Dodoma: Rais Magufuli aagiza kuchunguzwa kwa Airtel kama ni mali ya TTCL! Wapotoshaji wa Takwimu wachukuliwe hatua kali

Rais Magufuli amesema watu wanaotoatakwimu za uongo kuwa uchumi wa nchi umeyumba na kusema vyuma vimekaza wachukuliwe hatua

Ni kweli kabisa wakamatwe wengi wanaosema hivo ni wapiga dili, kuna mzee mmoja ni Mtoza ushuru wa soko sasa hv anasema hampendi kisa tu kapewa Mashine ya EFD.
Wakamatwe..:(:(:(
 
bb60392409406efb06ddebdabd5210b1.jpg
Kwani mradi wa SGR una awamu ngapi?
 
We miss you tundu lissu naona kesi za uchochezi zimepungua huku saivi kuna kesi za mambo ya takwimu nakuona kabisa yasingepita hata masaa ma3 ujamjibu huyu uchwara ukamwelekeza tumemiss chakula yako ya ubongo uliyokua watupa
# getwellsoon mh
 
Jengo ambalo lingeweza kuzinduliwa na DC,delegation iko wapi??Hachoki kuonekana kwenye TV kila siku.Kweli Zitto hakukosea!!!

Acha kushusha hadhi ofisi za watu wewe. Lile ni jengo National Bureau of Statistics, ni jengo la Makao makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu. siyo hadhi ya DC. DC anatakiwa akaweke mawe na kufungua ofisi za kata na vijiji.
 
Jengo ambalo lingeweza kuzinduliwa na DC,delegation iko wapi??Hachoki kuonekana kwenye TV kila siku.Kweli Zitto hakukosea!!!
Dr.Mpango kasema amamshukuru sana rais kwa kukubali mwaliko wao. Ni rais wa watu, ukimualika kwenye mambo ya maana anakuja.
 
Kwa maneno ya mkuu unaweza kutafsiri kwamba Nchi hii kila mtu alikua mwizi! Kama hata mama ntilie wanalalamika vyuma kukaza sijui mama ntilie nao walikua majizi wa nini,,
Mkuu wimbo wa vyuma vimekaza umekuwa wimbo wa taifa.Ni wachache sana wanasababu za mcng vyuma kukaza,wengi imekuwa ni defense mechanism ktk kujitetea.vilevile kumbuka awamu yyt ya uongozi mtanzania aliwahi sema maisha mazuri.Enzi za jk watu walikua wanalia na kusifia kwa mkapa na kwa mkapa hivohivo watu walisifia kwa mwinyi.Ni kama fashion kwa mtanzania kulia maisha magum na kusifia kilichopita lkn ukienda ukamhoji vizur unakuta hana sabb za mcng na maisha yake hayana utofaut wwt na awamu iliyopita.Hata Mimi Nina mkumbo huo lkn mda mwingine nikikaa naona sina hoja za mcng most ni uzembe wangu.
 
Back
Top Bottom