Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

mda mwingine nahisi hivyo lakin
my BIG question is will I be able to cope his life style!!!!!!

Just do the best to workout, hebu kwa sasa achana na fikra za umri,jikite kwenye sehemu ambazo unazihofia huwenda asizitimize kama mme wako tukokana na umri kukuzidi, na kama ata perform vizuri hayo maeneo, then give him a chance in your life! Serengeti boys hawana adabu kabisa, na hatuhitaji kukuambia juu yao maana tayari wameshakuonjesha chungu yao. Pia hili ni angalizo; ni muda wa kuwa makini sana kumjua historia yake vizuri kweli, maana na sisi wanaume bwana tuna matatizo makubwa ya kudanganya, na kwakuwa na pesa anazo kama ulivyosema, kunahatari ya jamaa kuwa na mahusiano mengine kabla yako. Utaliaje wewe!! Usije ukarudi humu kutulaumu eti tulikushauri vibaya. Baada ya Adam na Eva, Eva kuonekana kudanganya, sasa upepo umeshabadilika na Adam ndio muongo mkubwa wa kutisha sana kwa dunia ya leo. Be very very careful!!!
 
Any relationship has 3 big issues about men. Just learn your game you will be fine!!!!!!!! Know when to hold and when to fold.

Stage 1.
1. Mwanaume sio ndugu yako ama mzazi wako. Ni mtu tu mmekutana ukubwani. (Meaning tolerance level yake iko chini. So behave as much as possible. Don't push his limits. Know your boundaries. Hakuna mwanaume utayeshindwana nae)

Stage 2.
Dont take any man for granted. Any means ANY hata kibuzi. They are sharp to sense your over comfidence and they love to challange you. Its about continuous and gradual process of winning his heart over and over. You better take your time.

Stage 3
Become The Master of Manipulation to get him to do what you want. Every body has a weak point, use it to your advantage. Kila shetani na mbuyu wake wewe usilale usingizi mpaka uujue huo mbuyu wake. Ndo utashangaa mwenzio mumewe kamjengea kwao, anasomesha wadogo zake wote ulaya, ana bonge la gari, full shopping, we wako nyama hanunui humo ndani, ama ukisema habari za ndugu zako tu ugomvi ukakalia ana bahati yule au limbwataa! Wapiiiiiiiii!!!!! Kaujua mbuyu ulipo, akitaka kitu tu anakwea mbuyuni. Mjini hapa!

ALL THE BEST!!!!!!!!


namba 3 walaaaaa , ,,,,,,,
ila namba mbili umenikosha bidada ,,,,,,,
lakini hiyo namba 1 imenikosha zaidi na kukufagilia.........:A S-heart-2::A S-heart-2:
 
ni kama Heaven on earth umeamua kuniandika vile?? em kumbushia hiyo workshop ilikua wapi kwanza then I will give you my advice!!:confused2:
 
ni kama Heaven on earth umeamua kuniandika vile?? em kumbushia hiyo workshop ilikua wapi kwanza then I will give you my advice!!:confused2:

Hahahaa msela mwenyewe hata hayuko JF ko wala sio wewe.....

ilikwa Mlimani city au unataka nikutajie na Theme ya workshop....

Toa ushauri wako bana......
 
Kwangu age matters a lot, 4-6 is good for me... Miaka 10 nahisi nipo na mtu tusiyeendana ila wengi hawajali sana, wanawake mna maumbile yanayokublika na age difference kubwa so sio big deal, kama una hisia nae. Angalia mambo mengine ya msingi, jaribu kuona kama mna match katika nyanja zingine za maisha.
Good luck with that Heaven on earth.
Eli79 my best friend asante sana.......

btn mbona sijakuona CC ila ukimuona my wii Lady doctor na pacha wake Passion Lady
waambie nawatafuta kwa udi na uvumba....
 
Very reasonable age ..mi mke wangu nimempita almost 10yrs...mwanzoni wakati wa ugirlfriend alikuwa analeta mambo ya utoto /ujana kama kwenda disco etc ..nikawa najaribu kwenda naye sambamba lakini siyo kihiivyo sometimes nikitoka naye nahakikisha tunatoka na kampani ya umri wake...kama wadogo zake au shoga zake...wao wako bize na kujirusha mi nagonga mma taratibu...lakini ikaendelea hivyo baada ya muda (ndani ya ndoa ofcourse)majukumu yakaanza kuongezeka taratibu na umri ukasogea sasa hata muda wa kutoka hana tena!...sometimes ninaomuomba tutoke anasema amechoka!...hivyo just give in....ila mungu mbele!
 
Hiyo age unayoongelea kwa wote naona sawa kabisa, maana yake nini; Ni kwamba wote mko kwenye umri uliokomaa kimahusiano ni umri sahihi wa kuoana. Suppose tupunguze umri wenu miaka miwili, utaona kuwa mwanaume akiwa na umri wa miaka 28 na wewe miaka 18 utaona kuwa marriage hii itakuwa iko sahihi kwani umri bado nauona si tofauti kubwa kama unavyowaza. Kingine ambacho nakiona kuwa kingekuwa ndio kigezo halisia kuliko vyote, ni jinsi mapenzi yenu yalivyojiunda, namaanisha upendo wenu ukoje ndani ya mioyo yenu kama inashabihiana na kuridhiana, huyo ndio wako wa maisha.
 
Mi naona kigezo cha umri kina umuhimu wake sana katika mahusiano hasa ya ndoa; miaka kumi inaweza kuonekana sio kitu kwa sasa maana mpo kwenye 30s na 20s ila mkifika kwenye 50s na 40s huko ndipo utaweza kuiona tofauti kwa wazi zaidi. Siwezi kukupa data kamili za takwimu mbalimbali kwa sasa ila in general kuna mambo mengi ya kuzingatia kama kutofautiana kasi ya kumature, when are in your primes, focused n.k. Ni vizuri sana kama tofauti inakuwepo basi ni miaka michache tu. Siku za usoni utaanza kuona issues za energy, kulea watoto, stability nk. Ni kweli wapo wengi waliooana bila kuzingatia tofauti ya umri, na ni kweli changamoto na matatizo yapo, ila hiyo isimaanishe na wewe ufuate mkondo huohuo, kama kuna namna ya kuepuka ni vema kuitumia! Lakini sometimes pia unalazimika kuignore baadhi ya factors kama unapata mtu anayekufaa, basi suala la umri hulizingatii sana. Go for him, but be prepared for the challenges that might arise. Huna uhakika kama ukimpata wa umri unaofaa atakuwa anafaa kwa vigezo vingine pia, chemsha akili yako! Remember if you do not get what you think you want, then take what you get! Nakutakia kila la heri na Mungu akusaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom