deadteja
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 379
- 84
<brWiki ya pili hii najifunza kucheza kiduku.
We hovyo kabisa! Wenzako kina AD, AJ & Co. wanajifunza kucheza KAT*LERO we unaongelea kikudu hapa. Ovyooooo! Wenzako wanaongelea mmoja kutikisa KICHWA na mate wake kuzungusha HIPS! We vp banaa? Kikudu ile kama unapita kwenye matope? Ovyo tu ile.