That age does not matter in real relationship. Umri huo wala sio mzee tena ni kama ulivyosema watu wakikuona hawaezi kubain tofauti hiyo kubwa. watu wengi wamekushauri vizuri sana. zingatia ushauri wao hata mie nakuambia umri huo kwko ndo mzuri utakuwa na mume siyo mwanaume. suala kubwa kwa mwanamke ni kupata mume, na ili awe ni kichwa cha familia yenu mwanaume inashauriwa amzidi mwanamke angalau zaidi ya miaka mitano kuepuka magomvi ya mara kwa mara, mana wanawake huzeeka mapemaa hasa wakishaanza uzazi. Hivyo huyo ndo mwanamume kwako dadangu.
Hilo ulilotaniwa la unatakiwa ugegendwe na kukunjwa lisikutishe, tendo la ndoa sio mazoezi ya gym wala ya mieleka kusema muumizane, anaejua anajua tu haijalishi umri, mtu wa miaka 40 au zaidi anaweza akawa fundi zaidi katika kumridhisha mwanamke kuliko wa chini ya miaka 20. Tendo la ndoa ni sanaa au ufundi na ufundi haujalishi umri.
Mchukue huyo mtu lakini kama unahitaji kuolewa nae jaribu kuzingatia mambo mengine kama tabia, mwenendo na mengineyo, umri just forget it.