DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Get well soon comrade Lissu...hili jambo limekaa vibaya sana.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Mambo ya kweli wabongo mnayaletea utani Mod hii sheria ya 18 only muisimamie Vizur kuna under 17 humu
 
Mungu akusamehe sana na akupe maisha marefu sana .

Hata kwenye kifo unaandika hivi unadhani wewe ni wa milele! Unachukia naye lakini yupo mwenye Chuki zaidi na wewe! Kifo ni maisha pia Maana hakuna wa kudumu milele
 
Eee Mwenyezi Mungu, nakuomba umponye mja wako Tundu Lissu, maana ulimtuma kuitoa Nchi yetu gizani na kazi hii bado haijamalizika.
Eee Mwenyezi Mungu, mjalie afya njema apone ili akamilishe utume wake.

Ninaomba na kuamini katika Jina la Yesu Kristu, AMIN, AMIN, AMIN.

[HASHTAG]#TUNATAKA[/HASHTAG] KATIBA MPYA#
 
Back
Top Bottom