#COVID19 Dogo Janja ahojiwa Polisi, adaiwa kushawishi abiria wasipime COVID-19

Mbona haihitaji nguvu kujua kwamba anatakiwa apime. Kule ni S.A na hapa ni Tanzania haoni utofauti huo. Labda angesema katoka Arusha kaja Dar.

Anapingaje protokali za nchi husika. Uyu dogo licha ya kupimwa corona apelekwe pia muhumbili huenda malaria inamsumbua.
 
Rapid test ni lazima kwa SA kwa sababu ni nchi ambayo ina variant wa covid-19.
Yaani kuna SA-variant. Lakini hakuna Rwandan-variant of covid.
Hizi nchi mbili kwa mfano, zinakuwa treated tofauti.
Shukran kwa ufafanuzi mkuu! Ni kweli nilisahau kuwa SA ipo kwenye category ya nchi iliyoathirika sana na Covid kwa mujibu wa toleo jipya la maelekezo ya wizara ya Afya
 
Tanzania yetu likishaingia swala la pesa utapima tu hata kama umeshapima huko nje wao wanachoangalia ni pesa tu..
 
Dar es Salaam. Watu watatu akiwemo Abdulaziz Chende (26) maarufu Dogo Janja wamehojiwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Viwanja vya Ndege na kuachiwa wakituhumiwa kuwashawishi abiria wengine kukataa kufanya kipimo cha ugonjwa wa Covid-19...
Acha umbwiga we dogo ingia karantini!
 
Yaani anaona kupima ni upumbavu. Kwani kupimwa ni kwa faida ya nani?

Huyu dogo kweli akili hazimtoshi.
Kwa jinsi bongo ilivyo tunaishi kama hakuna corona hatuZingatii lolote la kupambana na corona na ndio sababu hata Dogo kaona wanataka hela tu na si kwamba wapo serious na corona.
 
Yani huku mitaani wameachia tu watu waambukizane corona wanavyotaka halafu et mapambano yao ya corona wameelekeza kwa watu wanaoingia nchini kutoka nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom