Dodoma: Rais Magufuli aagiza kuchunguzwa kwa Airtel kama ni mali ya TTCL! Wapotoshaji wa Takwimu wachukuliwe hatua kali

Mkuu wimbo wa vyuma vimekaza umekuwa wimbo wa taifa.Ni wachache sana wanasababu za mcng vyuma kukaza,wengi imekuwa ni defense mechanism ktk kujitetea.vilevile kumbuka awamu yyt ya uongozi mtanzania aliwahi sema maisha mazuri.Enzi za jk watu walikua wanalia na kusifia kwa mkapa na kwa mkapa hivohivo watu walisifia kwa mwinyi.Ni kama fashion kwa mtanzania kulia maisha magum na kusifia kilichopita lkn ukienda ukamhoji vizur unakuta hana sabb za mcng na maisha yake hayana utofaut wwt na awamu iliyopita.Hata Mimi Nina mkumbo huo lkn mda mwingine nikikaa naona sina hoja za mcng most ni uzembe wangu.
Ni Sawa kabisa mkuu, Sasa Rais yeye mbona kama inamuuma watu kusema vyuma vimekaza? What is the big deal?
 
Jengo ambalo lingeweza kuzinduliwa na DC,delegation iko wapi??Hachoki kuonekana kwenye TV kila siku.Kweli Zitto hakukosea!!!
Nadhani tuwe watulivu na tuhangaike na mambo makubwa ya kuisaidia nchi badala ya kukosoa kila kitu! Je, unafahamu kwamba daraja la waenda kwa miguu la Manzese lilifunguliwa rasmi na Rais? Muhimu ktk hayo huwa siyo ufunguaji wa kitambaa, ni yale ambayo mkuu wa nchi anaongea. Utayapataje kwa mkuu wa wilaya au mtendaji wa kijiji?
 
hili angeongea na waziri pekee sio kutangaza kwasababu ikikutwa iko kinyume na hili tangazo lake atakuwa amefedheheka kama alivyofedheheka kwenye zile nyufa za joint expansion.

Mzee ropo-ropo afungwe speed governor ya mdomo.
 
Hili limedhihirika kila siku katika hotuba zake na nahisi ana ID JF. Muda huu anahutubia katika uzinduzi wa jengo la ofisi za NBS yaani National Beaural for Statistics ambapo ameelezea msemo wa vyuma kukaza kwamba ameona mchoro unaotembea kwenye mitandao ya kijamii ukionyesha vyuma vikizunguka huku oil ikiwa unamiminiwa kulainisha vyuma hivyo.

Rais ametolea mifano mingi inayotembea kwenye mitandao ya kijamii kitendo kinachoonyesha huyu ni mwanamitandao mwenzetu na narudia tena huenda ana ID yake hapa JF.

NAOMBA MODS WA JF WAWASILIANE NAYE ILI WAMSAIDIE RAIS KUWA NA VERIFIED ID HAPA JF ILI TUFURAHIE UWEPO WAKE MUBASHARA......
NAWASILISHA.

Hahahahaha wamekusikia wenyewe
 
Mheshimiwa kama ulivyo wakumbuka mtwara na lindi kwenye korosho tukumbuke na sisi iringa kwenye mahindi. Tunaahidi hatutowanywesha mbuzi soda.. tutapona tution ya kiingereza uzeeni baba
 
Mkulu aelezwe ukweli, uchumi wa nchi kweli unaenda vzuri si haba.. lakini uchumi wa mtu mmoja mmoja hali ni mbaya.. Na huku ndio kukaza kwa vyuma kwenyewe. Sisi pia tuna frustrations zetu ajue tunaumia.
 
Back
Top Bottom