zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 523
- 927
kujua kiingereza kwa uelewa wako kupoje? unathibitisha vipi kama makonda hajui Kiingereza?Huko China, india, Pakstan unako kutaja huyo ambaye hajui Kingereza either hajasoma hau hakufundishwa kwa Kingereza. Hakuna Mhindi ambaye amesoma hajui Kingereza.
Nyamitako inglishi noti richabo.View attachment 3591661
Halafu English yake imeishia hapo Ubungo tu hapo ikitokea Magomeni 😂😂😂😂
Ile ya Ndalichako ni kiboko nafikiri hata Dotto Magari anamzidi.Wabongo tuna allergy na English. Imagine huyo ni waziri na ana degree! Professor Ndalichako akizungumza ndio utazimia kabisa.
Unamaanisha nini ukisema hiyo lugha siyo yetu?Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Kama sio yetu kwani unalazimishwa kuongea?, kusapoti utahira tu.Hiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Nje ya mada,
Hivi kwanini ni rahisi zaidi mtu kukosolewa anapokosea neno la kingereza kuliko kukosolewa pale anapoongea neno/sentensi kwa lugha ya Kiswahili na kukosea?
Mfano unakuta humu JF mtu akisahihishwa kuandika Kiswahili kwa ufasaha anakua mkali!
leo dada
Sijui kwa nini nchi tunapenda sana kulea ujinga na mediocrity, yani mtu anasoma Kingereza kuanzia primary mpaka degree au PhD na bado hawezi kufanya mezungumzo coherent hata kwa dakika tano tu halafu watu wanachukulia poa tu!Unamaanisha nini ukisema hiyo lugha siyo yetu?
English na Kiswahili ni lugha rasmi za Tanzania ambazo kila mtu anatakiwa kuzijua kwa ufasaha.
Msemo wa ..' hiyo lugha siyo yetu' , hautakiwi kuwa kichaka cha kuficha mapungufu yaliyosababisha watu wengi kutojua kwa ufasaha hiyo lugha.
Mapungufu yaliyosababisha hilo tatizo linajulikana....kwamba tuna walimu wachache sana wenye sifa ya kufundisha English....achilia mbali maeneo mengi hakuna hata hao walimu wa kubabisha.
Na ukweli mchungu ni kwamba tuna uhaba mkubwa wa walimu bora katika masomo yote...ila kushindww kwa wanafunzi kumudu kuongea na kuandika kwa kingereza ni kielelezo cha wazi cha mapungufu au uhaba wa walimu.
Ni kweli tunatakiwa kujivunia kuongea na kuandika kiswahili ,lakini vilevile hatuwezi kuacha kujua kingereza kwa ufasaha.
Kusema kwamba kwanza hiyo lugha siyo yetu ....kwa hiyo siyo ya lazima ni sawa na kutumia msemo wa sungura...."sizitaki mbichi hizi'....,baada ya kurukia ndizi zilizoiva kwa muda mrefu na kushindwa.
Haiwezekani tatzo likawa ni mwanafunzi....kwamba apewe somo la kingereza kwa miaka 5 au 7 lakini ahitimu shule ya msingi asimudu hiyo lugha.
Kweli,wengi matokeo yake wanawapeleka watoto wao shule za 'English medium'.Halafu nimekuja kugundua watu wengi wakishaona kiingereza kinawapiga chenga wanaanza kusingizia kwamba kiingereza sio lugha yetu.... Sasa tunakiongea cha nini wakati sio lugha yetu... Kiingereza kikikupiga chenga kubali tu usilete visingizio.
Sio kweli Mkapa J. Makamba Mboe Henche Sugu wanashinda Uk au Kenya?Shida tuliyonayo wengi hatuna mazoea ya kuongea huyo lugha mara kwa mara sasa inapotokea upo kwenye kundi la watu unataka kuonekana na wewe umo unaishia kutoa boko, unaweza kuwa kitu unakijua kabisa ila ndio ile shetani anapenda kuabisha mbele ya watu
Upuuzi zaidi mtu huyo anatumia nyaraka zilizoandaliwa kwa Kingereza katika utendaji wake. Hiyo mikataba yote ipo Kingereza, sheria na sera ni English. Halafu eti tuchukulie poaSijui kwa nini nchi tunapenda sana kulea ujinga na mediocrity, yani mtu anasoma Kingereza kuanzia primary mpaka degree au PhD na bado hawezi kufanya mezungumzo coherent hata kwa dakika tano tu halafu watu wanachukulia poa tu!
Hata kama, ndio aseme Done your research? Kumbuka huyo ana degree ameanza kutumia English toka form oneHiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Nani alisema mtu mwenye elimu akiongea kiswahili kibovu hatumcheki?Kwanini mtu akiongea kiswahili kibovu na ni mswahili kabisa huwa hatumcheki?
Kwani si alikua anaongea na waandishi wa habari wabongo?! Kiingereza usichokijua cha nini? Kiswahili chetu kwanini tunakidharau? Kama hujui hujui. Huwezi ukafika level ya uwaziri hujui kiingereza kilichonyooka na rahisi. Mambo ya kustaajabisha kabisaHiyo lugha sio yetu , kinachoshangaza upo busy kumkosoa mtu kwa lugha ambayo sio asilia yake.
Usomi sio kujua kiingereza.
Tazama china, tazama India, Pakistan, Japan ENGLISH wanayoiongea ni mbovu sana ila.....
Mimi siku zote nasema elimu yetu iko chini vibaya sana. Mtu huwezi kusoma kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo (unasoma lugha ya kiingereza darasa la kwanza mpaka la saba) na kuanzia form one unasoma kwa kiingereza halafu ushindwe kuongea kiingereza. Mbona Kenya wanaweza? Huyu bashite ni waziri lakini hawezi kuongea kiingereza rahisi kabisa. Kazi anafanyaje?Kiingereza ni kama hakitutaki watanzania.
kujua kiingereza kwa uelewa wako kupoje? unathibitisha vipi kama makonda hajui Kiingereza?
We ndo kilaza kweliLazima uchekwe kama una degree ya Tanzania halafu unaongea Kingereza broken tena ukiwa katika nafasi ya waziri, inatakiwa hata afungwe kabisa kwa kuaibisha nchi, vinginevyo azungumze Kiswahili awe na mkalimani wa kutafsiri kwa Kingereza.
Bashite ana degree ya nini?Hata kama, ndio aseme Done your research? Kumbuka huyo ana degree ameanza kutumia English toka form one
Kiingereza cha kitanzania hichoMimi siku zote nasema elimu yetu iko chini vibaya sana. Mtu huwezi kusoma kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo (unasoma lugha ya kiingereza darasa la kwanza mpaka la saba) na kuanzia form one unasoma kwa kiingereza halafu ushindwe kuongea kiingereza. Mbona Kenya wanaweza? Huyu bashite ni waziri lakini hawezi kuongea kiingereza rahisi kabisa. Kazi anafanyaje?
wafuasi wa CCM nao wangeleta nongwa vilevile.Ila wafuasi wa CHADEMA!, hivi angekuwa HECHE ungeleta huu Ushuzi humu?