Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

Kuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu

Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo

Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda

Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo

Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi

Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa

Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye

Comasava.
Ndoto za mchana. Ingekuwa hivyo asingeteuliwa DPM. PM siyo cheo cha kimuundo eti anaefuatia ni aliyekuwa DPM.
 
Dotto Biteko keshaandaliwa mazingira mazuri ya Uwaziri mkuu ni mgombea pekee hana upinzani ni mkakati huo wa awali dogo kuwa PM
 
Mimi hisia zangu nahisi waziri mkuu anaweza kuwa kati ya hawa wawili
1. George Simbachawene.
2. Nape Moses Nnauye.
 
Kuna kila dalili Dotto Biteko kuteuliwa kuwa waziri mkuu ajayo baada ya Kassimu Majaliwa kung'atuka kugombea ubunge jambo hivyo kujiondoa kwenye sifa ya kuwa waziri mkuu

Biteko ambaye ni naibu waziri mkuu na waziri wa nishati ana sifa zote za kuwa waziri mkuu wa Tanzania Serikali ijayo

Kwanza ni kijana, pili ni mchapakazi nne anajua kuongea na hadhira tano ana mvuto wa kupendwa na watu wa rika zote wa imani zote hata wapinzani wanamkubali na kumpenda

Rais Samia Suluhu Hassan hakumteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu kwa bahati mbaya kwanza amefanya hivyo ili kumuandaa aanze kuzoea kazi na majukumu ya waziri mkuu lakini pia kupata uzoefu toka Majaliwa ambaye anauzoefu mkubwa wa kukaa kwenye nafasi ya waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo

Pia rais Samia amemteua Biteko kuwa naibu waziri mkuu ili kuwavutia kwanza watu wa kanda ya ziwa ambapo ndio eneo linalotajwa kuwa na wapiga kura wengi

Aidha rais amemteua Biteko naibu waziri mkuu ili kuwa vutia vijana ambao ndio wengi nchini na kuwa mtaji wa yeye (rais) kufanikiwa kwenye malengo yake ya kisiasa

Hivyo kutokana na sababu hizo hapo juu na sifa zilizotukuka za Biteko ni dhahiri ndiye waziri mkuu wa Tanazinia ajaye

Comasava.
Kwamba anayeandaliwa uwaziri mkuu anaweza kushindwa ubunge?kwa demokrasia ipi?
 
Ni kweli Doto anautaka upm kwa nguvu sana, ameshaaanda mtandoa wake , hasahasa Yuko kwenye vyombo vya habari na online media. Na
Ndani ya chama hasa ukanda wa ziwa.

Alinikera jambo moja kipindi cha JPM, Kuna mgodi shinyanga ulifunika watu karibu 100> lkn Doto alotoa taarifa za uongo kuwa hakuna MTU aliyefukiwa na vyombo vya habari vilizuuiliwa visiende eneo hilo.

Lakini baadae kabisa EU walikuja kutoa pesa za rambirambi kwa ndugu wafiwa kwenye ule mgodi.

Serikali kuweni makini na watu munao wapa madaraka ya uongozi.
 
Kiko wapi sasa? kwa sauti ya Mac Reagan!
 
Kwahiyo hoja yako imekaaje hapo ?

Maana unachanganya mambo.

Majaliwa kuwekewa msaidizi haimaniishi huyo msaidizi atakuwa PM .

Usichoelewa siasa za kibantu hazilengi Competence Ila zinalenga kupata Madaraka kila baada ya term Fulani .

Kwahiyo Kumuweka Biteko pale ni miakakati ile ile ya kuchota ufahamu wa watu wa kanda ya ziwa .

Uchaguzi ukiisha kuna sura utaziona utashangaa.
Aisee uliona mbali
 
Back
Top Bottom