Don't bet against Magufuli, utaliwa...

Don't bet against Magufuli, utaliwa...

Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!

Wahamisha magoli wawe waangalifu
Wasukuma mmeungana ! Daah hata kuona kuwa Nchi inaangamia hamuoni tena. Subirini mpaka tutakapo shindwa hata kununua aspirin ndio mtajua kuwa tumeangamia. To me is as if your President is doing nothing but killing all Government institutions and good governance.
 
Nimecheka eti ningekua mm Chenge ningeishi kwa wasiwasi halafu ???
 
Kwel ameonesha kuwa maisha ni suala la mtambuka wengi hatukulijua hili pia ule msemo wa wahenga waliosema hakuna marefu yasiyo na ncha!
 
Kusema ukweli hii kesi ya ESCROW wa wapenda nchi ilikua na sura mbaya sana kwa Taifa letu. Lakini ni mapema sana serikali itafute mawakili wazuri sana maana mh!

Wala hatujitaji mawakili kwani swala lenyewe lilianza kwenye ufisadi tangu 1994. KwanzaTanesco ilijaribu kurekebisha gharama za ujenzi wa mitambo ya iptl bila mafanikio. Pili kampuni ya Singh -Piper Link ya Virgin Isles ilinunua hisa za Mechmar katika iptl 70% kwa usd 3,363na kuziuza kwa kampuni nyingine ya Singh Pan African Power ambayo haikusajiliwa Brela kwa usd 300,000. Mzee Ruge mwenyewe 30% ya hisa kwenye iptl akaziuza kwa usd 75m! Kwa Pan African Power ( 70% usd 300,000 na 30% usd 75m!)
Mbaya zaidi pesa zote za escrow usd 183m zikalipwa kwa PAP ambayo sasa ni mmiliki wa IPTL bila kujali kuna amri ya mahakama ya arbitration ICSID kuwa kabla ya malipo kufanywa ukokotozi wa capacity ufanywe ili kujua Tanesco ilipwe nini na iptl ilipwe nini lkn hilo halikufanyika na wakubwa wakasema hakuna pesa za umma humo. Ndipo mzee Ruge akalipwa zake usd 75m naye akaanza kuzigawa. Kwa hiyo yote yaliyofanyika ni illegal na hakuna haki itakayotokana na illegality.
 
Wasukuma mmeungana ! Daah hata kuona kuwa Nchi inaangamia hamuoni tena. Subirini mpaka tutakapo shindwa hata kununua aspirin ndio mtajua kuwa tumeangamia. To me is as if your President is doing nothing but killing all Government institutions and good governance.
Ndio maana smart people kuwachambua hawa watu walikuwa wakioa kwao. Then unafaidi hivi vituko.
 
Ujuha mzigo mkubwa sana! Kutoka mtu aliyepata heshima kubwa ndani na nje ya nchi ya kujenga hoja zenye nguvu sana kwa miaka mingi kutetea maslahi na demokrasi ya nchi yetu hadi kufikia kuwa KIKARAGOSI cha muongo, fisadi na dikteta uchwara.

Wahenga hawakukosea waliposema, “Umdhaniaye ndiye kumbe siye”

Watu wamepiga magoti waliozoea kusimama. Betting against Magufuli is not that wise after all. Mtu atakula hadi king!

Wahamisha magoli wawe waangalifu
 
Ujuha mzigo mkubwa sana! Kutoka mtu aliyepata heshima kubwa ndani na nje ya nchi ya kujenga hoja zenye nguvu sana kwa miaka mingi kutetea maslahi na demokrasi ya nchi yetu hadi kufikia kuwa KIKARAGOSI cha muongo, fisadi na dikteta uchwara.

Wahenga hawakukosea waliposema, “Umdhaniaye ndiye kumbe siye”
Naona povu na mitusi inakutoka tu...Elewa somo tajwa hapo juu na ukichukia saga chupa unywe na hatutakuacha ufe tutakufanyia upasuaji kukuokoa ili tuendelee kukuudhi
 
Back
Top Bottom