Do You Remember?

Sangara nimeipenda hii... For it seems you had fun, after all ilikua New year.... Ila umeacha detail moja ya muhimu... Ulikua unacheza peke yako?? Maana huo wimbo huo....

I had a great time kwa kweli...Nakumbuka nilicheza na mswidish fulani hivi...swali la nyongeza?
 
hahaha, u should have seen me wifi,lol! im craving for such fun again, ila this time around i will watch out my shoes,lol! ntavaa yeboyebo!

ooooh!! Wifi I know how you can shake them hips....lol... The imagination inanifanyia kazi zooote....lol.. Mie hata nikivaa high heels sioni aibu kutoa...
 
tatizo them hips ukiwa peku kama kuku hazitoi ushirikiano wa kutosha. take for example, charanga,lol! bt mid-height shld be good enough

ah! Charanga inabidi ulicharange in heels... you look provocative and Sexy..... Hapo najikaza kweli kweli.... hata Twist Wifi.....
 
Mie simuelewi kabisa Wifi King.... anamuonea huruma sijui??
Ole wake Clip isije na tulivyokodoa macho..yan ntakushauri mimi ndo niwe wifi yako badala yake..lol.. Hawezi kutuzibia rizik kimacho macho!
 
Ilikuwa na kucheza tu...hata cjui whereabouts zake...i just remember the night(dance)...so hiyo red haipo.
Back to you now...tupe uzoefu wako.

I see.... Ok... mine ilikua kwenye harusi... tulikua ndioa akina mama wa jikoni twapika pika... then walikuja wanandugu (wa bibi harusi) kutoka kijijini kwa mbwembwe, kelele, ngoma na a lot of heartfelt singing... ilikua impressive... ni the type of Ngoma yeyete aweza imitate kucheza... I danced like mad... and really enjoyed those brief twenty minutes... nakumbuka siku hio i was soo tired wala ukumbuni sikucheza kivile... ilikua Mwaka jana (2010) june....
 
wadhani ni nini kilikudrive ukacheza kiasi hicho? waweza taja ni nyimbo gani walikuwa wanaimba? kama waweza taja kabila ni vyema zaidi.
 
wadhani ni nini kilikudrive ukacheza kiasi hicho? waweza taja ni nyimbo gani walikuwa wanaimba? kama waweza taja kabila ni vyema zaidi.

The singing na drumming... walikua soo organised... tofauti na zile nyimbo za kijijini ambazo huimbwa na watu wa mjini kwa mzaha as if they have neva heard the song... Hawa walikua wanaimba na kucheza hasa... infact ilivutia watu wengi saana pale, almost wengi walipendezewa... nafikiri na ile tu kua i was katika sherehe na dancing is part of it....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom