Dowans: Another Richmond in making?

Dowans: Another Richmond in making?

Mheshimiwa William Shelukindo anashangaza kwa unafiki,huyu Shelukindo amekuwa mwenyekiti wa bodi General Tyre kwa zaidi ya miaka kumi na saba chini ya uongozi wake General Tyre ilitumika kuchota fedha NSSF $ 10 milioni mwaka 2005.Kuanzia mwaka 2005 mpaka mwaka huu General Tyre hakuwahi kufunga mahesabu {Annual Audit},nashindwa kuelewa ni kwanini anakuwa hodari kuongelea masuala ya madini lakini wakati huo huo anashindwa kuwaeleza watanzania jinsi alivyosababisha kiwanda kikubwa kama General Tyre kufa!.I'm not interestered with mabomu ya Shelukindo kwasababu uzembe na ubadhirifu wake umepelekea wafanyakazi zaidi ya 400 kukosa kazi.
Muungwana kama ataamua kuwa fair Shelukindo pamoja na wajumbe wote wa bodi ya wakurugenzi General Tyre walitakiwa kufikishwa mahakamani.
 
Mheshimiwa William Shelukindo anashangaza kwa unafiki,huyu Shelukindo amekuwa mwenyekiti wa bodi General Tyre kwa zaidi ya miaka kumi na saba chini ya uongozi wake General Tyre ilitumika kuchota fedha NSSF $ 10 milioni mwaka 2005.Kuanzia mwaka 2005 mpaka mwaka huu General Tyre hakuwahi kufunga mahesabu {Annual Audit},nashindwa kuelewa ni kwanini anakuwa hodari kuongelea masuala ya madini lakini wakati huo huo anashindwa kuwaeleza watanzania jinsi alivyosababisha kiwanda kikubwa kama General Tyre kufa!.I'm not interestered with mabomu ya Shelukindo kwasababu uzembe na ubadhirifu wake umepelekea wafanyakazi zaidi ya 400 kukosa kazi.
Muungwana kama ataamua kuwa fair Shelukindo pamoja na wajumbe wote wa bodi ya wakurugenzi General Tyre walitakiwa kufikishwa mahakamani.

Duu, Lakini hata kama ana madudu yake huko nyuma, haimuzuii kuwa muungwana kwa kufichua ufisadi unao endelea juu yetu kwa sasa, Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, wacha atimize wajibu wake, naye zamu yake ikifika atabeba zigo lake.

Bravo Sherukindo fumua yote usiache hata moja ya manyangau yote yanayo fisadi rasimali zetu!

SEMA BABA USIOGOPE......
 
Na mafisadi WANAWAKE nao vipi, mbona hawakamatwi? Mimi ningependa sana kuona hao mafisadi WANAWAKE wakikamatwa na kupelekwa rumande na wao. Kamata hao wanawake pia....ala!
 
Na mafisadi WANAWAKE nao vipi, mbona hawakamatwi? Mimi ningependa sana kuona hao mafisadi WANAWAKE wakikamatwa na kupelekwa rumande na wao. Kamata hao wanawake pia....ala!

Nyani,

Wanawake sio mafisadi kama sisi wanaume. Labda tubadili usemi wako na uwe Miafrika mianaume ndivyo ilivyo kwi kwi kwi!!!

Afrika kote wanawake wana nafuu sana, bahati mbaya hatuwapi nafasi.

Liberia miaka yote ni vita tu, lakini huyo dada yetu kaifanya nchi itulie na wala hatuioni tena kwenye TV.

Wanawake hawana tamaa kama sisi wanaume.

Ndio maana mwaka 2015 kwa CCM mimi ningetaka dada yetu wa UN achukue form.
 
Kuna press conference au? Hayo mambo ya kuwaweka wawekezaji kwenye "tension and suspense" kunadhoofisha uwekezaji nchini!

Utafiti unaonyesha kwamba wawekezaji kwenye sekta ya madini hapa Tanzania ume-stagnate kwa karibu miaka miwili kutokana na hiyo kamati ya kuchunguza mikataba ya madini. Maana hawaelewi mwelekeo utaofuata baada ya hapo!

Ukichanganya na financial meltdown ndio kabisa, vijikampuni vidog vidogo vya exploaration vyote vimesimamisha shughuli zao na kupunguza wafanyakazi!


Ni afadhali kutokuwa na wawekezaji kabisa kama uwekezaji wenyewe hauna manufaa kwa taifa.
 
Nyani,

Wanawake sio mafisadi kama sisi wanaume. Labda tubadili usemi wako na uwe Miafrika mianaume ndivyo ilivyo kwi kwi kwi!!!

Afrika kote wanawake wana nafuu sana, bahati mbaya hatuwapi nafasi.

Liberia miaka yote ni vita tu, lakini huyo dada yetu kaifanya nchi itulie na wala hatuioni tena kwenye TV.

Wanawake hawana tamaa kama sisi wanaume.

Ndio maana mwaka 2015 kwa CCM mimi ningetaka dada yetu wa UN achukue form.

Hapana! sikubaliani na wewe. WANAWAKE ni mafisadi sana ila wa kichinichini na wanajua kuziba nanihino (CAY) zao kuliko wanaume. Kwa mfano kuna yule mama mmoja hivi jina limenitoka. Alikuwa anachukuliwa sijui na fisadi Lowasa au mmoja wa hao mafisadi (I don't to remember the names). Wapo wengi tu na mimi nataka haki itendeke kwa kuwakamata wanawake hao
 
Kuna press conference au? Hayo mambo ya kuwaweka wawekezaji kwenye "tension and suspense" kunadhoofisha uwekezaji nchini!

Utafiti unaonyesha kwamba wawekezaji kwenye sekta ya madini hapa Tanzania ume-stagnate kwa karibu miaka miwili kutokana na hiyo kamati ya kuchunguza mikataba ya madini. Maana hawaelewi mwelekeo utaofuata baada ya hapo!

Ukichanganya na financial meltdown ndio kabisa, vijikampuni vidog vidogo vya exploaration vyote vimesimamisha shughuli zao na kupunguza wafanyakazi!


UNA UHAKIKA??? Tanzanian Royalty Exploration Corporation - Home Page - Mon Dec 15, 2008

Tuogope kurekebisha pale tulipokosea kwa sababu ya wawekezaji??

Wawekezaji wakubwa nchi hii, wanatoka Canada, Australia, etc, wote wanajua fika utaratibu wa nchi yetu na nchi zingine, pale tulipolala wametulalia, pale tusipojua wametuziba mdomo, viongozi wetu wamewapa rushwa,

kibaya haya makampuni yako kila kona ya dunia wanajua fika sheria na nini kinatakiwa kifanywe

walikosea kufanya risk analysis yao, before project, kuwekeza kwa wananchi waliolala! wajinga ni risk kubwa sana pale watakapoamka kama sasa, wamesahau golabalisation, kuwa dunia kama kijiji!

habari ndiyo hiyo!!
 
Fuse za hilo bomu zimegoma kulipuka nini?Mbona kimya?


Hata mimi nimeanza kuhisi hivyo sijui kunani maana nimepay atention kusikiliza nini kitajiri lakini wapi, ingekuwa ni game basi tungezema mpaka sasa ni bila kwa bila
 
The dataz ni kwamba siku ya Chenge kisutu, Chenge mbele Mary Kejo nyuma maana huwezi shika mmoja bila mwenzake, na it is coming soon!.
 
Ni afadhali kutokuwa na wawekezaji kabisa kama uwekezaji wenyewe hauna manufaa kwa taifa.

Kichuguu, hawa si wawekezaji bali ni wachukuaji. Huwezi ukawa muwekezaji na bila aibu hata woga ukatia kibindoni 97% ya mapato halafu ukawaachia wenyeji wako 3% na bado ukastahili kuitwa muwekezaji.
 
Fuse za hilo bomu zimegoma kulipuka nini?Mbona kimya?

Nilicho ona kwenye taarifa jana usiku ni kwamba kamati ya bunge chini ya kina Shelukindo imeweka wazi kuto kubaliana na swala la Tanesco kununua mitambo ya DOWANS, na kwamba ni kinyume kabisa na one of the govern. acts kwamba serikali isinunue vitu vilivyo chakaa/kwisha tumika!.

Na wameweka wazi kwamba wao kama muhimili mwingine wa dola yaani kutoka bunge hawakubaliani na hivo kutahadharisha muhmili mwingine yaani serikali kwamba ukiamua kuendelea kuinunua wawe tayali kwa yatokanayo ...

Na walipo ulizwa kuhusu RICHMONDI (na waandishi) wakadai wanasubili utekelezaji wa maamuzi/mapendekezo ya bunge kama ilivo ahidiwa na serikali kwamba wahusika wote wawajibishwe!
 
The dataz ni kwamba siku ya Chenge kisutu, Chenge mbele Mary Kejo nyuma maana huwezi shika mmoja bila mwenzake, na it is coming soon!.

Hawa ndio the epitome of corruption Tanzania katika mikataba michafu.. Maria Kejo formerly Mary Ndossi is a director pale Wizara ya Sheria lakini kisu chake kirefu kushinda seniours wake wengi except of course Mr Vijisenti mwenyewe. Don Chenge... Hawa ndio watu waliyoimaliza nchi...
 
Reporter wetu aliyekuwa Kisutu anafanya kufuatilia issues mbili kwa wakati mmoja (Chenge & Shelukindo) nasi tutawafahamisha kinachoendelea pindi tukikipata.[/QUOTE]

Mkulu usiyeonekana ya chenge yameishia wapi tena?
 
Bunge committee slams govt plans to purchase Dowans power turbines (Thisday)

SEBASTIAN MRINDOKO
Dar es Salaam

A PARLIAMENTARY watchdog committee has opposed government plans to purchase a 100-megawatt thermal power plant from the controversial Dowans Holdings company.

The Bunge energy and minerals committee chaired by William Shellukindo says it has been ''shocked'' by the move being mooted by the Ministry of Energy and Minerals, which it appears is contrary to advice already offered by the committee.

Shelukindo told a news conference in Dar es Salaam yesterday that the committee was on Sunday informed by the Minister, William Ngeleja, that the government wants to bid for the purchase of the power generators.

''We were surprised to receive this information from the minister just two days before the closing date of the tender (today, December 16),'' he stated, adding however, that the committee had been alerted by its own sources of the plan since October.

Noting that the state-run Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) has previously denied any such plans to purchase the Dowans power turbines, Shellukindo questioned why the whole matter appeared to be shrouded in secrecy.

''We in the committee are shocked to learn that government plans to purchase the Dowans turbines have been revived even after we informed the minister (Ngeleja) in Dodoma on November 7 this year, that any move to buy the turbines would be illegal and contravene a previous decision made by parliament,'' he said.

Shelukindo said under parliamentary procedures, no member of parliament (including a cabinet minister) is allowed to revive an issue that has already been previously decided on by Bunge.

According to the parliamentary declaration issued in February this year, the owners of Richmond Development Company LLC/Richmond Development Company (Tanzania) Limited � predecessors to Dowans Holdings - should be swiftly prosecuted for causing a huge loss to the government through undelivered power.

Shellukindo said it was strange that the ministry would now want to do business with Dowans, which inherited the Richmond contract under dubious circumstances, at a time when parliament's instructions on the matter have yet to be implemented.

''We cannot continue to allow people in government to do things in a rush, as previously happened with the signing of the Richmond contract in the first place,'' the committee chairman asserted.

He warned that if the ministry pushed ahead with its decision to purchase the Dowans power turbines, parliament will take Ngeleja to task.

''It is the parliamentary duty and obligation to supervise and moderate government performance, but if the decisions made by parliament are not implemented, it will cause unnecessary conflict between the two institutions (government and parliament),'' he said.

According to Shellukindo, it would also be going against public procurement regulations for the government to purchase the Dowans power turbines since they are ''already old and cannot function properly.''

''When the minister consulted us (committee) on an alternative power supply, we advised him to negotiate with Independent Power Tanzania Company (IPTL), especially over the ongoing court proceedings on capacity charges, so that it may start operating and generating electricity to cover the expected power shortage in the national grid,'' he explained.

Committee member Christopher Ole Sendeka told the news conference that it would be a misuse of national resources to purchase the �old-fashioned and outdated� Dowans power turbines at a cost of $60bn (approx.70bn/-).

He suggested that the latest move being pushed by the ministry was probably a ploy to cleanse all those individuals involved in the whole Richmond contract scandal saga.

''This could have far-reaching consequences on the national economy, and the people's confidence in their government could drop again,'' Ole Sendeka stated.
 
New Dowans deal illegal, House Committee

2008-12-16 10:30:04
By Hannah Mwandoloma

The House Committee for Energy and Minerals has said it will not approve the government`s decision to buy the Dowans power generation plant as doing so goes against the laws of the land.

The remarks come in the heels of reports by a cross section of media quoting Tanesco Communications Manager Badra Masoud as saying that the issue of whether to or not to purchase the Dowans plant was still an internal discussion between the two parties.

In a swift rejoinder, House committee chairman William Shelukindo revealed in Dar es Salaam yesterday that the minister for energy and minerals William Ngeleja had called an emergency meeting on Sunday and gave the shocking news to the committee.

``I am surprised to hear that the government wants to get involved with people who once conned it. The government terminated its contract with Dowans.

We call upon the government to find an alternative solution to the problem instead of opting for fire brigade decisions,`` said Shelukindo.

He said the government had the whole year to find an alternative means, saying experience had proved that such fire brigade decisions had caused the nation to suffer major losses.

Shelukindo said the House had already deliberated on the matter; and what was left was for the government to implement the recommendations stated by the Mwakyembe committee, one of which was to terminate the contract.

``For us going back to discuss an issue that the House had already decided upon amounts to a breach of the Parliament regulations.

Should the government decide to buy the machines, let it not involve us as part of the deal,`` he said.

He, however, said the Mwakyembe Report had suggested that legal action be taken against those implicated in the scam, adding that the culprits were yet to be taken to court.

``The culprits could be the very same people who are now advising the country to buy the machines,`` said Shelukindo.

Simanjiro legislator Christopher Ole Sendeka said buying the second hand machines went against the Public Procurement Act.

``It is crystal clear that the Procurement Act does not allow the government to purchase used machines.

The Dowans machines are not new, yet the government has gone ahead and decided to purchase them and at a high price of 70 billion shillings.

This money could have been used to improve the infrastructure in our energy sector,� Ole Sendeka said.

He said it was as if the government had a prior plan to buy the Dowans plants long ago as the machines had been kept at the Tanesco site in Dar es Salaam instead of being removed.

Earlier, both the Government and Tanesco were quoted to have categorically refuted claims of a move to buy power generators from Dowans Tanzania Ltd.

The measure was allegedly intended to offset the critical power shortage in the country.

A state-run Sunday newspaper, quoting an impeccable source, months ago said in its edition that the country`s giant utility firm had written a letter to the government urging the authorities to approve the sale.

According to the report, in its application, Tanesco had sought permission to take part in the procurement process of the 35 MW gas turbines lying idle at Ubungo in Dar es Salaam.

However, a close source to Tanesco confirmed that the government had actually attempted to buy the Dowans generators.

``Dowans owners wanted the government to sign a contract with them before they could switch on their machines.

This happened during the recent power rationing crisis,`` said a source, who preferred anonymity.

The source further stated that Dowans had never attempted to switch on its plants since the plant`s closure at midnight on July 30, this year.

Dowans and Tanesco entered into the contract after Richmond Development Company LLC failed to generate 100mw as stipulated in the June 23, 2006 agreement, which was signed after power-generation dams ran dry following prolonged drought.

Revoking the contract some few months ago, Tanesco said its contract with Richmond had no legal mandate and its transfer from Redvo to Richmond, later on to Dowans Holding SA Limited and eventually to Dowans Tanzania Ltd., did not conform to the original terms and was therefore illegal.

SOURCE: Guardian
 
Jamani,

Sikuwa na maana hakuna mwanamke fisadi. Kwa ujumla wanawake sio mafisadi kama sisi wanaume.

Kwa asilimia zaidi ya 90 ufisadi TZ unafanywa na wanaume.


Malizia basi!

Kwa asilimia zaidi ya 90 ufisadi unafanywa na wanaume nyuma yao wakiwepo wanawake!

au unataka kusema asilimia 90 ya wanawake hawajaolewa? au hujajua ndoa mkuu

wanawake chanzo cha almost kila kitu wataalamu wanasema ni source ya uovu uwao wote! mi simo nimesikia hivyo. wanasema hakuna dhana ya mwanaue na kila anachofanya kama mwanamke hayupo!
 
Back
Top Bottom