Do You Remember?

Do You Remember?

Gud night bana, leo ngoja na mimi nikutoroke mapema! Ila sifungi macho ujue, nakutizama.... Ole wako uanze kumchekea Husninyo..lol..

Pouwa...nitakupa feedback kesho...namuona hapo chini kauchuna...
Alamisiki.

Co-worker bana unafahamu kabisa kila weekend mimi ni dushelele saa zingine hata club 3 kwa usiku mmoja,kwa mara ya mwisho ilikuwa jumamosi wimbo wa vijana wetu wa Tiptop,Manzese 'starehe gharama'.

Co-worker bana unafahamu kabisa kila weekend mimi ni dushelele saa zingine hata club 3 kwa usiku mmoja,kwa mara ya mwisho ilikuwa jumamosi wimbo wa vijana wetu wa Tiptop,Manzese 'starehe gharama'.
Khaaa! Husni katudanganya jamani, anasema unajua kucheza kiduku tuu...

Dah hii ilikuwa 1990's nihatari laiti ungekuwa unaniona jinsi nikiserebuka weeeeh!

Basi it was a BIG night.... miaka ya 90 mpaka leo wakumbuka?? Hongera saana na nafurahi you had fun.... Hope you have mo' soon.

Co-worker bana unafahamu kabisa kila weekend mimi ni dushelele saa zingine hata club 3 kwa usiku mmoja,kwa mara ya mwisho ilikuwa jumamosi wimbo wa vijana wetu wa Tiptop,Manzese 'starehe gharama'.

Naelewa Co'worker.... Si ndo maana hata uzi umekupita kabisa sababu ulikua unajirusha...lol.. Vipi dushelele ya weekend hii?? (alafu bana Husny kakusifia kua ni mkali wa Kiduku ile mbaya!!)

Co-worker bana unafahamu kabisa kila weekend mimi ni dushelele saa zingine hata club 3 kwa usiku mmoja,kwa mara ya mwisho ilikuwa jumamosi wimbo wa vijana wetu wa Tiptop,Manzese 'starehe gharama'.

Nitaanza kuchaji kutumika kwa hili jina!

Mupenzi nimeambiwa na sweetlady na Ashadii kuwa umedai eti mi ni bingwa wa kucheza kiduku ? unanikonfyusi na Kloro ndio mliokuwa mnaenda nae kwenye kiduku mi unajua mambo yangu ni kwaito tu.

nilikuwa nawadanganya mpenzi.

Last wiki nilikuwa namrudi kandabongoman bafuni! Inde monieeee! inde moniee! Dah! nilisahau kama bafu lenyewe sijadeki siku nane na nusu , Kulaleki! niliteleza nikaanguka kichwa kichwa,nimevimba shavu la kushoto na mpaka leo shingo siwezi kugeuza nyuma ,inabidi nitumie site mirror.

Usafi muhimu wajameni!..... tusemeni amen!

nilikuwa nawadanganya mpenzi.
nani asiesjuwa kwamba nyinyi ni maselebriti wa kiduku bana!
naambatanisha na ushahidi

Hapo video ikianza, Kutoka kushoto ni Uporoto, Husninyo, Hashycool na wa mwisho kabisa ni The Finest.

Last edited by a moderator:
Leo tena nimejikuta nikishake wakati East Africa radio wakivurumisha goma linaitwa La luna wa brenda carlisie! Its a nyc song...!

nani asiesjuwa kwamba nyinyi ni maselebriti wa kiduku bana!

naambatanisha na ushahidi

Hapo video ikianza, Kutoka kushoto ni Uporoto, Husninyo, Hashycool na wa mwisho kabisa ni The Finest.

khaaaa!

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom