Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

Acheni ramli gombeshi, huyo kijana ni very competent ata mimi ningekua Raisi ningemchagua kuwa PM
Ndugu yangu pm unafanya kaz kuendana na mkuu wa nchi,,,katiba ya Tanzania imemuoa raisi Kila kitu ndio maana Kuna baadhi ya viongizi wanashindwa kufanya kazi kwa maono Yao na uchakaz wao..
 
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.
Utashangaa
 
Kuna watanzania mna akili ndogo Sana either hampendi kujielimisha au mmeamua kujitoa ufahamu .

Katiba ya Tanzania inasema waziri Mkuu atahudumu miaka 10.

Kwahiyo majaliwa angeamua kuendelea kuwa Mbunge bado asingepata nafasi ya yeye kuwa waziri Mkuu .
Hakuna kifungu kama hicho kwenye katiba, cha ukomo wa uwaziri mkuu.

Unadhani watu hawajielimishi kumbe ni WEWE ndo hujajielimisha.
 
Kwahiyo hoja yako imekaaje hapo ?

Maana unachanganya mambo.

Majaliwa kuwekewa msaidizi haimaniishi huyo msaidizi atakuwa PM .

Usichoelewa siasa za kibantu hazilengi Competence Ila zinalenga kupata Madaraka kila baada ya term Fulani .

Kwahiyo Kumuweka Biteko pale ni miakakati ile ile ya kuchota ufahamu wa watu wa kanda ya ziwa .

Uchaguzi ukiisha kuna sura utaziona utashangaa.
Hoja yangu ni kwambq Kuna kitu kimefanya aamue kukaa pembeni sio kwa mtakwa yake.mkamu wa raisi alitangaza mapema sana kuwa anataka apumzike lkn pm anakuja dakika za 90 kutangaza kuwa amesitafu.
 
Hopefully, kiti kinaenda kwa mzee wa Burundi
 
Acheni ramli gombeshi, huyo kijana ni very competent ata mimi ningekua Raisi ningemchagua kuwa PM
Smart sawa, ila kubwa kuliko ni uungwaji mkono kutoka kanda ya ziwa.

Kanda ya ziwa ni ya moto, ni eneo kubwa, lenye watu wengi, wenye moyo mkali (Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Kagera, ukiongeza na sehemu kadhaa za Tabora).
 
Mnataka kula za kanda ya ziwa, hamna lingine.
Uzuri huku hatudanganyiki, na ziara yake majuzi huku amejionea mwenyewe kuwa ilibidi watu wageuzwe ng'ombe kusafrishwa kwenye semitrela kutoka maeneo ya mbali kwenda kujaza mikutano yake.Hapa Mwanza mjini walikusanywa watu toka vijijini mikoa ya jirani wakalazwa kwenye mashule na kuchinjiwa ng'ombe na nyumbu ili waje kujaza uwanja wa Kirumba ionekane anakubalika.HATUDANGANYIKI.
 
Hoja yangu ni kwambq Kuna kitu kimefanya aamue kukaa pembeni sio kwa mtakwa yake.mkamu wa raisi alitangaza mapema sana kuwa anataka apumzike lkn pm anakuja dakika za 90 kutangaza kuwa amesitafu.
Nanukuu....kuna watu ambao sio wazawa na wamefanikiwa kufika nafasi za juu za maamuzi.......nahisi lilikua dongo la makamu pamoja wengineo
 
Ameangalia maslahi yake ameona yanamtosha

Kwakuwa unapoacha uwaziri uanaendelea kulipwa 80% ya kile ulichokuwa unapata

Unakuwa benefits na mambo mengine Kama Matibabu , ulinzi n.k

So ikiwa umeshakuwa PM kwa miaka kumi unafikiri ni sahihi kuwa MP tena.

Kuhusu Mpango ni swala la Afya pia umri.
 
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.
Tutakuwa na waziri mkuu wa hovyo zaidi katika historia ya nchi hizi.waziri mkuu ambaye ana vinasaba vya nchi jirani kweli watz sisi ni wajinga sana.kwa kweli wacha tu kasimu majaliwa aachie kugombea sababu maccm yalipanga kumdhalilisha.
 
Acheni ramli gombeshi, huyo kijana ni very competent ata mimi ningekua Raisi ningemchagua kuwa PM
Yeye hiyo competence kaitoa wapi ambayo wengine hawana.sisi wabongo vichwa vyetu ni mazishi.
Nanukuu....kuna watu ambao sio wazawa na wamefanikiwa kufika nafasi za juu za maamuzi.......nahisi lilikua dongo la makamu pamoja wengineo
 
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.
Ameshapata ubunge tayari?
No Reforms no election ✌️
 
Back
Top Bottom