid ni fisadi na hata wewe wajua alivyohongwa kwenye issue ya radar. Kwahiyo atakuwa amehongwa tena na akina Rostam ili atetee ununuzi huo. Tena katika mapendekezo yake anasema "Kama hatununui mitambo ya Dowans basi serkali iagize mitambo mipya ya kukodi" hasemi serikali inunue ila ikodi ili watu waone makali ya kukodi ambayo yanaambatana na capacity charges. Hapa jamaa lazima kuna kitu si bure hata kidogo. Zitto jioshe kwenye hili vinginevyo tuaona kila dalili za wewe kuwa kama kaka yako Kaborou za kurudi CCM na kuanza kuwaponda CHADEMA.
 
Mkuu Mkandara na wengine, Zitto amenishangaza mno na kwa kweli sababu sisi wote ni watoto wa mjini, hakuna njia bali KUCONCLUDE BLACKMAIL/CORRUPTION imetumika.

Halafu cha kushangaza Mh. Zitto anasema yeye anasimamia ukweli na hayumbi kwenye utekelezaji na hata akibaki mwenyewe sawa. Hivi huyu mtu anaendesha shirika lake binafsi au ni dhamana hiyo wananchi tulimpa kwa kura? Yaani kuwa chairman tu wa kamati amekuwa arrogant hivi, eti kamati yangu blah blah!!! Hivi ni nini hiki??? Nkiki jamani??? Zitto anadhani msimamo wa mwanasiasa ni wa kwake binafsi au ni wa wananchi?? Unadhani Obama anapenda Gaza wapigwe mabomu au ni reality kuwa bila kusupport israel huwezi kuwa Rais??

Sasa Zitto na misimamo yako binafsi ungetusaidia kama ungejiuzulu huo uchairman wa hiyo kamati uliyopata sababu ni mpinzani wa serikali na wananchi tulikuweka juu, then ukeep misimamo yako binafsi, sio unatumia position uliyopata sababu ya wananchi kukuweka juu, halafu unawaambia wananchi wewe unajali uamuzi binafsi. Kumbuka wabunge wengi wanaharibu lakini sisi hatujali sababu tunajua hao wabunge ni hovyo, BUT U AND DR.SLAA, huwezi jua disappointment na majonzi uliyotuletea sababu tuliwategemea mno, and then kwenye hili bado unatunyanyasa na kutupiga vijembe wakati tunajaribu kwa udi na uvumba kukusaidia wewe binafsi na position yako kwa wananchi wa Tanzania. Sisi hapa tunajua hili litakumnaliza kabisa in the next few weeks na tunajaribu kukuomba kwa faida yako mwenyewe lakini mwenzetu sijui vipi.

Jamani nimeweka manyanga chini na ni afadhali tutawaliwe na CCM milele maana
at least wao wametuonyesha hawatujali wala hawana haja ya mawazo yetu, kuliko hawa wapinzani waliotumia mgongo wa support kubwa ya wananchi especially sisi wasomi kuja juu, halafu hawajafika popote wameanza kuonyesha huu wazimu.

Hivi huyu Zitto angekuwa na power ya utendaji kwa mfano tungepush serikali ya mseto na yeye ndio PM, si tungekoma.

Mimi nimeishiwa nguvu na kwa kweli Tanzania tumekwisha.

Hichi kitu straight forward ambacho kila mtu mpaka wabunge wa CCM wanajua ni bomu, leo huyu tunayemwamini anatutukana na kungangania mambo ya ajabu.

Tufanye assumption kwamba sisi wananchi ndio tunamakosa na kweli Dowans ni nzuri, Je ZItto haoni kuwa whether tuko wrong au right, bado TANESCO haitapata hasara yeyote kubwa kwa kununua mitambo mipya kwa sababu even best case scenario dowans watafikia tu level ya mitambo mipya lakini hawawezi kuipita, lakini kama tuko right then Dowans wataleta hasara. Sasa premise hii tu inaonyesha kungangania dowans kuna downside kubwa kuliko upside, na bado Zitto anangangana, AMA KWELI TANZANIA HOVYOOOOOOOO including mimi mwenyewe.!!!!!!
 
Last edited:
Zitto kama TAANESCO walikuja kwenu kutaka kibali cha kununua hiyo mitambo ya Dowans na kama kweli wewe hujachukua rushwa ya fisadi Rostam basi kuwa makini. Rashid ni fisadi na hata wewe wajua alivyohongwa kwenye issue ya radar. Kwahiyo atakuwa amehongwa tena na akina Rostam ili atetee ununuzi huo. Tena katika mapendekezo yake anasema "Kama hatununui mitambo ya Dowans basi serkali iagize mitambo mipya ya kukodi" hasemi serikali inunue ila ikodi ili watu waone makali ya kukodi ambayo yanaambatana na capacity charges. Hapa jamaa lazima kuna kitu si bure hata kidogo. Zitto jioshe kwenye hili vinginevyo tuaona kila dalili za wewe kuwa kama kaka yako Kaborou za kurudi CCM na kuanza kuwaponda CHADEMA.

