Ikishakuwa planned waaaay backKuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu
Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo
Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda
Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo
Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi
Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa
Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye
Comasava.
Mkuu anapanga timu yake mapemaIkishakuwa planned waaaay back
Time will tellNgoja tuone..
😄 🤣 😂 kwa hiyo wazee wa "no reform no election" wako sahihi?Endapo atashinda? Kwa sheria zipi asiwe mshindi.
Utabiri ni wa hali ya hewa tuHuu nao ni utabiri?
Hifadhi maneno yako haya umeyatupa hadharani utakuja kukumbushwaHatakuwa na hawezi kuwa
Kuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu
Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo
Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda
Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo
Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi
Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa
Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye
Comasava.
LABDA ZIWE SABABU NYINGINE LAKINI SIO HII, MAANA YEYE HATEGEMEI KURA ZA WANANCHI ILI ASHINDE, HATA ASIPOPIGIWA KURA ATASHINDA TUPia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi
Anashindana na nani kwenye ubunge?Kuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu
Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo
Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda
Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo
Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi
Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa
Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye
Comasava.
Kama hali ndio hivyo wazee wa no reform no election waendelee kukazaLABDA ZIWE SABABU NYINGINE LAKINI SIO HII, MAANA YEYE HATEGEMEI KURA ZA WANANCHI ILI ASHINDE, HATA ASIPOPIGIWA KURA ATASHINDA TU
Na mgombea wa CHAUMAAnashindana na nani kwenye ubunge?