Dodoma sio padogo kama unavyofikiri.Veyula,msalato, makutopora, mzakwe, Areas (A-E) makole, Cbe udom, jwtz, hapo town. Watu wanajificha tu.Kwa namna mji wa dodoma ulivyo mdogo, nashangaa sana hawa watu hawajakamatwa mpaka sasa.
Siyo kwake tu na familia yake,mungu ampe ulinzi imara mh.tundu lissu wakati huu mgumu kwake binafsi na familia ,yake .
How many gunmen were there? ( detective)Whoever planned this, considering the number of shots fired hakutegemea kama Lissu angetoka mzima so hakuwa na muda wa kupanga counter attack endapo angepelekwa hospital, trust me ( i am a detective)
Lakini baada ya failure ya initial motive, kumpeleka Muhimbili kungempa huyu planner muda wa kupandikiza virus na kumaliza mchezo
Fikiri kwa haraka, kama una akili lazima uwaze possibilities nyingi na u link clues kuweza kupata leads