Dowans: Another Richmond in making?

I guess muhusika mkuu hapo ni Rostam, jee CCM itaweza kumkaanga RA? Nadhani kuna setup inayokuja. Kama mzazi wako yupo close na CCM mwambie awe muangalifu, i smell setup hapo.

Muhamed Saleh anajua nani ni mmiliki wa hii kampuni, kwani si yeye aliyekuwa anaripoti kisiri siri kwa Richmond/Muhamed Gire/Rostam mambo ya internal negosiation ya Tanesco. Sasa mbona hii serikali ya Jakaya inataka kutufanya Watanzania hatuna hakili? Muhamed Saleh aliacha kazi Tanesco kwenda kuwa mkurugezi wa Dowans baada ya Richmond kuachia ngazi. Sasa kama mnataka kumjua nani muhusika wa Dowans si mnakwenda kumshika Saleh anamtaja muajiri wake?? Wote tunajua kabisa Saleh ndio aliwalobby Tanesco kuhusu Richmond na ni yeye aliyesoma na Muhamed Gire.

Hawa CCM always wanataka kujifanya wanabraking news, not this time na cheap news zao. Waambie hawajangundua kitu, swala la Dowans and Richmond was solved tangu report ya Mwakyembe ni wao ndio walio fail kutekeleza. We need swala la Balali na EPA, we need swala la Meremeta, swala la IPTL, Tangold and Kiwira, and Ndege ya Rais na Rada ambayo imesababisha vijimilion dollar vya chenge kuongezeka kwenye offshore account. That is what we need now
 
Kelele tuuu! Nani kasema sirikali ina haja ya kujua umiliki wa Richimondi ama Doowanisi. (Joke):(
 
namshawishi Muungwana aje mchangani tucheze chandimu ndipo atafahamu uhalisia wa maisha ya mtanzania na sio kama ambavyo wasaidizi wake wanamweleza.

Wandugu tufahamu tu kuwa haya malalamiko ya ufisadi na kadhalika ni matokeo ya kura zetu kwao. Naamini endapo tutasema inatosha, mabadiliko yataanza kuchukua kasi, sasa kinachofanyika ni kutosana na kuchafuana na sijaona nia ya dhati ya serikali kuwakabili mafisadi wanaoiweka serikali nzima mfukoni...

Kingine nionacho mimi ni kuwa hawa, hadaa kwa mtanzania wa leo aliyenyimwa elimu ni kinyume na haki za binadamu na hivyo serikali inavunja katiba kwa kukumbatia wahujumu uchumi ambapo matendo yao yanazidi matokeo ya kihaini, haya ni mauaji ya kimbari dhidi ya mama na watoto wetu kule mahosipitalini nk. MKO wapi wanaharakati??
 
Bado kuna utata kuhusu malipo kwa Dowans:

Wanadai hizo pesa zinawekwa kwenye akaunti maalum ya serikali ambamo Dowans hawezi kuzitoa pesa hizo.

Wakati huo huo inadaiwa kuwa kuna mtu huwa anakwenda kufuatilia hundi ya malipo Hazina kila mwezi (tena kwa mikwala). Ukweli kwamba Hazina wanalipa unathibitishwa na kauli ya Dr Idrissa kuwa serikali ndiyo inalipia moja kwa moja capacity charges.

Hata hivyo Dr Idrissa (jana) anasema wao Tanesco wanalipia gharama za gesi kwa Pan African Gas (Songas & Co) hivyo hawailipi Dowans moja kwa moja.

Tafakari...
 
This s a fucken government never happened anywhere in this planet!!
Who's rostam!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Very soon they'll pay this garbage!! starting wth jk!
 
Jamani CCM mwataka kutupeleka wapi?? Kama anayemiliki RICHMOND na DOWANS ni mtu mmoja na ni kigogo wa CCM, siamini kuwa Rais wetu ambaye ndiye Mwenyekiti wqa CCM hafahamu hili!! Ili uitwe kigogo wa CCM yapaswa angalau uwe na cheo kuanzia Katibu wa CCM wa Wilaya. Hata hivyo ili uweze kufanya usanii wote huu hadiuweze kuvuta shillingi milioni 152 kwa siku, na kuwa jasiri wa kuikoromea ofisi ya HAZINA amnbako wastaafu wetu wa afrika mashariki licha ya umri wao hawana ubavu kuitingiosha, sharti uwe kigogo wa hadhi ya mjumbe wa NEC au Kamati Kuu. Connect the dots.... mbona karibu atajulikana....TANZANIa, TANZANIA, NCHI YANGU NAKUPENDA SANA, NIONAPO ..........
 
