Dodoma: Rais Magufuli aagiza kuchunguzwa kwa Airtel kama ni mali ya TTCL! Wapotoshaji wa Takwimu wachukuliwe hatua kali

Hivi weye tu ndiyo unakuwa wa kuteleza na kuwa na watani wengi kila siku?
-Wanafunzi wa kike wanaopata ujauzito wasirudishwe mashuleni,
-Fyatuaneni msitumie uzazi wa mpango,
-Kabla yangu sukari kilo moja ilikuwa 5000/=,
Acacia watatulipa matrilioni ya fedha na kila mmoja "atalamba" noah yake,
-Tumenunua ndege ya kwanza kubwa na "mpya" katika historia ya dunia,
And the story goes on...
 
Kwahiyo serikali haimiliki airtel si ndio!!!!!.

Mh rais inabidi tu uelewe kwamba watu akili zimeungua tayari.
 
Hukuelewa hoja yangu.kunaulazima gani wa kutumia ghirba za majukwaani(utadhani yuko jukwaani kuomba kura)kwa mambo ya maana kama haya?.sipingi tulicho pata,napinga porojo.

Na mifano ya porojo iko mingi tuu.ikumbukwe wakati wa kusaka kura 2020 sito shangazwa na porojo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna ongelea mwanasiasa kusema ndio hulka yao, however as far as the development on issue of concern goes matokeo ni chanya, lakini wewe umejikita upande wa hasi.

49% ya hisa ni win kwa serikari wangezidisha ina maana wangeweza kulichukua kuliendesha wao, we all know uwezo wa serikari kwenye kuendesha biashara kama tunajali malsahi ya muda mrefu wa watanzania walioajiriwa na airtel.

Anyway Jumamosi njema
 
Wasalam,ilishasemwa tungu enzi na enzi kua uongozi ni maarifa na si mabavu.

Natambua kama taifa tulitangaziwa mchana kweupe tena kwa kinywa kipana kabisa kua airtel tanzania ni mali halali ya serikali(ttcl).kwamba zilikua ni ghirba tuu za mabeberu kujimilikisha airtel_tanzania.

Imekuaje ghafla bin vuu tuambiwe kua serikali ati ilikua ina miliki hisa za asilimia 40 tuu,ati sasa zimeongezwa kufikia 49!!.ikumbukwe aliyetangaza kua airtel niyetu ndo huyohuyo aliye kutana wenye airtel yao na kuibuka na hizo hisa za 49!!.

Au mimi niliyeko huku ugala ndo sikufauatilia kwa makini huu uzalendo mtukufu asiye jaribiwa?.

Wasalaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Heading yako na kubwabwaja ni two deferent things.

Jambo hili liliwahi kuwepo hadi bungeni,lakini pia hata bila kujadili saana, ni dhahiri shahiri kwamba AITELni uzao wa ZAIN ambayo ilitokana na CELTEL ambayo chimbuko lake ne TTCL ambayo ilibinafsishwa kimizengwe na hao anaopambana nao huyu mnaejitahidi kumuweka off track.

Sasa nini hakijulikani kuhusu huu mzozo wa siku nyingi kuhusu umiliki wa hisa za serikali ndani ya airtel hii ya sasa.

Sasa mleta mada unakurupuka huko ulikokuwa na kuendeleza anti-magufuli canpaign humu JF .

Halafu mnaendeleza hate propaganda kama kawaida yenu.

Shame on all of you...the the organisation of development haters ODH.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida moja kubwa hatuna waandishi wa habari, hizi inconsistency zilitakiwa kuwa reported kila mara ili wapunguze kutuhadaa.

Shida moja kubwa hatuna waandishi wa habari, hizi inconsistency zilitakiwa kuwa reported kila mara ili wapunguze kutuhadaa.

Niliwahi kuandika mara kadhaa na kuweka Uzi, kwamba tunatakiwa kuwa na chombo/ gazeti maalum la kuandika habari za matukio muhinu ya kitaifa ikiwa na lengo la kufuatilia kwa umakini, kufanya uchunguzi na kuweka corrective actions to avoid reoccurrences, implementation plans, responsible personnel etc ili mwisho wa siku matukio nyeti ya kitaifa yasipotee kwa kupandanishwa.
Sasa hivi hakuna anaye kumbuka vizuri statement ya tume ile chini ya mwk Nundu! Ilitakiwa ile ianze upya ilinganishwe ni statement hii ili tujue tofauti zake na kipi kilicho tekelezwa mpaka sasa.
Nilisema gazeti hilo linatakiwa kuwa na watalaam wa nyanja zote mfn siasa, uchumi, fedha, sheria, independent investigators kutoka taaluma tofauti, waandishi wa habari, waandishi vitabu, afya, elimu, nk.
Watawala wanatujua, waanzisha matukio kusahaulisha mengine na wanajua hakuna anaye fuatilia.
Wenye mitaji yenu anzisheni gazeti hili litakuwa na manufaa makubwa kwa jamii na taifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwekezaji wa Celtel/Zain, Airtel ulikuwa mwiba kwa TTCL kuanzisha simu za kiganjani, jamaa walitumia miundombinu ya TTCL kusambaza coverage yao ikaenea nchi nzima kwa muda mfupi, naona tena tatizo lilelile kwa TTCL kukua wakati Kuna airtel ambayo serikali inamkono wake kule,
Nawashauri TTCL wajikite zaidi katika internet kwa maana ya miundombinu yao ni bora na yenye uhakika.
Tuna ongelea mwanasiasa kusema ndio hulka yao, however as far as the development on issue of concern goes matokeo ni chanya, lakini wewe umejikita upande wa hasi.

49% ya hisa ni win kwa serikari wangezidisha ina maana wangeweza kulichukua kuliendesha wao, we all know uwezo wa serikari kwenye kuendesha biashara kama tunajali malsahi ya muda mrefu wa watanzania walioajiriwa na airtel.

Anyway Jumamosi njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwekezaji wa Celtel/Zain, Airtel ulikuwa mwiba kwa TTCL kuanzisha simu za kiganjani, jamaa walitumia miundombinu ya TTCL kusambaza coverage yao ikaenea nchi nzima kwa muda mfupi, naona tena tatizo lilelile kwa TTCL kukua wakati Kuna airtel ambayo serikali inamkono wake kule,
Nawashauri TTCL wajikite zaidi katika internet kwa maana ya miundombinu yao ni bora na yenye uhakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
TTCL inaendeleza utamaduni ule ule wa uendeshwaji wa mashirika ya umma ubunifu zero kwenye jitihada za kusaka wateja wanaweza kuwa na advantage wakashindwa kuzitumia na wakati private companies wakipewa network ya infrastructure hizo hizo wakafanya mambo tofauti kabisa.

Kwenye communication it is common kwa mashirika yanayotoa huduma za simu kutoa pia na internet, they are complementary services (intertwined) it makes more sense if a business offers both.

Kama ni kukuwa kibiashara if anything kwa miundombinu ya TTCL walitakiwa sasa walau wawe wamesha diversify au wapo mbioni kujiingiza kwenye kutoa huduma za ving'amuzi as part of brand extension, lakini kwa hawa marketing strategy yao tu ya kupata wateja wa simu au kumpromote biashara yao ya miamala shida sasa udhani kama wana akili za kujua wanakuwa vipi.

Besides they can get away easier with poor business strategy wanachohitaji ni kusema tu wamepata faida ya billioni ata mbili and that is enough kumkoga Magu na kuwapigia vifijo na nderemo, wakati kwa asset za TTCL walitakiwa wawe kwenye 200+ billion sh za faida kila mwaka in my opinion.
 
Niliwahi kuandika mara kadhaa na kuweka Uzi, kwamba tunatakiwa kuwa na chombo/ gazeti maalum la kuandika habari za matukio muhinu ya kitaifa ikiwa na lengo la kufuatilia kwa umakini, kufanya uchunguzi na kuweka corrective actions to avoid reoccurrences, implementation plans, responsible personnel etc ili mwisho wa siku matukio nyeti ya kitaifa yasipotee kwa kupandanishwa.
Sasa hivi hakuna anaye kumbuka vizuri statement ya tume ile chini ya mwk Nundu! Ilitakiwa ile ianze upya ilinganishwe ni statement hii ili tujue tofauti zake na kipi kilicho tekelezwa mpaka sasa.
Nilisema gazeti hilo linatakiwa kuwa na watalaam wa nyanja zote mfn siasa, uchumi, fedha, sheria, independent investigators kutoka taaluma tofauti, waandishi wa habari, waandishi vitabu, afya, elimu, nk.
Watawala wanatujua, waanzisha matukio kusahaulisha mengine na wanajua hakuna anaye fuatilia.
Wenye mitaji yenu anzisheni gazeti hili litakuwa na manufaa makubwa kwa jamii na taifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni ripoti kutokuwekwa wazi. Sasa gazeti kama hilo litapata wapi taarifa. Si itakuwa ni taarifa za kuhoji maafisa wanaohusika na kuziweka kwenye gazeti tu basi.
 
Back
Top Bottom