May be yote yanawezekana lakini ukumbuke huyu alitokea upinzani hawezi kuaminika moja kwa moja kwenye nafasi hiyo kubwaProf Kitila Mkumbo ndio PM ajaye, hisia zangu zinanituma hivyo.

Una ushahidi juu ya hili?Huyo siyo wa kanda ya ziwa, huku alihamia tu kienyeji tokea Burundi.
Yaani nchi iwe na PM ambaye siyo raia?
Google utapata majibu ya maswali yakoHivi ana miaka mingapi na ana elimu gani
Mzee LukuviKuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu
Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo
Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda
Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo
Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi
Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa
Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye
Comasava.
Elimu yake Motivational speakerHivi ana miaka mingapi na ana elimu gani
Hamnamo kitu humo na hawez pewa amin kwamba. Labda mwenza ila uwaziri mkuu we ndo utafuta.Hifadhi maneno yako haya umeyatupa hadharani utakuja kukumbushwa
100%Una ushahidi juu ya hili?
Yawezekana huko upinzani alikuwa pandikizi, siasa ni mchezo mchafuMay be yote yanawezekana lakini ukumbuke huyu alitokea upinzani hawezi kuaminika moja kwa moja kwenye nafasi hiyo kubwa
Ni kampeni chonganishi, mara Biteko, Mara Bashite, Mara Magufuli Sawa Sawa na ya VP chombo Jina linatolewa kabla ya muda muafakaKuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu
Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo
Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda
Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo
Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi
Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa
Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye
Comasava.
Ndio elimu gani hiyo mzee kuwa seroiusElimu yake Motivational speaker
Maljbu yako yanakutanabaisha kwamba wewe wewe ni mmbea halafu ni mpenda fununu(unaokoteza vi meneno)Huyo siyo wa kanda ya ziwa, huku alihamia tu kienyeji tokea Burundi.
Yaani nchi iwe na PM ambaye siyo raia?
Nina elewa ukomavu, uwezo na utendaji wa jamaa. Ila unapomwandaa namna hiyo, utalazimika kufanya makeke yote awe Mbunge hatimaye umteue uwaziri mkuu. Shida yangu ni hayo makeke je yatafuata taratibu na sheria za uchaguzi ???Kuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu
Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo
Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda
Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo
Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi
Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa
Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye
Comasava.
Atakuwa Bado anaenda BURUNDI kusalimia wajomba zake akiwa PM???Kuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu
Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo
Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda
Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo
Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi
Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa
Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye
Comasava.
Kwamba maza alikua anamuandaa!! Hatari sana