City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,635
- 13,006
Watu wanaomuamini wakatoa na sadaka hapo unafikiri hawatapeliwi?Baada ya hapo sheikh kishki akawauzia nini waumini wake??
Kwanza ngoja nianze na wewe
Wewe mmatumbi weusi tii, pua kubwa na nywele za kipilipili tangu lini umekuwa myahudi tunakuiga ?
Kwa uijnga wako uliolishwa upupu na wachungaji wako, unadhani hakuna kitabu cha Torati kinachojisimamia chenyewe, na Wayahui mpaka leo wanatumia nini?
[/QUOTE/]
Wapi nimehamisha magoli? Nilimwambia Engineer juu ya makundi yanayoua wakristo kwa mwavuli wa uidlam. Naye kaniuliza wale waliovamia na kuwaua Wairaq. Mimi nimemwuliza kama waliovamia Iraq lilikuwa ni kundi la Wakristo lililokuwa likua waislam, kama yanavyofanya makundi ya waislam wente misimamo mikali huko Nigeria na DRC. Wewe unasema nimehamisha magoli, ni wapi nimehamisha wakati namtaka mtoa mada atofautishe mauaji yanayofanywa na makundi ya kidini kwa madai ya maelekezo ya dini yao Vs mauaji yanayofanywa na watawala wasio na mwegemeo wa imani yoyote ya kidini, kama ni kuua watamwua yeyote aliye kinyume na matakwa yao, na mara nyingi tawala zaoUnahamisha magoli
Kwanza ngoja nianze na wewe
Wewe mmatumbi weusi tii, pua kubwa na nywele za kipilipili tangu lini umekuwa myahudi tunakuiga ?
Halafu umengangania bibilia, unadhani wayahudi wanaamini hio hio bibilia, mpaka leo wanajua upupu wa wazungu na wala hauna nafasi katika dini yao, hujiulizi kwanini ni kama hakuna ukristo Israel na wakristo mpaka leo hii wanapelekewa moto na wayahudi?
Sasa kama wayahudi hawaamini bibillia, Torati inafanya nini kwenye upupu wa bibilia kwa kujipa jina la agano la kale, ina maana bibilia haikamiliki bila Torati, wakati wenye Torati hawaitaki bibilia.
Unaposema Quran imeiiga kwenye bibilia, yaani wewe utoe maandiko ya torati halafu uyapachike kwenye bibilia, na Quran inapo elezea mitume wa zamani wanatumia Torati, hapo ndio useme Quran imetoa maadiko kwenye bibilia,
Kwa uijnga wako uliolishwa upupu na wachungaji wako, unadhani hakuna kitabu cha Torati kinachojisimamia chenyewe, na Wayahui mpaka leo wanatumia nini?
alikudanganya Torati inatoka kwenye bibilia? kweli wagalatia weusi ni vilaza
A.
Alianza na Wayahudi, akamalizia kwa ulimwengu wote.
Yesu alizaliwa chini ya Agano la Israeli (Warumi 15:8).
Ahadi za Mungu zilianza na Israeli (Mwanzo 12:3).
Ndiyo maana alisema:
“ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.” (Mathayo 15:24)
Lakini hiyo ilikuwa hatua ya kwanza, si mwisho.
Baada ya:
kifo
kufufuka
kutimizwa kwa agano
Ujumbe unafunguliwa kwa mataifa yote (Mathayo 28, Luka 24).
Hii si kujipinga, ni mpango unaokua kwa hatua.
Mfano rahisi: Darasa la 1 → Darasa la 7
Sio kubadilika mawazo, ni kuendelea mbele.
B.
Sehemu ya Marko 16:9–20 ina mjadala wa maandishi, lakini agizo la kuhubiri ulimwengu wote halitegemei sehemu hiyo.
Ukweli:
, Marko 16:9–20 haipo kwenye baadhi ya miswada ya kale
lakini:❌Agizo hilo halipo Marko peke yake
Lipo pia:
Mathayo 28:19–20
Luka 24:46–49
Matendo 1:8
Hata kama ungeiondoa Marko 16 kabisa, ujumbe haupotei.
Hivyo kusema “liliongezwa” ≠ kusema “halikutoka kwa Yesu”.
C.
