Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.

Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
2,361
2,000
We damn talk about his religion, title ya uzi imetaja dini yake na maudhui ya uzi yametaja dini yake dear bam!
.
Umesema kauwawa kinyama seali litabaki palepale je angejilipua ili aende peponi kabisa?
Sifurahii ila hili lilikuwa halina budi kutukia it was a God plans and don't you ever call me a damn kid
Sasa wewe kwa maneno yako uliyoni-quote mwanzo huoni uliyoyaandika ni mzaha kwenye kifo cha mwanadamu mwenzako? Na ndiyo maana nakuita dogo - immature.
Acha kejeli!
 

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,366
2,000
Kukatwa uume kuna mesej fulani ambayo imejificha kidogo.Uume umekera mtu sana ndio maana umekatwa kwamba unampa kiburi na jeuri.Inawezekana ni mwanamke au mwanamme kamkata uume kote kuna wezekana.
 

mosabiy

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,506
2,000
Ramli chonganishi hizi.
Sijui kwann mnapenda kujishtukia?
ACHA KUJIFANYA KIPOFU HAYAWANI WAHID WEYE. HUJAONA MTU ALIYESEMA KWAKUWA ALIKUWA MKURUGENZI WA ISLAMIC FOUNDATION BASI KAULIWA SABABU YA FUMANIZI? NYINYI NDUGU ZENU WAKIPATA MATATIZO MNAANZA KUNADI TUUNGANE KUKEMEA ILA NYIE WETU WAKIPATA MATATIZO MNAJIWEKA PEMBENI KANA KWAMBA HAYAWAHUSU.
 

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
998
1,000
Wahusika wa mauaji haya wasakwe ili wafikishwe ktk vyombo vya sheria kwa mauaji haya ya kikatili

Ila siku 5 auwawe taarifa zisitoke hata kwa familia au aliaga anaenda safari kwa hiyo hawakuwa na wasiwasi ila vipi kwenye jengo harufu maana siku hizo mwili ungeshaanza kutoa harufu kali ambayo kwenye hilo jengo wangeshahisi kitu.Mimi nahisi ni chini ya hizo siku 5.

Pole nyingi sana kwa familia, ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mzito Bwana awafariji sana na kuwapa matumaini kuwa ipo siku wataonana na mpendwa wao Kristo ajapo mara ya pili
Aliyeuawa ni baba wa jirani yangu inasemekana alikuwa dar kwenye kikao ambacho alitumwa kumuwakilisha sheikh wa mkoa wa Dodoma, baadaye mawasiliano na familia yake yakapotea ndo mchakato wa kumsaka ukaanza kwa kumshirikisha RPC wa Dodoma ambaye naskia wanafahamiana. Jana jioni jirani yangu huyu akaja kuniaga kwamba anaenda Dodoma kusaidia kumtafuta baba yake kwani mama yake kampigia simu huku analia wakashindwa kuelewana.

Baada ya kama dakika 40 hivi mke wake jirani yangu akaja kwangu kunipa taarifa za msiba kwamba baba mkwe wake amekutwa amekufa ofisini na kesho anajiaandaa kwenda na yeye msibani Dodoma. Yeye alipewa taarifa za msiba na mmewe ambaye alikuwa njiani kuelekea Dodoma.

Namie ndo napata kwa undani taarifa hapa Jf kwamba mzee yule ameuawa. Allah ampe kauli thabiti mzee wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

ki2c

JF-Expert Member
Jan 17, 2016
2,969
2,000
Wauaji inaonekana wana uzoefu wakutenda makosa kama hayo au walijadili kwa kina jinsi yakufanikisha tukio hilo bila kukamatika kirahisi.Kwa waliosoma forensic psychology wanaweza wakahusisha moja ya kitendo walichomfanyia marehemu,chakukata uume wake,kama ni divertion ya real reason for the killing.
Yote kwa yote,ajuaye vizuri ni Mungu,wauaji na aliyeuawa.
R.I.P
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,237
2,000
Ametoweka siku zote hizo familia haikumtafuta ikiwemo ofisini? Au usikute wauaji walitumia simu yake kuwajulisha familia kuwa amesafiri ghafla.

Kifupi kwa mauaji hayo ni rahisi mno kuwapata wauaji. Ni kesi rahisi mno kwa team inteligensia. Haina round only if and only if ........ hivyo tusubiri majibu. Niishie hapo.
 

Date20210317

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
3,856
2,000
ACHA KUJIFANYA KIPOFU HAYAWANI WAHID WEYE. HUJAONA MTU ALIYESEMA KWAKUWA ALIKUWA MKURUGENZI WA ISLAMIC FOUNDATION BASI KAULIWA SABABU YA FUMANIZI? NYINYI NDUGU ZENU WAKIPATA MATATIZO MNAANZA KUNADI TUUNGANE KUKEMEA ILA NYIE WETU WAKIPATA MATATIZO MNAJIWEKA PEMBENI KANA KWAMBA HAYAWAHUSU.
Very sad..mkuu mbona unajitia aibu namna hii kuendeshwa na mihemko.Anyone is free kulopoka anachotaka ila haiwezi badil ukwel.N by the way unapata tabuya nn kwa maneno ilogical kama hayo??
Kwann ushughulishwe na akil ndogo kana kwamba na ww bado mtoto kiakili?
Why shouldnt u stick kwenye hoja za msingi?
Bring out the facts achana na diversion ideas za watu ambao usikute hawako even serious na wanachoki comment.

Grow up u dumb ass.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom