DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kwa namna mji wa dodoma ulivyo mdogo, nashangaa sana hawa watu hawajakamatwa mpaka sasa.
Dodoma sio padogo kama unavyofikiri.Veyula,msalato, makutopora, mzakwe, Areas (A-E) makole, Cbe udom, jwtz, hapo town. Watu wanajificha tu.
 
Binafsi nilipopata hizi taarifa,
Mwili ulipata Ganz na nikashindwa kufanya kazi zangu,
Kulikua na sintofahamu huku kazn kwangu,
Kila mfanykaz ameduwaa na analaan mtu flani hivi mkubwa kuhusika
 
Whoever planned this, considering the number of shots fired hakutegemea kama Lissu angetoka mzima so hakuwa na muda wa kupanga counter attack endapo angepelekwa hospital, trust me ( i am a detective)

Lakini baada ya failure ya initial motive, kumpeleka Muhimbili kungempa huyu planner muda wa kupandikiza virus na kumaliza mchezo

Fikiri kwa haraka, kama una akili lazima uwaze possibilities nyingi na u link clues kuweza kupata leads
How many gunmen were there? ( detective)
 
Get well soon Comrade Tundu Antipas Lissu. Hii nchi sasa inaelekea kubaya

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Namuombea Mungu Mheshimiwa Lissu apone na kurejea tena kwenye kazi zake za kila siku. Najiuliza sana wote happened? Why today during or few minutes after the reports on Tanzanite and diamonds were presented?

Naamini ukweli utapatikana maana ndio pekee utakaotuweka huru. Maisha yetu yako kwa Mikono ya Mwenyezi Mungu. Tuzidi kuombeana.
 
Mwenyezi MUNGU tembea na Lisu popote pale walio jaribu kumuua/wanao endelea kumpangia mipango mibaya Mwenyezi MUNGU tunaomba uwaumbue mbele ya halaiki ya watu.

[HASHTAG]#AMIN[/HASHTAG]
[HASHTAG]#AMEN[/HASHTAG]
 
~~~>>>Najarbu kutafakari, Inawezekana muuaji ni kati ya memba wa JF.... Anapita naye anayecomment kuonyesha kusikitika.
 
Pole sana kamanda walikutafuta na bomu wakakusosa leo wakakutafuta na risasi hiyo ni akili ya mwanadamu ni mnafiki eti anatoa pole kwa unafiki na alivyo mbaguzi wa kabila ,ukanda lakini akipangacho mungu lazima kitimie kama kufa kwako bado atawafanyeje hayatatimia mapenzi yao
MUNGU IBARIKI TANZANIA IPATE UHURU WA KWELI KUTOKA KWA MKOLONI MWEUSI
 
~~>>>Naamini kuwa hakuna jambazi wa kumuua Lisu, adui pekee wa Lisu ni serikali ya CCM.

Get well soon kamanda Lissu!
 
77 Reactions
Reply
Back
Top Bottom