.............................................................

Muhamed Saleh anajua nani ni mmiliki wa hii kampuni, kwani si yeye aliyekuwa anaripoti kisiri siri kwa Richmond/Muhamed Gire/Rostam mambo ya internal negosiation ya Tanesco. Sasa mbona hii serikali ya Jakaya inataka kutufanya Watanzania hatuna hakili? Muhamed Saleh aliacha kazi Tanesco kwenda kuwa mkurugezi wa Dowans baada ya Richmond kuachia ngazi. Sasa kama mnataka kumjua nani muhusika wa Dowans si mnakwenda kumshika Saleh anamtaja muajiri wake?? Wote tunajua kabisa Saleh ndio aliwalobby Tanesco kuhusu Richmond na ni yeye aliyesoma na Muhamed Gire.
............................................................................

Sahihisho kidogo hapo, Mtanganyika.

Mohamed Saleh hakusoma na Mohamed Gire. Gire ni mdogo sana wa kuweza kusoma na Mohamed Saleh. Saleh alikuwa Manager - Light Current Tanesco (karibu na stesheni) wakati Gire hata secondary alikuwa hajamaliza. Connection yao katika Richmond inatokana na urafiki wa Msabaha/Saleh na Saleh/Gire kupitia kwa binti ya Saleh (na mume wake, siwakumbuki majina) wanaoishi Houston, Texas. [Mume wa huyo binti ni kijana wa Bagamoyo na anamwita JMK, mjomba (au binamu, mtoto wa mjomba), na ndiye aliyewezesha Gire kuonana na JK alipozuru NY, na JK kutamka ameonana na Richmond na wamemhakikishia kuwa kazi watamaliza kabla ya Sept 2006].

Ikumbukwe pia Saleh alistaafu Tanesco ila akarudi kwa mkataba wa miaka miwili, na moja ya kazi zake baada ya kurudi Tanesco ni hii Richmond. Na akastaafu tena na kwenda Richmond/Dowans mara tu baada ya mkataba wa Tanesco/Richmond kusainiwa.
 
Mohamed Saleh hakusoma na Mohamed Gire. Gire ni mdogo sana wa kuweza kusoma na Mohamed Saleh. Saleh alikuwa Manager - Light Current Tanesco (karibu na stesheni) wakati Gire hata secondary alikuwa hajamaliza. Connection yao katika Richmond inatokana na urafiki wa Msabaha/Saleh na Saleh/Gire kupitia kwa binti ya Saleh (na mume wake, siwakumbuki majina) wanaoishi Houston, Texas. [Mume wa huyo binti ni kijana wa Bagamoyo na anamwita JMK, mjomba (au binamu, mtoto wa mjomba), na ndiye aliyewezesha Gire kuonana na JK alipozuru NY, na JK kutamka ameonana na Richmond na wamemhakikishia kuwa kazi watamaliza kabla ya Sept 2006].

..kwahiyo richmond/dowans ya nani?
 
Basi hii ni hatari sana, kama jamaa anaweza kutuzunguka namna hii hakika tuna kazi hapo mbele
 
acc za bank ziko kwa jina la nani ???????? wasitufanye sie mandondocha hawa mabwege wa CCM
 
JAMANI MSITARAJIE LOLOTE JIPYA

""""""""RICHMOND + DOWANS = NDIZO ZILIZOWAINGIZA CCM MADARAKANI

NANI ATAMSHTAKI MWENZAKE...TUJIPEMOYO KWA KUANDIKA
HAKUNA KITAKACHOFANYIKA AFUNWI MTU WALA TAKATAKA YOYOTE KWENDA MAHKAMANI
 
Yalihisiwa, yakaongelewa, yamewezekana! Watakubali? Mwisho wao ni August mosi 2008! Tusubiri habari zaidi
 
Weka mambo tuwape mambo!
walitaka mambo wameyapata majamboz.
Dowans ni ya ROSTAMA AZIZI?!
 
tunawapeleka court na pesa yetu inarudi? au mkataba ndio unaisha na jamaa wanaondoka na mabilioni
 
Back
Top Bottom