Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,800
- 11,333
Sasa wewe kwa maneno yako uliyoni-quote mwanzo huoni uliyoyaandika ni mzaha kwenye kifo cha mwanadamu mwenzako? Na ndiyo maana nakuita dogo - immature.We damn talk about his religion, title ya uzi imetaja dini yake na maudhui ya uzi yametaja dini yake dear bam!
.
Umesema kauwawa kinyama seali litabaki palepale je angejilipua ili aende peponi kabisa?
Sifurahii ila hili lilikuwa halina budi kutukia it was a God plans and don't you ever call me a damn kid
Acha kejeli!