Do You Remember?

Do You Remember?

Hii post imenishtua kwakweli...ni vyema kama hujui jambo ukaacha lipite maana watu twaheshimiana humu...[/QUOTE.. Bora wewe imekushtua ukabaki mzima, mi fahamu zilinipotea, ndo zarejea just now...daaah nimeamini usilolijua usiku wa giza... Mshikaji kadandia treni kwa mbele mpaka hasira... Afu Sangara na AD jumlisha King'asti na Husninyo wote nimewanunia...

Pole kwa kuzimia best...I'm glad you are back...angalia mtego wa panya huu usijeingiza waliomo na wasiokuwemo
 
lo najuta kwa kutoiona hii "uzi' toka mwanzo....
Ofcz last week end ilikuwa tamu sana kwangu.....
Pande hii nilitembelea club kama 3 hivi usiku mmoja...
Pini ya "price tag" ya Jessie J na B.O.B inanikuna sana
Lakini kiukweli sidhani kama nimetengeneza kumbukumbu ya kivile coz hamna jipya!
Haijaweza kufuta kumbukumbu yangu ya kipindi hicho miaka ya 99 wakati wa Dru Hill.
Kwenye album yao ya "Enter the Dru" kulikuwa na ngoma mbili za "In my bed" na "these are the times"..
Kikubwa kinachonikumbusha kwenye hizo ngoma, pamoja na kuzipenda sana ila zilinipa wasaa wa ku-dance na mchumba mmoja hivi!
Ilikuwa tumetoka kidarasa (study tour)...Bagamoyo..... Dj wakati anapiga hiyo nyimbo (In my bed) niliingia peke yangu kucheza...
Sasbabu nilikuwa naujua, so nikawa najaribu kucheza kama Sisqo huku nikiimba..... watru wakinichek hivi ..shosti akaja.. tukacheza!
Ukumbi ukalipuka kwa shangwe jinsi nilivyo-roll na mtoto.....wimbo ukaisha, watu wakataka urudiwe tena!!!!
Baada ya hiyo music huo usiku yule shosti akawaga "girlfriend" wangu...... hadi leo huko aliko akiwaona "Dru Hill" lazima anipigie simu!
Zilikuwa nyakati tamu sana enzi hizo....


Your Signaure gives a hint of what you love... I know already unapenda Jazz music and you are all "soul" Music... BUT hii post umetoa yaonesha ni since when you love Music and of course in most cases tukigongana in entertainment we have almost the same taste...

Nianzie hapo nyuma... kwa akin Dru Hill... Gosh! I loved that group, so young and naive then... (bitter sweet memories zipo hapo) Nilikua nampenda Sisqo ili mbaya (come to think of it don't even know what i liked in him - nikirudi nyuma) enways "In my bed" was my fav song of Dru hill, infact to date.... I Love the part "Sleeping in my bed... Messing with my head... tell me why oh why oh why"... I can still sing the whole song word to word mpaka leo na utu uzima huu.... (alafu huo shosti mlicheza vipi na huu wimbo kama hauchezeki wawili vile...lol).. I am glad thou kua the song na the lady are forever in your memory....

Tunakuja kwa hawa wa kizazi kipya ambao ulisikiliza last weekend and so it seems you had fun.... Good. I like when people are happy na ukiwauliza you find it was in the near future they had that fun... it tells a lot kuhusu a person (for most saiz majukumu yamebana your spare time unaenda kwenye vikao vya jumuia, harusi, misiba... the list goes on, na ukiendekeza unakua sooo fade up)

Huo wimbo wa "Price tag" naupenda (in fact hapa niko kumsikiliza B.O.B) naona ni mzuri saana but wa kizushi kabisa... Huyo binti katengeneza saana jina na she is getting loads of money sasa... And she says it is not about the money....

I think the song's word should have been: It all about the money money....Its alll about the cha -ching chang, cha-ching, If you wanna make the world dance remember about the price tag......lol... (but that just my IMO)

JG nimefurahi kukuona for umekua adimu saana.... I hope Malaika is well and good.

Oh! JG my most favourite Music saizi ni "Nwa baby" (Ashawo Remix) Niliifuma sehemu..... I Love it!!!
 
