Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

Naona unajaribu kuwarubuni kanda ya ziwa kwa mbinu zako za kishamba,,itasaidia nini yeye kuwa W /mkuu?
NRNE!
 
Wampe tuu hata uraisi tuu kazi ni kipimo cha utu.
 
Bora angekuwa Makonda na matk yake angetusaidia
 
Nimeshtuka !! nikajua Dotto Magari [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ila hikina cheo Cha naibu Waziri kingeondolewa kabisa,, maana kinavunja heshima ya U-PM.. haiwezekani mtu awe NWM alafu ni Waziri wa wizara Fulani.. akibolonga kwenye hiyo Wrlizara inayoisimamia inakuwaje..?
Serikali haioni gharama za kugharamia crew na misafara ya Hawa wote wawili..?
Pia inakuja kuleta dhana kama hizi kwamba akistaafu Waziri Mkuu basi NWR atakalia kiti.. Watu wanapenda Ile shahuku ya jina gani litapendekezwa.
 
Back
Top Bottom