Kweli kabisa madogo wengi wa kiislamu naona wameupiga chini kabisa uislamKama we ni kijana wa kisasa GEN Z unashangaza kuamini uislam na hadithi zake ila kama ni mzee mpuuzi endelea kuamini upuuzi huo maana uliishaoshwa akili zako asilia za kimatumbi ukaingiziwa akilili za kiislam ili utawaliwe vema kwa utamaduni wa kiarabu. Quran inakuhusu nini mwafrika mweusi mtanganyika wa kigoma ujiji kama si ujinga kuaminishwa mentality za utumwa? Ukikutana na gen z aliyezaliwa na wazazi waisla anakuambia huo uzombi uishie kwa wazazi wake, yeye hawezi kuamini ujinga huo
Yohana 10 :16 ndo inamaliza kila kituAlianza na wana wa Israel na baadae kwa watu wa mataifa yote.
Mathayo 28:18–20
18 Yesu akaja, akawaambia: “Nimepewa nguvu zote mbinguni na duniani.”
19 Kwa hiyo nendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabaptiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu,
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
Umejauje kama lingeendelea wakati ni ada yao ? Unaweza kuthibitisha ya kuwa lisingeendelea miaka yote ?Unasema waarabu kabla walikua wanaua Watoto wa kike Ila uislamu ukaja kukataza jambo hilo? Hata uislamu usingekuwepo hilo jambo lisingeendelea miaka yote
Jibu lako sio sahihi sababu Kuna Waarabu ambao sio Waislamu.Jibu langu kwako likawa unatenganishaje kiarabu na waarabu?
Hii mada nyingine ambayo inahitaji ushahidi ya kuwa Wamishionary walikomesha utumwa.Wamisionari walikomesha biashara ya utumwa huku, maana yake tuwasifie wamisionari kwa hilo?
Soma Historia kijana usiwe unaandika mambo ambayo huna elimu nayo. Hao wazungu wenyewe wameanza hivi karibuni kuandika historia yao, huku wakitegemea marejeo kutoka kwa WaarabuHuku mababu zetu walikua wakitembea uchi na wengine kuvaa magome ya miti, wakoloni wakaleta nguo. Hii maana yake ukoloni ni mzuri?
Wewe bado uko karne ya 7 wakati wa paedophile wenu! Hakuna mtu anajisumbua kuupinga uislam, bali kupanuka kwa elimu kutokana na internet watu tunapata kujua kuwa Quran imejaa uongo na chuki. Na ndiyo hicho watu wanakifichua. Allah, the devil ni muongo- quran yasema "the best of deceivers"; Muhammad ni muongo na mzinzi mkubwa; masheikh ni waongo na quran imejaa contradictions tupuDokezo kuhusu Dini ya Uislam
Kumekuwa na watu wengi kuupinga uislam kwa nguvu zote ila nasema hili na najua wengi litawafikia "mara Mia ufanye mambo yako kuliko kuingilia mambo ya dini ya kiislam na mbaya hauna uhakika wa chochote mnachosema sasa basi we nyamazenu tuuu msirundike maneno yoyote kwa namna yoyote ni ushauri tu msije sema hatukuwaambia
Kwa sababu mada zipo nyingi
A “Yesu alianza na Israeli, baadaye ujumbe ukapanuliwa”
Hii hoja ina tatizo kubwa la maandiko.
1. Yesu mwenyewe aliweka mipaka WAZI
Si tu Mathayo 15:24. Pia:
Hapa:
- Mathayo 10:5–6
Kama Yesu alikuwa anajua mapema kuwa ujumbe ni wa ulimwengu wote:
- Hakusema “kwa muda”
- Hakusema “kwa hatua ya kwanza”
- Alikataza wazi kwenda kwa mataifa
Kwa nini awazuie mitume wake kabisa?
Hoja ya “darasa la 1 hadi 7” ni tafsiri ya baadaye, si maneno ya Yesu.
2. “Baada ya kufufuka, ujumbe ukapanuliwa” – Tatizo
Hii hoja inategemea maandishi yanayobishaniwa:
- Mathayo 28:19 → ina mjadala mkubwa wa kihistoria (mf. formula ya Utatu)
- Luka na Matendo → yaliandikwa baada ya Yesu, si maneno yake ya moja kwa moja
- Hakuna ushahidi Yesu alisema wazi akiwa hai: “Dini hii ni ya mataifa yote”
Kwetu sisi waislamu ni kuwa
Manabii wote:
- Nuhu → watu wake
- Hud, Swaleh, Shuʿayb → makabila yao
- Musa → Bani Israil
- Yesu → Bani Israil
- Muhammad ﷺ → wanadamu wote (Qur’an 34:28)
Hapa ndipo penye tofauti .
B. Marko 16:9–20 – Tatizo si Marko peke yake
Wewe unasema:
Lakini hoja yangu si hiyo tu.
Hakuna injili hata moja iliyoandikwa na Yesu au chini ya uangalizi wake.
- Mathayo → haijulikani mwandishi halisi
- Marko → si mtume
- Luka → si mtume
- Yohana → mjadala mkubwa wa uandishi
Kwa hiyo:
Katika Uislamu:
Hili ni pengo kubwa la kihistoria.
- Qur’an → ilihifadhiwa kwa hifdh na maandishi wakati wa Mtume ﷺ
- Injili → ziliandikwa miongo kadhaa baadaye
C. Paulo: “Mpokeaji wa mapokeo” au mbadilishaji wa ujumbe?
Ndiyo, Paulo anasema:
Lakini swali ni:
Alipokea kutoka kwa nani, na lini?
Ukweli mchungu
Katika historia ya manabii:
- Paulo hakumwona Yesu
- Hakusikia Injili kutoka kwa Yesu
- Alidai ufunuo binafsi (Wagalatia 1:12)
Ndiyo maana:
Matokeo:
- Yakobo (ndugu wa Yesu) → alibaki na sheria ya Taurati
- Petro → alisita sana kwenda kwa mataifa
- Paulo → alifuta sheria (tohara, chakula, n.k.)
👉 Ukristo wa leo unafuata Paulo zaidi kuliko Yesu
Yesu:
Paulo:
Huu ni mgongano, si mwendelezo.
D. “Kufufuka = imani ya awali kabisa”
Ndiyo, ilikuwa imani ya mapema.
Lakini imani ya mapema si ukweli wa kihistoria.
1. Watu hufa kwa kile wanachoamini, hata kama si kweli
- Mashahidi wa Yehova
- Magaidi wa kujitoa mhanga
- Wafuasi wa dini potofu
Hoja ya:
👉 Inathibitisha imani, si uhakika wa tukio
2. Hakuna shahidi huru asiye Mkristo
Hakuna Myahudi aliyeona kufufuka
Hakuna Mrumi aliyeshuhudia
Hakuna rekodi ya mahakama au serikali
Ni Wakristo tu wanaosimulia tukio.
Katika historia:
Wewe bado uko karne ya 7 wakati wa paedophile wenu! Hakuna mtu anajisumbua kuupinga uislam, bali kupanuka kwa elimu kutokana na internet watu tunapata kujua kuwa Quran imejaa uongo na chuki. Na ndiyo hicho watu wanakifichua. Allah, the devil ni muongo- quran yasema "the best of deceivers"; Muhammad ni muongo na mzinzi mkubwa; masheikh ni waongo na quran imejaa contradictions tupu
Acha upotoshaji Mitume Wayahudi walikuwa 15 tu uwe unaongea kwa ushahidi sio kujiamulia tu
Hakuna mtu anayemtafuta Mungu wa kweli, Mungu aliyejaa upendo, ukweli wa ahadi, aliye Mtakatifu mkuu, halafu ukaishie kwenye uislam, ambao kwa dhahiri kabisa umejaa mafundisho ya dhambi tupu: mauaji, uzinzi, chuki, uwongo, vitisho na hadaa. Ni afadhali ukaabudu mizimu kuliko huyo allah anayetajwa kuwa ni mfalme wa ulimwengu na best deceiver.
“Msiende kwa mataifa wala msiingie katika mji wa Wasamaria, bali enendeni kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.”
Nabii wa Mungu habadilishi wito wa ujumbe wake baada ya kufa.
“Hata tukiondoa Marko, ujumbe bado upo.”