...lol... Jiachie mpendwa, maisha yenyewe haya kwa nini unune?.. Waswahili wanasemaga, raha jipe mwenyewe... Nafurah vile wewe bukheri... Mwaaaaaaah, hilo busu ni special kwa j2 ya leo! Akirudi wifi King mgawane, na ole wako umpunje mwenzio...


Mie na King tena?? Usijali hizo XOXO zimefika kabisa....lol...
 
You are talking as if you are the one who is in love with her....lol... C'mon dude... imagine ni miaka mingi imepita... she was dancing with your friend but you still remember the moment (and the fact ni kua your were an observer na wala sio kwamba you were close to her na kupata joto lake)... Ndahani... be free she is not here.... Just open up..... And of coz kweli yeye pia awezaa kua in love na wewe....
Haaahaaa! I was not in love AshaDii....the guy was so confused by the lady to the extent that she took advantage of that....gues what.....sio mimi niliyejikaribisha katika hiyo dance
 
Boss, Sijui umejuaje! Am planning to be like Brad Pit when reaching 80yrs old...about 40 something years from now

I am impressed... are you saying karibu wagonga thirty??

Haaahaaa! I was not in love AshaDii....the guy was so confused by the lady to the extent that she took advantage of that....gues what.....sio mimi niliyejikaribisha katika hiyo dance

and your friend was OK with it?? wasn't he the jealous type?? au ndo usasa......lol
 
Pole kwa kuzimia best...I'm glad you are back...angalia mtego wa panya huu usijeingiza waliomo na wasiokuwemo
Sante mpendwa! Am back with a big smile....lol... Mtego nimeustukia na haingii mtu ng'o...
 
I am impressed... are you saying karibu wagonga thirty??

Am probably already there....why that age group impresses you?



and your friend was OK with it?? wasn't he the jealous type?? au ndo usasa......lol

I was a little good boy so he did not have much to worry about me than himself..anyway things did not work out well for him pamoja na kuimba Do you rembember kila siku.
 
Afadhali umeuona mapema...nimekumiss sana kwakweli...AD shahidi yangu...
Leo nakununia cz umepotea katka mazingira ya kutatanisha...hapa ndo nilikuwa najiandaa kwenda kureport police... Au umepata mwalm mwingine?
 
Lucky tokana na the choice of your song.... naomba nijue kua ilikua ni lini?? That is one of Shaggy's super hits...
Dah hii ilikuwa 1990's nihatari laiti ungekuwa unaniona jinsi nikiserebuka weeeeh!
 
&amp;lt;br <br />
We hovyo kabisa! Wenzako kina AD, AJ &amp; Co. wanajifunza kucheza KAT*LERO we unaongelea kikudu hapa. Ovyooooo! Wenzako wanaongelea mmoja kutikisa KICHWA na mate wake kuzungusha HIPS! We vp banaa? Kikudu ile kama unapita kwenye matope? Ovyo tu ile.
<br />
<br />
heee! Angalia usipaliwe.
 
Leo nakununia cz umepotea katka mazingira ya kutatanisha...hapa ndo nilikuwa najiandaa kwenda kureport police... Au umepata mwalm mwingine?

Huyo mwalimu mwingine atoke wapi wakati Husninyo alinitosa kisa utege wangu...leo umesahau nilipokukuta?
 
Huyo mwalimu mwingine atoke wapi wakati Husninyo alinitosa kisa utege wangu...leo umesahau nilipokukuta?
...lol... Sijasahau aisee, tumetoka mbali AD shahidi yetu, husni alie tu, asubiri mgonjwa tuliyempeleka hospital arudi...sie akaaa, hatupigi hata chafya, achilia mbali kwikwi...
 
...lol... Sijasahau aisee, tumetoka mbali AD shahidi yetu, husni alie tu, asubiri mgonjwa tuliyempeleka hospital arudi...sie akaaa, hatupigi hata chafya, achilia mbali kwikwi...

Ila hebu tufanye ustaarabu tukamwone Husninyo...ngoja nitete na AD...waonaje hili wazo...
 
Ila hebu tufanye ustaarabu tukamwone Husninyo...ngoja nitete na AD...waonaje hili wazo...
Gud night bana, leo ngoja na mimi nikutoroke mapema! Ila sifungi macho ujue, nakutizama.... Ole wako uanze kumchekea Husninyo..lol..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom