Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

Hizi tabiri za namna hii mara nyingi huwa zinasababisha wanaoteua kubadili mawazo na kuangalia upande mwingine, hata kama mtajwa ana sifa zote sitahiki. Sijui nawaza nini anyway
 
Ndio maana hakuna aliyejitokeza kushindana naye kwenye jimbo lake.
Kwa hiyo hapo ni kula ya ndio au hapana maana yake nini? Ndio ndiye yeye hapana hakuna mwingine zaidi yake keshashinda huyo dogo na ndiye PM
 
Hizi tabiri za namna hii mara nyingi huwa zinasababisha wanaoteua kubadili mawazo na kuangalia upande mwingine, hata kama mtajwa ana sifa zote sitahiki. Sijui nawaza nini anyway
Kama wewe unaamini mtu atakusadia kwenye safari zako haijalishi hata watu wakitabiri utaenda naye tu huyo mtu wako
 
Back
Top Bottom