Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Siku 5 mpaka ilipogundulika jana na kukuta mwili uko uchi wa mnyama huku akiwa na majeraha ya kisu tumboni na amekatwa uume wake lkn wameuacha unaninginia na huku akiwa amefungwa kamba kwenye kiti kanzu yake imekutwa imewekwa pembeni haina hata doa la damu

Jr
Halafu Cha kushangaza watu wamesikitishwa mno na kitendo Cha kumkata uume kuliko kitendo Cha kumuua
 
Kwanini wanakimbilia kwenue uume? Watakua walikua wanamtesa awape info au awajibu mambo flani.

Ngoja polisi wafanye uchunguzi waone kama kuna mali imeibiwa, mkataba umesainiwa au simu yako inasemaje?

Pia shule nadhani patakua na camera, inayorecord matukio hapo wataitumia.
 
Sijui hata umeandika nini bwana mdogo. Hatuongelei dini ya mtu au kabila lake hapa
Tunazungumzia mauaji. Grow up kid!
We damn talk about his religion, title ya uzi imetaja dini yake na maudhui ya uzi yametaja dini yake dear bam!
.
Umesema kauwawa kinyama seali litabaki palepale je angejilipua ili aende peponi kabisa?
Sifurahii ila hili lilikuwa halina budi kutukia it was a God plans and don't you ever call me a damn kid
 
5 days. Wafanyakazi wake wote walikua likizo hata mesenger?
5 days hata mwanafamilia mmoja hajamjulia khali?
5 days hana mke wala mtoto.
Kama aliaga aliwaambia nitazima simu?
Huyu itakua ilikua kawaida yake kutokua na mawasiliano mazuri na familia,ndugu hata wafanyakazi?
Siku hizi huwezi kukaa masaa 5 bila wife au ndugu wa karibu kujiridhisha ulipo.
Huo uume lazima ndio ulimponza sheikh. Tafuteni mahawara wake .
 
Bora hata angejilipua aende peponi kabisa sio?
.
Gavana unazungumziaje hili jambo la sheikh ubwabwa?

Mimi mambo ya jiwe @Co. Yawezekana hata wale watu wasiojulikana walifanya ??
Kwani nani anajua wale watu wanaookotwa kule coco beach kwenye mifuko nini kiliwafika ??

Hayo mambo si ya kidini ni crime hata makanisani hutokea , tena mara nyingi tu

Mapya yaibuka mauaji kanisani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom