Habari zenu wana MMU!!!!!!!
i think its my first time kuomba ushauri humu hasa kuhusiana na my personal life,
am a girl in my earlier 20"s elim yangu na nna kazi yangu kiasi kwamba I can take care of myself,
nimepitia kwenye relationship that really sucks mpaka ikabidi nijiweke Pembeni kidogo na mambo ya mahusiano,
Lakin sasa nimekuja kukutana na huyu kijana,tuliwahi ku attend workshop pamoja kipindi fulani na tukawa
kwenye category moja so hiyo ilitupa chance ya kuwa friends/collins baada ya workshop kuisha
kila mtu alienda njia yake ikabakia "HI" za hapa na pale!!!!!
hizi siku za karibuni ndio that Guy ameniibukia,sijashangaa sana cos that time I just read the signs nikajua
jamaa kuna kitu kazimikia sema hakunambiaga tu!!!!!!!
sasa what
makes me worries ni age difference yetu,yeye ni amenizidi kwa miaka 10,so nikikwambia am in my
early 20's ye nae yuko in his early 30's, sometimes I find it so weird.
I'm beginning to have feelings but I find it so awkward nikiwaza age naona ana act as an adult sana
sa mi
Heaven on earth naona I have a certain kind of life ambae ni tofauti na yeye sasa my worry is
will I be able to cope,cos hatujaingia ktk relationship ila naona kama ni mtu wa kuniambia the DO'S and DONT'S!!!!!!
mambo mengine he is okay,he is lookong forward to a long term commitment (mtakuwa mmenielewa hapo)
financially stable ila sitaki hiko kuwa the main reason ku enter into relationship,i just want to consider other things.
Am planning to talk to my Mum this weekend but nahitaji kujua hili ni sahihi!!!!!!
watu wa hivi wapo na maisha yao ya ndoa huwa yana WORK OUT!!!!!!