Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,801
- 11,343
Sasa wewe kwa maneno yako uliyoni-quote mwanzo huoni uliyoyaandika ni mzaha kwenye kifo cha mwanadamu mwenzako? Na ndiyo maana nakuita dogo - immature.We damn talk about his religion, title ya uzi imetaja dini yake na maudhui ya uzi yametaja dini yake dear bam!
.
Umesema kauwawa kinyama seali litabaki palepale je angejilipua ili aende peponi kabisa?
Sifurahii ila hili lilikuwa halina budi kutukia it was a God plans and don't you ever call me a damn kid
Iwe pia kwakoKosa la uume ni kuingia kwenye mashimo ya watu, ndiyo maana wakamtoa na uhai
ACHA KUJIFANYA KIPOFU HAYAWANI WAHID WEYE. HUJAONA MTU ALIYESEMA KWAKUWA ALIKUWA MKURUGENZI WA ISLAMIC FOUNDATION BASI KAULIWA SABABU YA FUMANIZI? NYINYI NDUGU ZENU WAKIPATA MATATIZO MNAANZA KUNADI TUUNGANE KUKEMEA ILA NYIE WETU WAKIPATA MATATIZO MNAJIWEKA PEMBENI KANA KWAMBA HAYAWAHUSU.Ramli chonganishi hizi.
Sijui kwann mnapenda kujishtukia?
GREAT THINKER OF THIS THREADWamemkata uume ili ionekane ni wivu wa mapenzi kumbe wauaji walikuwa na ajenda tofauti!
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia JrSiku 5 mpaka ilipogundulika jana na kukuta mwili uko uchi wa mnyama huku akiwa na majeraha ya kisu tumboni na amekatwa uume wake lkn wameuacha unaninginia na huku akiwa amefungwa kamba kwenye kiti kanzu yake imekutwa imewekwa pembeni haina hata doa la damu
Jr
Possible causes,aliigia katika unyumba wa watu,kwa kiburi cha ngawila akajimwambafai,....its posible am just guessing that...!Kosa la uume ni kuingia kwenye mashimo ya watu, ndiyo maana wakamtoa na uhai😂😂😂
Aliyeuawa ni baba wa jirani yangu inasemekana alikuwa dar kwenye kikao ambacho alitumwa kumuwakilisha sheikh wa mkoa wa Dodoma, baadaye mawasiliano na familia yake yakapotea ndo mchakato wa kumsaka ukaanza kwa kumshirikisha RPC wa Dodoma ambaye naskia wanafahamiana. Jana jioni jirani yangu huyu akaja kuniaga kwamba anaenda Dodoma kusaidia kumtafuta baba yake kwani mama yake kampigia simu huku analia wakashindwa kuelewana.Wahusika wa mauaji haya wasakwe ili wafikishwe ktk vyombo vya sheria kwa mauaji haya ya kikatili
Ila siku 5 auwawe taarifa zisitoke hata kwa familia au aliaga anaenda safari kwa hiyo hawakuwa na wasiwasi ila vipi kwenye jengo harufu maana siku hizo mwili ungeshaanza kutoa harufu kali ambayo kwenye hilo jengo wangeshahisi kitu.Mimi nahisi ni chini ya hizo siku 5.
Pole nyingi sana kwa familia, ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito Bwana awafariji sana na kuwapa matumaini kuwa ipo siku wataonana na mpendwa wao Kristo ajapo mara ya pili
Nina uhakika hao sio professional killers lazima watadakwa tu.Mwanamke akikushinda mwache.... sasa kitakachoendelea ni kuwatafuta waliomuua na waliowatuma wakaue.
Damu ya mtu haipotei hivihivi watapatikana tuu
Possible causes,aliigia katika unyumba wa watu,kwa kiburi cha ngawila akajimwambafai,....its posible am just guessing that...!
Very sad..mkuu mbona unajitia aibu namna hii kuendeshwa na mihemko.Anyone is free kulopoka anachotaka ila haiwezi badil ukwel.N by the way unapata tabuya nn kwa maneno ilogical kama hayo??ACHA KUJIFANYA KIPOFU HAYAWANI WAHID WEYE. HUJAONA MTU ALIYESEMA KWAKUWA ALIKUWA MKURUGENZI WA ISLAMIC FOUNDATION BASI KAULIWA SABABU YA FUMANIZI? NYINYI NDUGU ZENU WAKIPATA MATATIZO MNAANZA KUNADI TUUNGANE KUKEMEA ILA NYIE WETU WAKIPATA MATATIZO MNAJIWEKA PEMBENI KANA KWAMBA HAYAWAHUSU.
Kwani proffesional killers wakoje Mkuu hebu dadavua.