Do You Remember?

Do You Remember?

thats the rule for all men.you praise the one you have now...not the yesterday girl...lol

Katika wazungu he is one of the guy i really really like (apart from Clooney and Burtler..)... And hata hivo ukweli ni kwamba the Brangelina couple is Hotter.... Jennifer Vs Angelina?? Hata mimi kam ni Jennifer na ubishi wangu wa If the Man is my MAN naweza surrender....
 
unamjua before jennifer?
i can bet jolie will not be the last...
 
Utanikwaza sasa hivi.... haya maneno akiona Sweetlady atasemaje... Hivo nisamehe nafuta post yako!!! Alafu Husny umwambii kitu kwa Uporoto1..lol

Leo tulikubaliana kwenda kwa husninyo kujifunza kiduku...ila naona kaamua kujichimbia peke yake...ndio maana safari ya kwa Sweetlady haikwepeki...umenisoma hapo?
Nimekusamehe bure....
 
unamjua before jennifer?
i can bet jolie will not be the last...

Boss one has to live the moment.... Jolie ni Mzungu but She is so different in attitude kuhusiana na Marriage... she LIVE life... she has LIVED but still is intelligent or should I say wise enough to know kua FAMILY is everything at the end of the day... I love that about her.... Hivi unafikiri angekua lelemama ama wakukurupuka bado angekua na Pitt??
 
Leo tulikubaliana kwenda kwa husninyo kujifunza kiduku...ila naona kaamua kujichimbia peke yake...ndio maana safari ya kwa Sweetlady haikwepeki...umenisoma hapo?
Nimekusamehe bure....

aaaiiiseee!!! I humbly R E P E N T.....lol (kwa hiyo itakuwaje maana naona kama woote wamekuponyoka)
 
Wewe wajua zaidi...akiuliza mtu mwingine hapo sawa.
Ndugu huwa wanaelewana tu...hapo pekundu hapahusiki.
 
Mie nyimbo nyingi tu zinanikuna nikisizikia basi huwa lazima angalau nitingishe kichwa kufuata mapigo ya nyimbo hizo. Mie huwa najiachia club na kucheza hata nyimbo tano au zaidi mfululizo kama nyimbo hizo zinanigusa. Music is the heart of our soul.

Last edited by a moderator:

BAK Glad to have you back man.... Hapa JF tulikumiss.... katika hii thread tu Shantel na King'asti hata mimi pia tumekutaja hoping for vitu vizuri kama hivi.... I hope you are well and good na hata your loved ones pia.... Nice selection (as always) Hivo appreciated kwa ku share kwa udhahiri hata sie tusikie.... THANK YOU..... and WELCOME BACK!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Thank you kindly ADI for your beautiful words. Muziki mie unanipa furaha ya ajabu na sio kwa kuusikiliza tu bali hata kuucheza.
 
Na kapotea tangu jana anajifua...akirudi tutatambishiwa sana...kwa mpango huu leo lazima kwenda kwa Sweetlady.
Mie bado nakusubiri, mbona hufiki? Au wataka giza liingie upotelee baharini kama jana??..
 
aaaiiiseee!!! I humbly <b>R E P E N T.....lol (kwa hiyo itakuwaje maana naona kama woote wamekuponyoka)
Mie sijamponyoka AD...nipo hapa kituo cha basi namsubiri ila nashangaa hafiki... Mvumilivu hula mbivu ila mi nahisi huu wangu utanishinda..
 
Thank you kindly ADI for your beautiful words. Muziki mie unanipa furaha ya ajabu na sio kwa kuusikiliza tu bali hata kuucheza.

BAK..... nimependa kua you Love dancing.... Inamaana upo fluid... and you have got moves too...lol Please do me a favour kama waweza pata wimbo wowote wa Segere will appreciate... Walau Shantel akirudi hapa afurahi...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie sijamponyoka AD...nipo hapa kituo cha basi namsubiri ila nashangaa hafiki... Mvumilivu hula mbivu ila mi nahisi huu wangu utanishinda..

Oh! hapo sawa... i think ngoja mie niwapishe nipumzike kidogo.....lol
 
Mie bado nakusubiri, mbona hufiki? Au wataka giza liingie upotelee baharini kama jana??..

Siku hizi naogopa safari za mchana maana ajal nyingi...jua likitua tu naanza safari...leo hapotei mtu...
 
Nakumbuka na ndugu zangu tukiusikia wimbo huu RTD tunaikimbilia redio kinyenze na kuusikiliza hadi umalizike.

BAK..... nimependa kua you Love dancing.... Inamaana upo fluid... and you have got moves too...lol Please do me a favour kama waweza pata wimbo wowote wa Segere will appreciate... Walau Shantel akirudi hapa afurahi...
 
Last edited by a moderator:

Nakumbuka na ndugu zangu tukiusikia wimbo huu RTD tunaikimbilia redio kinyenze na kuusikiliza hadi umalizike.

Lmao........ Dah!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna jamaa wa busara mno! mpaka nimejiuliza hapa kama nimtaje ama lah! lol lakini sababu nae kasema anataka kujifunza Tango... atakufaa...
<br />
<br />
mtaje na uniintrodjuz kwake bhana AshaDii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom