Dodoma: Mmiliki wa Shule na Mkurugenzi Islamic Foundation akutwa ameuawa kinyama ofisini kwake

Status
Not open for further replies.
Mkuu usiilaum JF kwani hakuna mtu anashurutishwa kusoma habari hizi huru na kweli
chambua km uongo unapita, familia na majirani wanajuwa wamemzika Baba yao na ni nini kijana alipoenda kufungua mlango kumsaka Baba yake
vitu vya kawaida hata Saddam alikuwa na msemaji wake, au picha moja linaitwa Missing in Action, Utawala wa USA ulisema hakuna mateka Vietnam, mwisho Chuck Norris akaingia nao
siku watu na Udaku wakiingia na ushahidi wa wahusika nitakutafuta hapahapa JF
Hayo ni mawazo yako; au tuseme hiyo ndiyo habari unayotaka kuisikia.
 
Inapendeza sana na ndio ustaarabu na utawala bora uhakika wa matukio kupatikana kutoaka vyombo vya usalama wa nchi.Na watu wanapaswa kutumaini kupata habari sahihi kutoka huko.Lakini kwa Tanzania katika baadhi ya matukio huonekana taarifa zao ni za kubabaisha.Nakumbuka katika tukio la kupigwa risasi sheikh Ponda kule Morogoro afande mmoja alisema hakupigwa risasi yule sheikh bali aliumizwa na tembo.Hakuna hata wakubwa wake waliomsuta
Na hapa napo mbona kufeli kwa moyo kumetajwa moja kwa moja na haraka bila uchunguzi wa daktari na ndugu wa marehemu kuridhika nao.
Ili kutunza heshima ya mzee wetu inabidi wasemee hvyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mawazo yako; au tuseme hiyo ndiyo habari unayotaka kuisikia.
kama Polisi wameshindwa au wamesema ni Presha, Madaktari Je, Familia
wewe askari Kanzu usiilamu JF
acha Marehemu apumzike yeye ndiye anayejua (Fumbo la Imani)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom