Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

Ila ni kweli from my observation wanawake wanazeeka haraka sana, akishapata mtoto wa 1, wa 2, dah kama mna umri sawa au unamzidi kidogo, ingawa inategemeana na umbile la mtu anaweza akawa haangaliki!

Kama mna get together party kazini kwenu, mshikaji mwenye mke wa hivyo hata kwa dawa haji naye! Atakuambia hayupo kasafiri kikazi! Majanga haya jamani muwe mnayaangalia.
 
utofauti wako uko wapi,please tuambie basi........

In ur case as hw I a'v said 10yrs its okay!!bt ilo wazo la kwamba the same age haifai, me kwangu I can say no bcoz inawezekana kabisa mkapishana kidogo na maisha yakawa murua, ur wife will be jst like ur friend,kwani Je frnds zetu hatupishani nao kidogo ki umri??Sema tu muda huu vijana wengi huwa wanaogoapa huko kusumbuana...lakini ukweli ukitokea mtazeeka pamoja ila ukichukua umri wa chini sana Umri wako ukizidi kwenda tu, kazi itakushnda wakati mwenzio damu bado inachemka na anadai therefore vijana nje watakua wanakusaidia kukupigia mbayaaaaaa, hii niliiona LIVE.
 
Haha huyo mbona mtoto mwenzio? Je angekuwa 50yrs ungesemaje? Follow ur heart girl. Just make sure kuwa mnakuwa in the same alignment b4 marriage. All the best xo xo xo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Heaven on earth:Off the topic. So you are marrying soon, huh! To the topic:Hizo DOS and DON'TS ndo chachandu zenyewe za kumsadia kufahamu utayari wa "his wife-material-to be". By the way, every man would be proud of marrying the woman of substance-so is to why the dos and don'ts could bubble.
 
nafikiri huo umri hauna shida..

ila kimeo nahisi kama hobby zenu haziendani lolz.. ndo maana unamwona ana act kizee.
 
hiyo age mbona iko within normal range, hapo wala hutahitaji kusema shikamoo baba
 
hivi inakuwaje mtu unatowa mada yako humu ndani unajifanya kuchanganya kizungu na kiswahili tunajuwa mmesoma jamani mtu weka wezi amuwa kuandika kiswahili au kizungu watu watakufahamu sio utumbo mnao fanya kizungu chenyewe kinagonga.
 
We dogo hiyo age sio ishu. Halafu hii mambo ya DO this and DONT do that hayana umri ni tabia ya mtu tu. Kuna watu wana 50 na hawakwambii cha kufanya na kuna watu wako 15 tu lakini nao eti wanataka kukwambia cha kufanya.

Cha pili naona kama ni mapema sana, una wasiwasi mwingi na pia unaamini katika mtu kuwa perfect hiyo haipo. Inawezekana kabisa hii ndio ikawa weakness yake kubwa lakini ni understandable kwa wanaume wengi kwa kuwa kwanza kama wewe mfuasi wa uafrika na dini zinazoitwa abrahamanic religions hii sio ishu sana. Nasema hivi kwa kuwa kiutaratibu mwanaume anakuwa kiongozi kwa hiyo huyo jamaa ni kama anafanya kile anachofikiri kuwa anatakiwa kufanya kama baba mtarajiwa wa familia. Unachoweza kufanya ni kuongea naye tu taratibu na kama ni muelewa mbona mwake tu.

Kitu kingine ni kuwa anaweza kuwa anaku-treat hivyo sasa hivi lakini 10 years down the line mambo yatakuwa tofauti sana na trust me 10 years down the line sio mingi kihiiiivyo.
 
umempa passsword ya account yako jf asome posts zako? mpe asome then uone kama mitazamo yake na yako sawa ndio utajua kama age matters or not

hahaaa hayuko JF wala nini,maana hata angeona sometimes nnavyocomentigi

angeishiwa pozi
 
kama ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya historia,,,, look at the age difference kati ya hayati abeid aman karume na mkewe wakati wanaoana...... mi nilipiga hesabu mpaka nikahesabu vidole vya mikono na mguu na baadhi ya vijiti nikapata jawabu kama 30yrs age difference.....so age ain't nothing but just a number
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom