Na kina Kulupura wengi piaMmmh wakina tambi tambi wengi
Na kina Kulupura wengi piaMmmh wakina tambi tambi wengi
Mwamba Magufuli aliwahi kusema muhimili uliojichimbia ni mmoja tu CDF analipwa na nani mshahara?Na CDF anasemaje?
Uhatari uko wapi? Duniani kote viongozi kuandaliwa ni jambo la kawaidaKwamba maza alikua anamuandaa!! Hatari sana
Sisi ndio tunamtaka huyo huyo aliyehamia kienyeji.Huyo siyo wa kanda ya ziwa, huku alihamia tu kienyeji tokea Burundi.
Yaani nchi iwe na PM ambaye siyo raia?
Mjomba ni mama kasoro hanyonyeshi tu. Kama wajombwa banyamulenge baba akiwa Mtanzania anakuwa na sifa ya urai ukoo wa kisukumaAtakuwa Bado anaenda BURUNDI kusalimia wajomba zake akiwa PM???
Safiii sana tuendelee kuweka rehani nchi yetu 🤔🤔🤔🤔
Uchaguzi wenyewe si wa chama kimoja? Uchaguzi anashindana na mzee wa ubwabwa 😄 🤣Nina elewa ukomavu, uwezo na utendaji wa jamaa. Ila unapomwandaa namna hiyo, utalazimika kufanya makeke yote awe Mbunge hatimaye umteue uwaziri mkuu. Shida yangu ni hayo makeke je yatafuata taratibu na sheria za uchaguzi ???
Wee jamaa ndio umeamua kusema ukweli na kuonyesha mahaba yako kwa PM ajaye 😄 🤣 😂Sisi ndio tunamtaka huyo huyo aliyehamia kienyeji.
Changamsha genge tu 😄😄Wee jamaa ndio umeamua kusema ukweli na kuonyesha mahaba yako kwa PM ajaye 😄 🤣 😂
Akithibitisha nistue na mimi niwashe data pamoja SantaMaljbu yako yanakutanabaisha kwamba wewe wewe ni mmbea halafu ni mpenda fununu(unaokoteza vi meneno)
Emu tuthibitishie kwamba jamaa ni M-Burundi
Lakini hoja yako nzuriChangamsha genge tu 😄😄
Sheikh Yahya atakua anacheka sana huko kuzimu akiona mamluki wengi wamevamia fani yake.Huu nao ni utabiri?
😄 🤣 😂 wee jamaa eti kuwa seriousNdio elimu gani hiyo mzee kuwa seroius
Tangu lini maiti au marehemu akicheka? Wee jamaa kuwa seriousSheikh Yahya atakua anacheka sana huko kuzimu akiona mamluki wengi wamevamia fani yake.
Magufuli tena huyu mwendazake au mwingine?Ni kampeni chonganishi, mara Biteko, Mara Bashite, Mara Magufuli Sawa Sawa na ya VP chombo Jina linatolewa kabla ya muda muafaka
Cheka tuone basi ulivyo na meno machafuhuku kuna watu wanachekesha sana
Hilo nalo nenoYawezekana huko upinzani alikuwa pandikizi, siasa ni mchezo mchafu
Tuthibitishe basi100%