Siwezi kurudi CCM kwani sijawahi kuwa CCM maisha yangu yote. I have my mission and i do it ie ending single party dominance. I know what i am doing and thats why i support my party using my own resources. My agenda is to see my party win more seats and kwa Kigoma to take 5/7 seats. I am determined to that.

Kujiunga na CCM? Option hiyo ondoa kabisa. CCM ipi sasa mtu kama mimi anaingia? CCM - Lowasa?, CCM - Sitta/Membe?, CCM - Mwandosya/Mwakyembe? Mwanasiasa makini atakayeenda CCM sasa nitamshangaa maana pale hakuna chama cha siasa kuna electoral machine. Turudi kwenye hoja
 
Zitto unasema hurudi tena kugombea Ubunge jimboni kwako na badala yake unaenda kufundisha, kumbe ndo maana umekomalia basi huo ununuzi wa mitambo chakavu ya Dowans since you have nothing to loose. Umeshaweka kibindoni mamilioni yako toka kwa fisadi Rostam na swahiba wake Lowasa. Tumekuelewa.
 
He, yamekuwa hayo tena......... Haya niliyasema toka Septemba 2006. Nikarudia mwaka 2007 na 2008. Huko nako nilihongwa na nani?

Huo ndio msimamo wangu toka naingia bungeni kuwa nitasave term moja kisha niende kwenye kazi ninayoipenda ie kufundisha, utafiti na kuandika vitabu.
 
Bwana Zitto

Kamati yako inataka kununua zigo lililopatikana kifisadi fisadi?
 
Hahah ni maajabu na kweli nani watamlipa hizo pesa??kama mmiliki hajulikani??nani anawatia pressure kali hiyo??ila RA ni kiboko jamani tutake tusitake jamaa anatisha.....hata JK hageuzi kabisa na kisirani chake chote ameshikwa pajaya na RA...
 
Zitto said:
Ndio maana nililiuzilia mbali kwani niliona halinifai kulingana na style ya maisha yangu. Raila made me have it and once i had it i said NO way.

Kigoma is very different now from December 2005. My constituncy is the only one with a new road being built. Barabara ya Mwandiga Manyovu inajengwa kwa lami na kuunganisha Mwandiga na Bujumbura. Toka Uhuru Kigoma imekuwa na km 6 za lami.

My constituents sell coffee straight to US. Last year, following the project i had from Canada, we produced the best coffee in Tanzania and my farmers had the best price (2200 kwa kilo).

We have schools in all wards and i am now building dormitories for girl students.

Trough EU water facility, 5 villages got clean and safe water. All stalled projects on health facilities have been completed.

The list is long - i have done my work. Tembelea Kigoma ukaone na uzungumze na watu wa Kigoma.

Ubunge kwangu sio dili, ni utumishi. Na kwa kipindi nilichokaa nimefanya mambo makubwa kijimbo, kimkoa na kitaifa. Ndio maana ninaacha nikafanye mengine kwa ajili ya nchi.

I am going to teach ili kujenga Taifa la watu wenye uwezo wa kuchambua mambo. Wengine waingie nao kuendeleza kijiti

Zitto,
majibu yako yamenifanya nikusamehe kwa kuendesha HUMMER!! endeleza kazi nzuri ya kuwaletea kuhamasisha na kuleta maendeleo kwa wananchi wa jimbo lako na kigoma nzima.

binafsi ningeona fahari sana kama miaka ya karibuni, labda 2012, jimbo lako likaandikwa magazetini kwamba limetoa moja kati ya shule bora katika mitihani ya taifa. haitoshi kujenga shule kila kata. jielekeze zaidi katika kuinua kiwango cha elimu jimboni kwako. katika hilo jiwekee lengo na kushindana na zile shule bora kabisa Tanzania kama Feza Boyz, Maua Seminari, Cornelius, Mary Gorreti nk nk.
 
Hapana Mama. Kamati inataka tuwe pragmatic.

Zito unakwenda kufundisha?.Mhh ama kweli watu mna malengo...U gat your money then back to teaching....unakuwa leacture mwenye malengo....
 
Now it all makes sense...Kumbe mhishmiwa hagombei tena 2010.... Nimekukubali mhishmiwa mtoto wa mjini.
 
Zitto hivi ninapoandika ninalia kwa maana tegemeo langu limepotea na kuzama. Dowans hawaitaki CCM, wewe mpinzani unataka ya nini? Hujui ni kosa la jinai kupatikana na mali ya wizi? Mitambo iliibwa ndo maana hata wenye nayo ni matapeli.
Zitto wewe ni kiongozi wa wananchi, hujiongozi wewe mwenyewe!
 
Hapana Mama. Kamati inataka tuwe pragmatic.

Is being pragmatic means kununua zigo lililiopatikana kifisadi? Kwa hiyo kamati yenu inakubaliana na ufisadi? Kisheria inakuwaje?
 
Back
Top Bottom