Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 760
- 1,444
Kosa la uume ni kuingia kwenye mashimo ya watu, ndiyo maana wakamtoa na uhai😂😂😂Mmh, sasa uume una kosa mkuu?
Wenyewe huagizwa tu kutumbukia na kichwa kikuu.
Kifo hiki ni cha kuchunguzwa kwa umakini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tema mate chini, ofisini ndiyo kunakuwaga na uchafu woteLkn kumbuka ameuliwa ofisini sasa kweli ofisini unaweza kwenda na mke wa mtu? Na huyu ni mzee mwenye heshima zake kabisa hawezi kufanya uchawi huo ofisini hawezi kosa hela ya kwenda hotel kubwa kama angeamua hivyo