Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

Bibie anataka kijana mpoole wa shkaoo MAAMAAA.... so atampa kwani hatayeye ukipima ananini chaajabu kukaa palejuu?
Kama sumaye aliweza mwanzo mwisho doto atashindwaje?
Mi ningeshauri ampe mkwewe asione soo
 
Kuna watanzania mna akili ndogo Sana either hampendi kujielimisha au mmeamua kujitoa ufahamu .

Katiba ya Tanzania inasema waziri Mkuu atahudumu miaka 10.

Kwahiyo majaliwa angeamua kuendelea kuwa Mbunge bado asingepata nafasi ya yeye kuwa waziri Mkuu .
Wewe ni Dr kweli?
 
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.
Hapana ni Paul Christian Makonda
 
Watajuana wenyewe, akiona inamfaa amuweke Wanu au Abdul wawe mawaziri wakuu na mumewe makamo wa raisi.

Nchi mali yao hii, wafanye watakavyo.
Pamoja mkuu.

Ikibidi waweke na mfumo WA kifalme kabisa .

Sisi watanzania wakawaida Tuwe daraja la MWISHO .(Slave)
 
Kuna watanzania mna akili ndogo Sana either hampendi kujielimisha au mmeamua kujitoa ufahamu .

Katiba ya Tanzania inasema waziri Mkuu atahudumu miaka 10.

Kwahiyo majaliwa angeamua kuendelea kuwa Mbunge bado asingepata nafasi ya yeye kuwa waziri Mkuu .
Mkuu,

Kifungu gani cha katiba kinasema Waziri Mkuu atahudumu miaka 10?

Ibara ya ngapi hiyo?
 
Sema ukweli siku hizi watu hawafatilii viongozi wao hawwjui kutokana na na madudu wanayo fanya
Mwigulu mara dotto viongozi wezi huwa hata sitaki kuwajua
akija waamaana ndo nitaanza kufatilia siasa

Huo mda bora ninyonge wifi niangalie porn itanisaidia
 
1Asalaam Aleykum!!

Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye

Ndugu yangu pm unafanya kaz kuendana na mkuu wa nchi,,,katiba ya Tanzania imemuoa raisi Kila kitu ndio maana Kuna baadhi ya viongizi wanashindwa kufanya kazi kwa maono Yao na uchakaz wao..
Kwani akiwa kuna shida gani mkuu,hata hivi uwaziri mkuu unakikomo awamu mbili unaondoka na rais wako aliyekuteua,majaliwa kahudumu uwaziri mkuu kwa awamu mbili,hakuna aliyemfanyia figisu,kuhsu mhe dotto kuteuliwa kuwa NW kaiulize mamlaka za uteuzi ziliona nini kwake.hakujiteua aliteuliwa.
 
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.
Acha kupoteza muda ktk utabiri wa kipuuzi, au amekutuma? Hiyo ni siri ya Rais kibwengo km ww huna uwezo wa kujua hiyo siri. Tuliaa makalio fanya mambo yako, hakuwa naibu waziri mkuu wa kwanza
 
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.
Itakuwa poa ila Sasa asili yake hiyo veepe?
 
Biteko ni dhaifu sana hawezi kumkemea ht afisa mdg, anachoweza ni mahubiri. Waziri wa Samia anatakiwa mtu mkali km kina Sokoine, Rais mpole PM awe km Biteko hiyo ni nchi? Waziri mkuu wa Samia ni mtu km Hussein Bashe, mwenye ujasiri usio kifani.
 
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.
Huyo Dotto mbona ni Mnyamulenge kutoka nchi jirani?
 
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.
"Waziri Mkuu" wa serikali ya wapi?
NO REFORM, NO ELECTION"
Kama bado huamini utabaki kuwa mbuzi milele!
 
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.

Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.

Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.

Katiba ya nchi inaruhusu kuwa na PM ambaye siye raia?
 
Back
Top Bottom