Paulo si mtunzi, ni mpokeaji wa mapokeo.
Katika 1 Wakorintho 15:3 anasema wazi:
“niliyoyapokea…”
Hii ni lugha ya mapokeo ya kale, si ubunifu.
Wanazuoni wengi (hata wasio Wakristo) wanakubali:
Kipande hiki ni cha miaka 2–5 baada ya kifo cha Yesu
Kabla hata Paulo hajaanza huduma yake
Zaidi ya hapo:
Paulo alithibitishwa na Petro, Yakobo na mitume (Wagalatia 1–2)
Kama angeleta “injili tofauti”, angekataliwa
Paulo hakuanzisha Ukristo, aliutangaza.
D.
Kufufuka ni imani ya awali kabisa ya Wakristo, si ubunifu wa baadaye.
Ushahidi:
1 Wakorintho 15 (mapokeo ya mapema sana)
Mashahidi wengi (Petro, mitume, ndugu 500)
Adui wa awali (Paulo mwenyewe) alibadilika
Hakuna mwili uliowahi kuonyeshwa kupinga dai
🔥 Kama kufufuka kingekuwa hadithi:
Wayahudi wangeivunja mapema
Warumi wangeizima kirahisi
Mitume wasingekufa kwa kile walichojua ni uongo
Watu hawafi kwa kile wanachojua ni uongo.
Jamaa unachukua hoja halali za kitaaluma, lakini unazivuta hadi kwenye hitimisho ambalo ushahidi hauungi mkono.
Au kwa lugha ya mtaa kidogo 😄
Ni nusu-mkweli unayevusha mipaka ya ukweli.
Yesu alianza na Israeli kwa mpango, akapanua kwa ulimwengu baada ya kufufuka. Agizo la mataifa yote halitegemei Marko 16 pekee, Paulo hakubuni imani bali alirithi mapokeo ya awali, na kufufuka ni imani ya mwanzo kabisa ya Wakristo.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
“Msiende kwa mataifa wala msiingie katika mji wa Wasamaria, bali enendeni kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.”
Nabii wa Mungu habadilishi wito wa ujumbe wake baada ya kufa.
“Hata tukiondoa Marko, ujumbe bado upo.”
“Yesu alisema…” = mapokeo ya baadaye, si ushahidi wa moja kwa moja
“niliyoyapokea…”
Ufunuo binafsi unaopingana na manabii waliomtangulia = hatari
“Nimekuja kutimiza sheria, si kuibatilisha.” (Mathayo 5:17)
“Hamko chini ya sheria.” (Warumi 6:14)
“hawangekufa kwa uongo”
Tukio kubwa bila ushahidi huru = madai, si ukweli thabiti
Kumbe mambo yako hivyo shekhe wangu. Asante kwa elimu hii. Sasa nitaenda kungonoka mtindo mmoja.Hata ukijihusisha haiathiri kitu. Ukienda kule unapata nguvu za wanaume 100.
Unaposema Quran imeiiga kwenye bibilia, yaani wewe utoe maandiko ya torati halafu uyapachike kwenye bibilia, na Quran inapo elezea mitume wa zamani wanatumia Torati,
wewe kenge kaa kushotoWewe ni binadamu mwenye akili timamu? Huwezi kujenga hoja bila ya kutukana? Kwa nini unaiabisha na kuidharaulisha nafsi yako kwa kiwango hiki?
Kama huiamini Biblia, achana nayo. Waachie wanaoiamini. Baadhi ya Wayahudi, tena waliomwona, kumsikia na kushuhudia miujiza mingi iliyofanywa na Kristo, lakini bado walimkataa, wakafanya njama za kutaka kumwua kwa hofu kuwa watu wote watamwamini, sasa wewe ambaye hukumwona Kristo, hukushuhudia muujiza hata mmoja wa Kristo, itashangaza nini ukiikata Biblia, ambayo ni maandiko tu. Wenzako walimkataa Kristo, tena wakiwa wanamwona. Haitatokea watu wote wakalikubali neno la Mungu. Kama wote wakikubali, ina maana utawala wa shetani utapotea. Na utawala wa shetani, kwa kadiri ya maandiko, hautapotea mpaka siku ya hukumu.
Uelewa wako wa Dini bado mdogo sana mdogo wangu Makebo.
Quran ina visa vya agano jipya pia. Na sio visa Torat pekeyake
Actually kwenye Quran hakuna Mtume anayemzidi Yesu. Au kumfikia hata robo.
- Kuna Sura nzima mmemuandikia Mama wa Yesu.
- kuna visa vya Yesu. Masihi
- imemtaja Yohana mbatizaji kama Yahya.
- imewataja wanafunz wa Yesu.
Torat yenu unasema ni kitabu kimoja.
Zaburi pia mnaiamini .
Injili pia mnaiamini.
Sasa unapata wap ujasiri wa kusema mmechukua visa vya mitume kutoka Torati pekeyake.
Au haya ulikuwa haujui?.
Kujibu umejibu kujaribu kukimbia hoja lakini nimekuonyesha kwa uwazi kuwa Yesu hakuja ila kwa wana israeli kama alivyosema mwenyewe na nimekuonyesha hao wanaokutafsiria biblia walivyosema kuwa zile aya za kuwaambia wanafunzi waende kwa watu wote zimeongezwa baada ya yesu kuondokaDuh noma sana
Una hitimisho tiari
Hoja zangu hazitabadilisha kitu,
Una tafta ufa?
Mbona nimekujibu ?
Karibu pia uwe muislamuKumbe mambo yako hivyo shekhe wangu. Asante kwa elimu hii. Sasa nitaenda kungonoka mtindo mmoja.
I'm absolutely in 😎.Karibu pia uwe muislamu
Inshallah tayari jiandae kwenda kuogelea kwenye mito ya pombe na kula mademu wakali. Bikra.I'm absolutely in 😎.
Naisubiri hiyo siku nitakayotoka huku duniani kwa hamu na gamu.Inshallah tayari jiandae kwenda kuogelea kwenye mito ya pombe na kula mademu wakali. Bikra.
Najua uelewa wako ni mdogo.
Ntakuwa nakufafanulia zaid ili upate urahisi wa kuelewa.
Sijasema mmeiga Mmatumbi.
Nimeonyesha kuwa Quran yenu ina mitume 4 tu ya kiarabu.
Kabla ya quran kuja. Watu walikuwa wanahadithiana hizo visa na wakristo walikuwepo.
Nikatoa mfano mtu wa pili kuongea na Mohamed kuhusu wahyi ni Waraqa Nawfal. Binamu wa Bi khadija. Na alikuwa mkristo (mtu wa kitabu).
Huu ni ushahidi tosha kuwa visa vya wana wa israel vilikuwa vinafahamika kwa waarabu.
2. T
☝️☝️☝️ Si mmesema vitabu vimechakachuliwa.. kwahiyo hamviamini.
Ila Sio hoja.
Hoja isimame pale pale.
Uislam unategemea misingi waliyoiweka Uyahudi na Ukristo.
Ww utukane unavyotukana.
Ila kamwe hauwez badilisha hilo.
Yana tofaut gan na ya mwamposa?maji ya zamzam hayauzwi
HapanaKujibu umejibu kujaribu kukimbia hoja lakini nimekuonyesha kwa uwazi kuwa Yesu hakuja ila kwa wana israeli kama alivyosema mwenyewe na nimekuonyesha hao wanaokutafsiria biblia walivyosema kuwa zile aya za kuwaambia wanafunzi waende kwa watu wote zimeongezwa baada ya yesu kuondoka
Sielewi kitu gani na kila ulichokiandika nimekujibu na nimekuonyesha ushahidi wa Aya kuwa Yesu hakusema kuwa mafundisho yake yapelekwe nje ya IsraeliHapana
Wewe ndio huelewi mkuu?
Pole sana
Sio kweliUislam unategemea misingi waliyoiweka Uyahudi na Ukristo.
Nani anajinasibisha?Na sisi hatutatak Waislam mjinasibu na Wakristo.
Kila mtu abaki na dini yake.
Acha upotoshaji Mitume Wayahudi walikuwa 15 tu uwe unaongea kwa ushahidi sio kujiamulia tu
- Mitume 21 ni wayahudi na wako kwenye Biblia. Ambayo ilikuwepo miaka 600 kabla ya Uaislam.
- Mitume 4 ni waarabu.