Alah, kumbe TANESCO wana uwezo wa kumiliki na kuendesha mitambo hiyo hiyo ya Dowans/Richmond ambayo walienda kuwa contract Dowans/Richmond ?
Hivi kumbe hizi contract - hata zile zilizokuwa halali - basi mi miradi ya watu!!!
I mean, unaweza kuingia mkataba wa kukodisha gari kulitumia mwaka mzima wakati una hela za kununua likawa lako ?
Somebody ask Ngeleja this question.
Kuhani, hiyo ndiyo Tanzania.
Miradi ya serikali inaagizwa magari mapya yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya shilingi. Gari inatumika miaka miwili mitatu then inauzwa milioni tano (5m)..guess nani anayelinunua.
Hiyo yote ni miradi ya watu baba, halafu mwisho wa siku wanaenda kushangilia kuwashinda mafisadi, what the heck!