“Yesu alisema…” = mapokeo ya baadaye, si ushahidi wa moja kwa moja
“niliyoyapokea…”
Ufunuo binafsi unaopingana na manabii waliomtangulia = hatari
“Nimekuja kutimiza sheria, si kuibatilisha.” (Mathayo 5:17)
“Hamko chini ya sheria.” (Warumi 6:14)
“hawangekufa kwa uongo”
Tukio kubwa bila ushahidi huru = madai, si ukweli thabiti
Wewe bado uko karne ya 7 wakati wa paedophile wenu! Hakuna mtu anajisumbua kuupinga uislam, bali kupanuka kwa elimu kutokana na internet watu tunapata kujua kuwa Quran imejaa uongo na chuki. Na ndiyo hicho watu wanakifichua. Allah, the devil ni muongo- quran yasema "the best of deceivers"; Muhammad ni muongo na mzinzi mkubwa; masheikh ni waongo na quran imejaa contradictions tupu
Hakuna mwenye dhamira ya kumtafuta Mungu wa kweli, Mungu aliyejaa utakatifu, Mungu wa Upendo, Mungu wa ukweli, Mungu wa huruma na Msamaha, Mungu aliyemwaminifu kwa Ahadi zake, halafu akaishia kwenye Uislam! Uislam unamwabudu allah aliyebingwa wa hadaa na uwongo (Allah the best deceiver), mtawala wa ulimwengu ambaye kwa mafundisho ya mud, anashadadia uzinzi, ubakaji, mauaji, chuki na uwongo. Ni aheri ukaabudu mizimu kuliko hiyo dini ya chuki, inayowafundisha watu wake kuwa watamfikia allah na kuzawadiwa kundi la wanawake, kwa kuwaua wasioungana nao katika mafundisho hayo ovu, mafundisho ambayo hata maadili ya kawaida, yanakataa.
Siyo maneno yangu:
"Muhammad Raped countless women by massacring their families and tribes, legalised rape"
Hakuna mwenye dhamira ya kumtafuta Mungu wa kweli, Mungu aliyejaa utakatifu, Mungu wa Upendo, Mungu wa ukweli, Mungu wa huruma na Msamaha, Mungu aliyemwaminifu kwa Ahadi zake, halafu akaishia kwenye Uislam! Uislam unamwabudu allah aliyebingwa wa hadaa na uwongo (Allah the best deceiver), mtawala wa ulimwengu ambaye kwa mafundisho ya mud, anashadadia uzinzi, ubakaji, mauaji, chuki na uwongo. Ni aheri ukaabudu mizimu kuliko hiyo dini ya chuki, inayowafundisha watu wake kuwa watamfikia allah na kuzawadiwa kundi la wanawake, kwa kuwaua wasioungana nao katika mafundisho hayo ovu, mafundisho ambayo hata maadili ya kawaida, yanakataa.
Siyo maneno yangu:
"Muhammad Raped countless women by massacring their families and tribes, legalised rape"
Take it easy mchungajiSwahaba wa kimatumbi katika ubora wake😁😁😁
Safi sana akhy Allah akujaze maarifa zaidi in shaa Allah nachojua mwenye macho kaona mwenye akili kaona na kilichobaki ni maamzi sasa unajua watu wanashindwa kusoma ndo maana wanatafuta loophole penye makosa ya mtu binafsi ndo wanaichukulia kama dini ilivo bas ingekuwa ivo kusongekuw na ukamilifu kwa popote zaidi kwasbb kila mwanadamu anafanya makosa ila mbora wa wakosaji ni yule mwenye kuomba toba kwa mola wakeMatusi na kejeli si hoja.
Kama una hoja za kielimu kuhusu Qur’an au Uislamu, ziwasilishe kwa ushahidi na muktadha, si kwa lugha ya chuki.
Kuhusu mada ya “contradictions”, wanazuoni wa dini na historia wamezijadili kwa karne nyingi, na madai mengi hutokana na tafsiri za juu juu au kukata aya nje ya muktadha wake wa lugha na historia.
Qur’an haifundishi chuki; inahimiza haki, maadili na kuwajibika.
Kama unataka mjadala wa heshima na ushahidi, tuko tayari. La sivyo, matusi hayabadilishi ukweli.
baada ya kula ubwabwa maharage mpaka kuvimbiwa kazi iliyobaki ni kuropoka tu mwanawene!Mpaka wakurya siku hizi mnapumuliwa