#COVID19 Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

Yani huku mitaani wameachia tu watu waambukizane corona wanavyotaka halafu et mapambano yao ya corona wameelekeza kwa watu wanaoingia nchini kutoka nje ya nchi.
Kuna variant ndiyo zinazolengwa. Hizo variants zikiingia huwa kunakuwa na milipuko na tunaweza kuwa na mlipuko hatari kama tukiruhusu hovyohovyo hasa nchi zenye variant zinazoua watoto wadogo.
Itakuwa hatari kwetu.
 
Mkuu kwa hiyo unataka mtu atokaye India aingie tu halafu ajichanganye huko mtaani!?
Nachotaka mimi ni kwamba kama kweli tupo serious kuzuia maambukizi ya corona basi tuanze na kuzuia huku ndani wenyewe ili tusije na sisi yakatokea kama ya India ambao nao walijichia kama tunavyofanya sisi, ila sasa kilichopo ni kuona kuwa sisi wenyewe nchini tupo salama kabisa ndio maana tumejiachia, corona tunayoiogopa ni kutoka mataifa mengine ila tupo salama.
 
Kuna variant ndiyo zinazolengwa. Hizo variants zikiingia huwa kunakuwa na milipuko na tunaweza kuwa na mlipuko hatari kama tukiruhusu hovyohovyo hasa nchi zenye variant zinazoua watoto wadogo.
Itakuwa hatari kwetu.
Kama India tunaambiwa hicho kinachotokea sasa huko ni kutokana na mikusanyiko waliyoifanya hapo kati na ndio kitu ambacho tunakifanya kwa muda sasa tena afadhari ya India ila hilo kwetu hatuoni tatizo tunaona tupo salama tu ila hofu yetu ni hizo variant kutoka India SA na Uingereza tu.
 
Tuseme kwamba hilo nalo ni kosa. Je tusiwapime na kuwatenga wageni?
Ni sawa na kusema kwamba usijitibu homa kwa sababu tayari una cancer.
 
Tuseme kwamba hilo nalo ni kosa. Je tusiwapime na kuwatenga wageni?
Ni sawa na kusema kwamba usijitibu homa kwa sababu tayari una cancer.
Sasa tunachokifanya sisi hakina sura ya kuzuia maambukizi ya corona ndio maana watu huona ni upigaji tu hivyo vipimo vya corona, huwezi ukajifanya unazingatia kuzuia maambukizi kutoka nje ya nchi halafu wenyewe ndani ya nchi mmejiachia tu kuambukizana. Huyo Dogo janja anaweza akakubali kulipa na kupimwa na kukutwa hana corona ila akaja kuambukizwa corona ndani ya nchi kiuzembe tu kwa sababu tumebariki kuambukizana wenyewe kwa wenyewe.

Sasa hiyo itakuwa akili au matope?
 
Si ndio sera zenu za ccm zinavyotaka? Alipe tu hakuna namna.

Halafu naona kama umepagawa mimi nimesapoti alipe ili serikali ipate mapato umeona ngoja uende tofauti na mimi coz mimi ni upande mwingine na pia ningesema asilipe napo ungepinga.
Unaingiza uccm na kunibatiza uccm ndio maana unaona napagawa ila mie sipo huko na wala sishabikii chama.
 
Shida ya kwanza ni kipimo chenyewe, kinakera kuchokonolewa pua.
Shida ya pili kulipishwa hela kwa kipimo chenye kero

Ndo nchi masikini hatuwezi gharimia vipimo lakini vipimo ni muhimu.
Yanayotokea India yanatisha.
 
Mtoto mchele mchele huyo haijui hata lockup vizur akiwekwa dakika 45 lazma alegeze macho na kuomba msamaha
 
Dogo hajui kua hio korosho anaweza kuipata humohumo ndani ya ndege wakati wa safari.
 
Back
Top Bottom