Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Acha maneno hayo,ccm itatawala mileleKuna matumaini kwa taifa letu huko mbele; Magufuli ukifikiria sana anafanya hata kazi ya upinzani ije kuwa rahisi sana huko mbeleni.
Acha maneno hayo,ccm itatawala mileleKuna matumaini kwa taifa letu huko mbele; Magufuli ukifikiria sana anafanya hata kazi ya upinzani ije kuwa rahisi sana huko mbeleni.
mkuu, sisi wengine tutaendelea ku-bet against him hadi pale tu atakapokuwa fair & square (NO siasa, NO visasi).Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Hivi unadhani kumpigisha magoti Karasinga mchezo?
mkuu
Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Mkombozi bank ifungiwe.
Mi naona kama ndiyo wanazidi kumpa wakati mgumu zaidi kwa sababu kila anapofanya kile ambacho wao walikuwa wanapiga kelele ili kifanyike, wanageuka tena na kuja kivingine. I don't understand Tundu Lissu mimi na sitamwelewa tena milele! Na mimi mtu akini-miss amen-imiss, once and for all!Kuna matumaini kwa taifa letu huko mbele; Magufuli ukifikiria sana anafanya hata kazi ya upinzani ije kuwa rahisi sana huko mbeleni.
Hapa ndipo pa kumwelewa JK na Kauli yake - " Ni upepo tu... Utapita"Hapa ni dalili kuubwa kabisa ya kukosa Noah zetu! hoja ya Accacia inafungwa rasmi ukiangalia kwa darubini!
Kuna watu walikuwa wanauliza sana mbona fulani hajakamatwa, mbona fulani hajafikishwa mahahakamani n.k Kuitwa kwa Lowassa kwa DCI inawzekana ukawa ni mwanzo wa jambo jingine kubwa tu.. I would not bet against Magufuli..
Thubutu anasali kwa pengo hujuiMkombozi bank ifungiwe.
Hapa ni dalili kuubwa kabisa ya kukosa Noah zetu! hoja ya Accacia inafungwa rasmi ukiangalia kwa darubini!
Betting against magu kunaweza kukupa utajiri wa kutupwa....matukio yake hayafikagi mwisho....nadhani washauri Ladbrokes waweke betting options za matukio ya magu uone tutakavyopiga pesa....Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!
Wahamisha magoli wawe waangalifu
Wakati mazungumzo juu ya suala la makinikia yanaendelea bado wapo watu kati yetu ambao ama kwa sababu ya woga au kwa sababu ya kutokujiamini wana mashaka na kile kinachoweza kutokea mbeleni. Watu wa Barrick wamepima vizuri 'options' zao; lakini wamegundua njia bora ni kufikia muafaka.. hawakutaka kubet against Magufuli..